i Kutoa huduma za uuguzi;
ii Kukusanya takwimu muhimu za afya;
iii Kuwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake;
iv Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya;
v Kutoa huduma za kinga na uzazi; na
vi Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake.
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita wenye Stashahada (Diploma) ya Uuguzi ya muda usiopungua miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.
TGHS B