From: 2023-04-19 to: 2023-04-25
( )
FUNDI SANIFU DARAJA LA II (MECHANICAL TECHNICIAN II) - 10 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.Kuchunguza na kutambua matatizo ya magari na mitambo na kufanya matengenezo;

ii.Kufanya matengenezo kinga (Preventive maintenance) ya ‘Clutch’,  ‘Gear boxes’ mifumo ya breki; na

iii.Kufanya majaribio ya ubora wa magari na mitambo baada ya matengenezo.

 

Qualifications

Kuajiriwa wenye elimu ya Kidato cha IV waliofuzu mafunzo ya miaka miwili katika fani yenye mwelekeo wa Ufundi Mechanical kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

 

Remuneration

TGS.C