From: 2023-07-11 to: 2023-07-18
( )
AFISA UNUNUZI DARAJA LA II (PROCUREMENT OFFICER II) - 15 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i. Kushiriki katika kuandaa nyaraka za zabuni;

ii. Kusambazi hati/nyaraka za zabuni;

iii. Kuwasiliana na idara mbalimbali kuhusu mahitaji ya ununuzi;

iv. Kukusanya na kutunza taarifa ya bei za soko “Market Intelligence” kwa baadhi ya bidhaa;

v. Kuhakiki hati zote za madai kabla ya malipo;

vi. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza/Stashahada ya Juu ya Ununuzi au Ugavi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali au wenye "Professional level Ill" inayotolewa na Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi nchini (Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board - (PSPTB); au sifa nyingine inayotambuliwa na PSPTB na awe aliyesajiliwana PSPTB kama "Graduate Procurement and Supplies Professional".

 

Remuneration

TGS.D