From: 2023-04-19 to: 2023-04-25
( )
AFISA UTAMADUNI II - 13 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.Kutafiti masuala ya Lugha, Sanaa, Mila na Desturi katika ngazi ya Wilaya;

ii.Kufundisha fani mbalimbali za utamaduni katika Vyuo na Vituo vya Elimu na mafunzo ya utamaduni;

iii.Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa kituo.

Qualifications

Kuajiriwa wenye shahada au stashahada ya juu katika Sanaa au Lugha kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali

Remuneration

TGS.D