i. Kusimamia uingizaji wa kumbukumbu katika kompyuta;
ii. Kushughulikia utayarishaji wa nyaraka za kisheria;
iii. Kufanya ukaguzi wa viwanja;
iv. Kutoa notisi na kupendekeza ubatilishaji wa milki kwa viwanja visivyoendelezwa kwa mujibu wa sharia; na
v. Kuwasiliana na wateja kuhusu Hati zilizotayarishwa na kuwakabidhi.
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Usimamizi ardhi na Uthamini au
Shahada ya Sheria kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali wenye uzoefu wa kazi
kwa muda usiopungua miaka mitano (5).
TGS E