From: 2023-09-04 to: 2023-09-11
( )
DAKTARI WA MIFUGO DARAJA LA II - 10 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i. Kutoa huduma za afya ya mifugo.

ii.Kufanya uchunguzi wa magonjwa ya mifugo katika eneo lake la kazi kwa mujibu wa sheria.

iii.Kutayarisha na kusimamia mipango ya kuzuia, kudhibiti na kutokomeza magonjwa ya mifugo katika eneo lake.

iv.Kusimamia haki za wanyama.

v.Kushiriki katika uchunguzi wa magonjwa ya wanyama pori katika eneo lake.

vi.Kusimamia na kuratibu uzingatiaji wa Kanuni na Sheria za Magonjwa, ukaguzi wa mifugo na mazao yake na pembejeo za mifugo.

vii.Kuratibu na kusimamia shughuli za usafi wa machinjio na ukaguzi wa nyama katika eneo lake la kazi.

viii.Kuandaa taarifa ya afya ya mifugo katika eneo lake la kazi na

ix.Kufanya kazi nyingine zozote za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Tiba ya Wanyama (Veterinary Medicine) kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) au kutoka Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali ambao wamesajiliwa na Baraza la Veterinari Tanzania.

 

Remuneration

TGS F