Ni July 26, 2024 ambapo Mtayarishaji na Dj kutokea nchini Afrika Kusini, Xduppy usiku wa leo anatarajia kuzicheza nyimbo zao zinazofahamika kwa jina la Amapiano.
Mkali huyo anatarajiwa kukutana na Watanzania wanaozipenda nyimbo hizo katika chimbo la Elements Masaki Jijini Dar es Salaam.
Hapa nimekusogezea Ep yake mpya aliyoitoa hivi karibu iitwayo Umswenko
Xduppy, Scotts Maphuma & Mellow & Sleazy – Bamba (Why) (Official Audio)
Xduppy, Scotts Maphuma & Mellow & Sleazy – Khuthuzile (Official Audio) feat. Dj Maphorisa & Pushkin
Xduppy, Scotts Maphuma & Mellow & Sleazy – Ka Soh (Official Audio) feat. Dj Maphorisa & Kammu Dee
Suka Man
The post Mkali huyo wa Amapiano kutumbuiza usiku wa leo Dar Elements , hii ndio EP yake first appeared on Millard Ayo.




