From: 2023-03-20 to: 2023-04-02
( )
FUNDI SANIFU DARAJA LA II -BOMBA - 2 POST
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni
Duties & Responsibilities

i.Kuchora na kutafsiri michoro ya mifumo ya mabomba;

ii.Kufanya makadirio ya gharama za matengenezo ya bomba;

iii.Kuhakikisha usalama na usafi wa mabomba kadri ya viwango nvya ubora;

iv.Kufanya ukarabati na matengenezo ya mifumo ya mabomba;

v.Kufanya ukaguzi na kushauri juu ya mifumo ya mabomba ya maji na maji taka;

vi.Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;

vii.Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wako.

 

Qualifications

 

i.Waliohitimu kidato cha IV na kufuzu kozi ya ufundi ya miaka mitatu kutoka vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani ya fundi Bomba.

 

ii.Waliohitimu kidato cha VI na kufuzu mafunzo ya ufundi wa miaka miwili kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani za ufundi bomba

 

iii.Wenye cheti cha majaribio ya Ufundi Hatua ya I katika mojawapo ya fani za Ufundi bomba kutoka chuo cha ufundi kinachotambuliwa na Serikali,

 

iv.Wenye Stashahada ya kawaida katika katika mojawapo ya fani za Ufundi bomba kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

 

Remuneration

FUNDI SANIFU BOMBA DARAJA LA II