From: 2023-07-11 to: 2023-07-18
( )
AFISA UNUNUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT PROCUREMENT OFFICER II) - 10 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.    Kutunza ghala la vifaa lenye thamani nyingi;

ii.    Kupokea vifaa vipya vitakavyoletwa na wazabuni mbalimbali na kupokea vifaa ambavyo vimetumika lakini vinahitaji kutunzwa kabla ya kufutwa;

iii.    Kufungua na kutunza “Bin Card” kwa kila kilichopo ghalani;

iv.    Kufungua ledger ambayo itatunza kumbukumbu ya vifaa vilivyoingia, kutunzwa na kutoka kwa nyaraka mbalimbali;

v.    Kutoa vifaa kwa wateja na watumiaji wengine;

vi.    Kuhakikisha kwamba ghala na vifaa vilivyomo vinatunzwa katika hali ya usafi na kwa usalama;

vii.    Kuandaa hati za kupokelea vifaa; na

viii.    Kufanya kazi zingine atakazopangiwa.

Qualifications

Stashahada ya Ugavi/Ununuzi au Biashara iliyojiimarisha kweye Ununuzi na Ugavi kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali au sifa inalingana na hiyo inayotambuliwa na Bodi ya Wataalamu wa Ugavi na Ununuzi nchini. Awe amesajiliwa na PSPTB kama “Procurement and Supplies Technician” au “Procurement and Supplies Full Technician” na awe na ujuzi wa kutumia kompyuta

 

Remuneration

TGS.C