i) Kushiriki kuandika taarifa ya mapato na matumizi;
ii) Kushirikiana na Mhasibu kuandaa taarifa za maduhuli;
iii) Kushiriki kufanya usuluhisho wa hesabu za benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha;
iv) Kuandaa taarifa mbalimbali za mishahara;
v) Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi;
vi) Kutunza daftari la amana; na
vii) Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
· Kuajiriwa wenye “Intermediate Certificate” (Module D) iliyotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinayotambulika na NBAA.
· Shahada ya Biashara/Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu.
Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka Taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali
PSS D