From: 2023-07-11 to: 2023-07-18
( )
AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II (TRANSPORT OFFICER II) - 3 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i..Kutayarisha gharama za uendeshaji wa usafiri kwa ajili ya kusaidia kutoa maamuzi;

ii.Kuhakikisha kuwa takwimu na kumbukumbu zinazohusu vyombo vya usafiri pamoja na mitandao yake zinatunzwa vyema na kwa usahhi;

iii.Kuandaa takwimu zinazohusu maendeleo ya ukuaji wa sekta ya usafirishaji, na kuwsilisha kwa watumiaji ndani na nje ya nchi;

iv.Kukusanya takwimu za usafirishaji nchini;

v.Kukadiria na kushauri juu ya utendaji wa miradi mbalimbali ya sekta ya usafirishaji; na

vi.Kutekeleza majukumu mengine yahusuyo sekta ya usafirishaji.

Qualifications

Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Usafirishaji kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

 

Remuneration

TGS.D