Follow the East African economy: markets and currencies, trade and investment, banking and finance, agriculture, mining and the companies and policies that move them.
COLOMBIA: Colombia’s government has officially requested entry into the New Development Bank of the trade bloc BRICS. Acting Minister of Trade, Industry, and Tourism, Cielo Rusinque, announced this at a forum in Bogotá attended by ambassadors from BRICS countries. The BRICS bank was established in 2014 as an alternative to traditional investment banks, primarily those…
DAR ES SALAAM: TANZANIA Posts Corporation (TPC) has partnered with the Tanzania Trade Development Authority (TanTrade) to become the official cargo transporter for the 49th Dar es Salaam International Trade Fair (DITF). Scheduled to run from June 28 to July 13 at the Mwalimu Julius Nyerere Trade Fair grounds, this year’s DITF is expected to…
KAUNTI ya Kwale imemulikwa kuhusu mradi wa kujenga makazi ya gavana ambao umedumu kwa karibu mwongo mmoja licha ya kumiminiwa mamilioni huku serikali ya kaunti ikilaumu mdhibiti wa bajeti kwa ucheleweshaji huo. Gavana Fatuma Achani alieleza Kamati ya Seneti kuhusu Ukaguzi wa Hesabu za Umma (CPAC) katika kikao Jumanne kuwa mradi huo unaendelea na unatarajiwa kukamilika mwaka ujao, Machi 2026, kiasi cha jumla kikikadiriwa kufikia zaidi ya Sh300 milioni. Kamati hiyo inayoongozwa na Seneta wa Homa Bay, Moses Kajwang, ilihoji sababu ya ujenzi wa makazi ya gavana ulioanzishwa wakati wa hatamu ya Bw Salim Mvurya aliyekuwa gavana wa kwanza Kwale, umegharimu kiasi hicho cha pesa na kwa nini bado haujakamilika. Mradi huo kufikia sasa umegharimu jumla ya Sh119 milioni tangu serikali ya kaunti ilipotia saini kandarasi ya kuanzisha ujenzi wa makazi ya gavana yenye thamani ya Sh149 milioni katika muda wa mwaka mmoja. Agosti 2019, muda wa kandarasi hiyo uliongezwa kwa nyongeza ya Sh3.6 milioni lakini bado haukukamilika ambapo sasa mwanakandarasi anadai kaunti Sh27 milioni kwa kupotezewa muda na kucheleweshwa, Seneti iliambiwa. “Huku tukiendelea na ‘kizungu mingi’ makazi ya gavana bado hayajakamilika. Mwanakandarasi kufikia sasa amelipwa 119 milioni ilihali ikulu ndogo Kwale na Homabay zilijengwa kwa miezi mitatu tu,” alisema Seneta Kajwang. Hata hivyo, Afisa Mkuu, Thomas Onduko, alieleza Kamati ujenzi unaendelea na mradi huo “umekamilika asilimia 64 kulingana na ukaguzi wa miradi ya umma” na unatazamiwa kugharimu “Sh240 milioni ikiwemo Sh27 milioni za ziada.” “Baada ya kumlipa Sh3 milioni, mwanakandarasi alitoweka. Tulimpa notisi mara mbili inavyohitajika kisheria kabla ya kukatiza kandarasi. Sasa anadai kupotezewa muda na mashine zake kukaa bila kufanya kazi lakini hajathibitisha alipoteza fursa kwa sababu ya mashine zake kuwepo kwenye eneo la mradi wetu,” alifafanua. Kuhusu mradi huo kujikokota, alilaumu mdhibiti wa fedha (CoB) kwa kuchelewesha fedha kuwezesha kukamilishwa kwa muda uliopangiwa. “Tulichelewa kwa sababu ya mapendekezo yaliyotolewa na seneti. Ilituchukua karibu miaka miwili kwa CoB kuachilia fedha, Hii ilikuwa kabla ya muafaka wa seneti.” Seneti ilihoji kwa nini makazi ya gavana yamegharimu kiasi hicho ilhali miradi mingineyo bado haijakamilika ikiwemo soko la Kombani na kiwanda cha chakula na kumwagiza usimamizi wa kaunti kuangazia upya kiasi hicho. “Kama mnang’ang’ana kujenga kiwanda cha chakula chenye thamani hamfai kuwa mnatumia pesa kama hizi. Mradi huu una thamani ikiwa masoko yenu yanafanya kazi,” alisema Mwenyekiti. “Ni uovu kwa kaunti kutumia kiasi hicho cha pesa huku ikiwa imeshindwa kutimiza malengo yake ya mapato ya kibinafsi yanayokusanywa. Ni haki kukusanya pesa za leseni na ada kujenga kasri la gavana? Angazieni upya na mkamilishe kwa kiasi cha chini.” Gavana Achani alisema amewaagiza wahandisi kuangazia upya mradi huo huku suala hilo likizidi kutatuliwa. Mwaka wa 2019, Seneti iliafikiana kudhibiti kiasi cha fedha zinazotumika kujenga makazi ya wakuu wa kaunti yasipite Sh45 milioni kwa makao ya gavana, Sh35 milioni naibu gavana na ya spika.
