From: 2023-03-20 to: 2023-04-02
( )
FUNDI SANIFU II (MKADIRIAJI UJENZI) - 2 POST
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni
Duties & Responsibilities

i.Kufanya kazi kwa vitendo katika fani ukadiriaji ujenzi ili kumwezesha kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili inayowahusu wakadiriaji ujenzi,

ii.Kufuatilia upatikanaji wa taarifa na taaluma za ukadiriaji ujenzi,

iii.Kupitia mapendekezo ya makisio (project estimates) mbalimbali ya majengo yanayowasilishwa Wizarani.

 

Qualifications

i.Waliohitimu kidato cha iv na kufuzu kozi ya ufundi ya miaka mitatu kutoka vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani ya usanifu ukadiriaji ujenzi

 

ii.Waliohitimu kidato cha vi na kufuzu mafunzo ya ufundi wa miaka miwili kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani za ukadiriaji ujenzi

 

iii.Wenye cheti cha majaribio ya Ufundi Hatua ya I katika mojawapo ya fani za ukadiriaji ujenzi kutoka chuo cha ufundi kinachotambuliwa na Serikali,

 

iv.Wenye Stashahada ya kawaida katika katika mojawapo ya fani za ukadiriaji ujenzi kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

 

Remuneration

FUNDI SANIFU II (MKADIRIAJI UJENZI)