i.Kusimamia maboresho ya programu za kompyuta kwa wakati
ii.Kusakinisha, kusanidi na kuboresha programu za kuzuia virusi vya Kompyuta
iii.Kuelimisha hatari na watumiaji masuala mbalimbali yanayohusu udhaifu katika mifumo ya TEHAMA
iv.Kukagua mifumo ya TEHAMA mara kwa mara
v.Kuweka viwango vya usalama na udhibiti katika mifumo ya TEHAMA kwa watumiaji
vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na" sifa na fani yake.
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta,Teknolojia ya Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano au Menejimenti ya Mifumo ya Habari.
TGS.E