i.Kuandaa mipango ya maeneo yaliyoendelezwa kiholela;
ii.Kuandaa michoro ya Mipangomiji;
iii.Kupokea michoro ya Mipangomiji na taarifa za maeneo ya ardhi yanayopendekezwa kuiva kwa ajili ya uendelezaji kimji;
iv.Kuchambua takwimu na taarifa kwa ajili ya maandalizi ya mipango mipya ya makazi;
v.Kupokea na kuweka kumbukumbu za maombi ya mabadiliko ya matumizi ya ardhi na umegaji wa viwanja;
vi.Kuhakikisha kuwa mabadiliko ya matumizi ya ardhi yanaingizwa katika michoro.
Kuajiriwa mwenye Shahada katika moja ya fani za Mipangomiji, kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Vyuo Vikuu au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali.
TGS E.