From: 2023-04-21 to: 2023-05-04
( )
DEREVA DARAJA LA II - 6 POST
Parliament of Tanzania
Duties & Responsibilities

i)             Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;

ii)            Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;

iii)           Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;

iv)           Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;

v)            Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;

vi)           Kufanya usafi wa gari; na

vii)          Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

Qualifications

Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C1 ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Waombaji wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II watafikiriwa kwanza

Remuneration

PSS B