i. Kuweka kumbukumbu na taratibu za kisasa na mbinu za kufanyia kazi;
ii.Kutekeleza chati za mtiririko wa mifumo ya nyendo za taarifa na udhibiti,
iii.Kuandika programu za Kompyuta
iv.Kufanya majaribio ya sehemu timilifu za programu za Kompyuta v.Kufanya majaribio ya usanidi wa mifumo ya TEHAMA
vi.Kufanya majaribio ya progamu za kompyuta kulingana na mahitaji ya watumiaji vii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Sayansi ya Kompyuta au Menejimenti ya Mifumo ya Habari.
TGS.E