i. Kusanifu, kusakinisha na kusanidi miundombinu ya ndanina nje ya rntandao wa Kompyuta
ii. Kufanya majaribio ya vifaa vya mtandao wa Kompyuta
iii.Kusimamiautekelezaji wa maelekezo ya usalama wa mtandao
kwa mujibuwa miongozo ya usalama wa mtandaowa kompyuta iv.Kutathmini na kurekebisha hitilafu zozote za mtandao wa
Kompyuta
v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta, Elektroniki na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii.
TGS.E