Ni Mrembo kutokea Bongo Flevani, Phina ambae time hi ametuletea hii single yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘We Huogopi’ isikilize hapa kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.
The post Audio MPYA: Mrembo Phina ametuletea hii single yake ‘We Hougopi’ first appeared on Millard Ayo.