From: 2023-07-11 to: 2023-07-18
( )
FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UJENZI)-TECHNICIAN II (CIVIL) - 20 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.Kufanya kazi za ujenzi wa kuta za nyumba na kupaka rangi na kufunga mabomba;

ii.Kuchonga vifaa vya nyumba za serikali ikiwa ni pamoja na samani “furniture”;

iii.Kufanya kazi za upimaji (survey) wa barabara, majengo na mifereji kama atakavyoelekezwa;

iv.Kuwapangia kazi Mafundi sanifu wasaidizi na kuhakikisha wanamaliza kama ilivyopangwa.

Qualifications

i.Waliohitimu kidato cha VI na kufuzu mafunzo ya ufundi ya miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali katika fani za fundi ujenzi;

ii.Waliohitimu kidato cha IV na kufuzu kozi ya ufundi ya miaka mitatu kutoka Vyuo vya Ufundi vinavyotambuliwa na Serikali  katika fani za fundi ujenzi;

iii.Wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi hatua ya I ( ujenzi) kutoka Chuo cha Ufundi kinachotambuliwa na Serikali;

iv.Wenye Stashahada ya Kawaida katika fani za fundi ujenzi kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali

Remuneration

TGS.C