i)Kufanya kazi za Kisheria kwa maelekezo ya Maafisa wa Sheria Waandamizi ikiwa ni pamoja na:-
•Kutoa ushauri na kufanya utafiti wa kisheria pale anapohitajika kulinganana Wizara, Idara ya Serikali ama sehemu aliko;
•Kufanya mawasiliano na Ofisi nyingine kuhusu masuala ya kisheria kwa maelekezo ya Maafisa wa Sheria walio katika ngazi za juu; na
ii)Kufanya kazi nyingine ya kiofisi atakayopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
Mwombaji awe na Shahada ya Kwanza ya Sheria kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na awe amehitimu mafunzo ya Uwakili yanayotambuliwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
PSS E