Rising from an emergency general meeting held Wednesday at its hall in Lagos International Trade Fair Complex, leading motor parts trading group in Africa, the Auto Spare Parts & Machinery Dealers Association (ASPMDA) has passed a resolution that going forward, any member found dealing on adulterated engine oil or any spare parts shall forfeit his shops, buildings or plazas.
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Trade Development Authority (TanTrade) has announced that the upcoming 49th Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) is set to significantly expand the global perspective and business acumen of local traders. According to TanTrade’s Senior Trade Officer, Mr Mohamed Nyasama, the participation of approximately 30 countries in this year’s event…
DAR ES SALAAM: PRIME Minister Kassim Majaliwa has directed local authorities to partner with the Vice-President’s Office to empower youths in carbon trading and adopt modern waste recycling technologies for mutual economic growth and sustainable environmental protection. He said carbon trading opens up new green economy jobs, especially in carbon measurement, verification, project management and…
WAKENYA wengi wamegeukia kula matumbo kama kitoweo kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha. Hii ni kinaya kwani kwa muda mrefu nyama hiyo imekuwa ikichukuliwa kuwa ya watu wa kipato cha chini. Kulingana na Shirika la Kitaifa la Takwimu Kenya (KNBS), bei ya matumbo imepanda kwa karibu asilimia 34 katika kipindi cha miaka minne iliyopita, kutoka Sh260.46 kwa kilo mwaka wa 2020 hadi Sh344.92 mwaka wa 2024 kuashiria ongezeko kubwa la mahitaji. Kile ambacho hapo awali kilionekana kama bidhaa ya ziada isiyo na thamani sasa kimekuwa mbadala wa nyama kwa familia nyingi zinazopambana kumudu gharama ya maisha. “Nilipoanza, matumbo hayakuwa maarufu hivi,' anasema. "Sasa, nauza matumbo zaidi kuliko nyama ya kawaida. Watu hawawezi tena kumudu nyama ya ng’ombe," asema Bw Charles Wamugunda, muuzji bucha jijini Nairobi ambaye amekuwa kwenye biashara hiyo kwa zaidi ya miaka 10. Bw Wamugunda hupata matumbo kutoka vichinjio vya Kiserian na Dagoretti na anakiri kuwa hata bei ya jumla imepanda. “Bei inapopanda kule vichinjioni, sisi pia tunalazimika kuongeza. Kisha kuna ushuru ambao zamani hatukuwa tunalipa. Hii inaathiri faida,” anasema. Anaongeza, “Mazingira ya biashara pia yamebadilika, na ushuru wa ziada unapunguza kiwango cha faida. Kuna ushuru ambao siku hizi tunalazimika kulipa, tofauti na zamani.” Anasema wanaopendelea matumbo wameongezeka tofauti na zamani ambapo yalikuwa ya kawaida katika familia maskini. Katikati mwa jiji la Nairobi, Bw Dancan Kamau pia anashikilia maoni sawa na hayo. 'Miaka kumi iliyopita, nilikuwa ninauza matumbo kwa Sh150 kwa kilo. Leo hii, bei imeongezeka mara mbili,' anasema. 'Wateja wamehama kutoka nyama ya ng’ombe hadi matumbo. Ni nafuu na rahisi kupika.' Ingawa Bw Kamau hupata matumbo kutoka kwa mifugo wake mwenyewe, anasema faida imekuwa ndogo. “Gharama zimepanda kote, malisho hadi mishahara ya wafanyakazi. Hakuna faida kama zamani.” Hata hivyo, mahitaji ni makubwa. Katika siku nzuri, Bw Kamau huuza kati ya kilo 80 hadi 100 za matumbo. “Kwa mfano, kama baba alikuwa akinunua nyama ya ng’ombe kwa familia yake na sasa anapitia hali ngumu kifedha, atapendelea kubeba matumbo akirudi nyumbani kuliko kufika mikono mitupu. Wale waliokuwa wananunua nyama sasa wamehamia matumbo. Wakati wa hali ngumu, watu hubadilisha mambo,' aliongeza. Katika Kampuni Kenya Meat Commission (KMC), Meneja wa Mauzo na Masoko, Bi Lydia Mandila, alithibitisha kuhusu ongezeko la mahitaji. 