From: 2023-07-11 to: 2023-07-18
( )
AFISA HESABU MSAIDIZI II (ASSISTANT ACCOUNTS OFFICER II) - 10 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu;

ii.Kutunza kumbukumbu za hesabu;

iii.Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na

iv.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Cheti cha stashahada ya Uhasibu (Diploma) kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.

 

 

Remuneration

TGOS. C