Kithimani, Yatta
KIOJA kilizuka kwenye soko moja mtaani hapa baada ya kina dada wawili kuzua fujo mmoja wao akimlaumu mwenzake kwa kumpokonya mpenzi wake.
Mwanadada wa kwanza alijitoma kwenye hoteli moja huku akihema kwa hasira na kumkabili mwenzake aliyekuwa akila nyama ya kuku na chips.
Alimnyanyua kipusa kutoka kitini na kumwaga chakula chake.
“Kwa nini unajaribu kushindana na mimi? Umeniharibia uhusiano kwa tamaa zako. Wachana na mpenzi wangu ama nikuharibu sura. Sitakubali uninyang’anye mpenzi wangu,” demu alimfokea mwenzake.
Mwanadada huyo alidai mpenzi wake ndiye alikuwa amempatia demu huyo pesa za kununua kuku kwenye hoteli hiyo.
Ilibidi wawili hao kutimuliwa hotelini walipoanza kukosesha wateja wengine amani.
Vipusa wazua vurugu hotelini wakizozania ndume
Kithimani, Yatta KIOJA kilizuka kwenye soko moja mtaani hapa baada ya kina dada wawili kuzua fujo mmoja wao akimlaumu mwenzake kwa kumpokonya mpenzi wake. Mwanadada wa kwanza alijitoma kwenye hoteli moja huku akihema kwa hasira na kumkabili mwenzake aliyekuwa akila nyama ya kuku na chips. Alimnyanyua kipusa kutoka kitini na kumwaga chakula chake. “Kwa nini unajaribu kushindana na mimi? Umeniharibia uhusiano kwa tamaa zako. Wachana na mpenzi wangu ama nikuharibu sura. Sitakubali uninyang’anye mpenzi wangu,” demu alimfokea mwenzake. Mwanadada huyo alidai mpenzi wake ndiye alikuwa amempatia demu huyo pesa za kununua kuku kwenye hoteli hiyo. Ilibidi wawili hao kutimuliwa hotelini walipoanza kukosesha wateja wengine amani.
This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
Travel
TravelTANAPA calls for active investment to promote tourism in Lake Zone
GEITA: THE Tanzania National Parks Authority (TANAPA) has called on development stakeholders in the Lake Zone, including mineral miners, to seize investment opportunities in the tourism sector. TANAPA Head of Business Development Unit, Ms Jully Bede Lyimo, made the call recently during a special meeting between TANAPA and development stakeholders held in Geita Municipality. She…
TravelShivo Tanzania’s Richard Ashby elected to ZATI board of directors
ZANZIBAR: Richard Ashby of Shivo Tanzania has been elected to the Board of Directors of the Zanzibar Association of Tourism Investors (ZATI), following the association’s Annual General Meeting (AGM) and board elections held in Zanzibar on Wednesday. Ashby secured 47 votes in a competitive contest involving 10 candidates, earning one of four positions on the…
TravelUnited Nigeria Airlines begins Jos flights to Lagos, Kano, Owerri
United Nigeria Airlines will commence scheduled flight operations from Jos to Lagos, Kano and Owerri on November 24 and 29, 2026, providing residents of Plateau State with additional air connections to other parts of the country. The airline said tickets for the new routes were already available for purchase. The Lagos–Jos–Lagos route will operate four […]