Video: Mauno ya Gigy Money yampagawisha Alikiba, ashindwa kujizuia

Milard Ayo
Published: Jul 20, 2024 13:58:06 EAT   |  Entertainment

NI mkali kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae Usiku wa kuamkia July 20, 2024 alikutana na mashabiki wake na kuwaimbia. Miongoni mwa vitu vilivyofanyika ni utambulisho wa wimbo wake mpya pamoja na Gigy money kupanda jukwaani kucheza nae. Hafla hiyo imefanyika Elements Bar Masaki jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.

The post Video: Mauno ya Gigy Money yampagawisha Alikiba, ashindwa kujizuia first appeared on Millard Ayo.