From: 2023-04-21 to: 2023-05-04
( )
AFISA KUMBUKUMBU DARAJA LA II - 1 POST
Parliament of Tanzania
Duties & Responsibilities

i)Kudhibiti Mifumo ya Kumbukumbu, kutunza na kusimamia matumizi ya kumbukumbu za Wizara, Idara zinazojitegemea, Vituo vya kutunza kumbukumbu, Mikoa, Manispaa, Halmashauri za Wilaya, Nyaraka za Taifa na Mashirika ya Umma kulingana na mahali alipo;

ii)Kutambua na kutafuta kumbukumbu katika masjala za Wizara, Mikoa, Idara zinazojitegemea, Manispaa, Halmashauri za Wizara, Vituo vya kuhifadhia kumbukumbu na Nyaraka za Taifa;

iii)Kudhibiti Mfumo wa Kumbukumbu zinazozalishwa na kompyuta, kutunza na kusimamia matumizi yake katika Wizara, Idara zinazojitegemea, Asasi na Serikali za Mitaa kulingana na mahali alipo; na

iv)Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi. 

 

Qualifications

Mwombaji awe mwenye Shahada ya Kwanza katika fani ya Utunzaji na Uhifadhi wa Kumbukumbu (Records Management & Archives) au fani nyingine zinazolingana nayo kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Aidha, awe na ujuzi wa kutumia Kompyuta.

 

Remuneration

PSS D