2.0.1 i. Kuandaa, kuandika na kufanya majaribio ya programu (Plan, codeand
test program), Kusahihisha programu (Debug program);
ii. Kuweka na kuhakikisha usalama wa programu (Incorporate security
setting into program);
iii. Kushirikiana na wadau wengine katika kutengeneza programu
mbalimbali (Corporate with other software developers); na
iv.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi
zinazoendana na sifa na fani yake.
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta, Elektroniki na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii.
TGS.E