'Tumeona ongezeko kubwa la mauzo ya matumbo, hasa katika maeneo ya watu wa kipato cha chini na cha kati,' anasema. "Ni nafuu na yana virutubisho." Bi Mandila anasema kuwa ingawa nyama ya ng’ombe bado ni bidhaa kuu ya KMC, matumbo yamekuwa bidhaa ya pili yenye faida ijapokuwa upatikanaji wake unategemea idadi ya ng’ombe wanaochinjwa. 'Katika kila kilo 130 za nyama ya ng’ombe, unapata takriban kilo 13 za matumbo,' anasema. 'Kwa hiyo kadri tunavyoongeza uchinjaji, ndivyo tunavyoweza kutoa matumbo zaidi.' Hata hivyo, anasema kuna msimu ambapo mauzo ya matumbo hupungua, hasa wakati wa sherehe ambapo watu hupendelea vipande bora vya nyama. 'Lakini kwa ujumla, tumerekodi mauzo na faida kubwa katika kipengele hicho. Hata tunafanya usambazaji unaolengwa, wakati mwingine hadi mitaa na maeneo ya kipato cha chini ili kufikia mahitaji,' aliambia Taifa Leo. "Kila mtu anakimbilia huko kwa sababu soko la Burma si kama zamani,' anasema.
Emma Ujah, Abuja Bureau Chief The Nigeria Incentive-Based Risk-Sharing System for Agricultural Lending (NIRSAL) has commenced the training of livestock value chain actors on how to benefit from the $2. 5 billion Foreign Direct Investment, FDI from Brazilian protein giant, JBS. President Bola Tinubu signed the deal, earlier in the year, for the FDI from […]
DAR ES SALAAM: TANZANIA imepiga hatua katika kuimarisha kizazi chenye usawa wa kijinsia katika masuala ya kiuchumi, majukwaa, kisayansi, masuala ya ubunifu, ujumuishi wa sekta ya fedha na mikopo ya serikali za mitaa. Sio hivyo tu, pia haki za wanawake, wanaume na vijana katika kupata haki, kumiliki na kuitumia ardhi kwa rasilimali ya uzalishaji pia…
By Godwin Oritse In a major operation against smugglers, the Federal Operations Unit of the Nigeria Customs Service (NCS) intercepted smuggled ballistic helmets, bulletproof vests, and other prohibited goods valued at over N1.5 billion within the last two weeks just as seven suspects were arrested in connection with the trade infraction. Speaking to newsmen yesterday […]
KIGOMA: WAKUU wa Taasisi na vitengo vya ugavi na manunuzi katika mikoa ya Kanda ya Magharibi wametakiwa kutekeleza takwa la kisheria la kutumia asilimia 30 ya fedha zinazokwenda kwenye miradi ya ujenzi baadhi ya kazi kufanywa na vikundi vya kijamii. Katibu Tawala wa Mkoa Kigoma,Hassan Rugwa ametoa maagizo hayo mjini Kigoma alipofungua kikao cha siku…
DAR ES SALAAM: THE Kariakoo Market Corporation has announced that the auction of business spaces at Kariakoo Market will take place from June 5 to June 11, 2025, starting in the morning hours through the electronic TAUSI Portal. According to a statement released today by the General Manager of the Corporation, Ashraph Abdulkarim, traders and…
DAR ES SALAAM: MWENGE wa Uhuru 2025 umekagua na kuweka Jiwe la Msingi katika miradi miwili ya maendeleo kati ya saba iliyopo Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, na kuridhishwa na utekelezaji wake. Miradi hiyo nishati safi ya gesi itokanayo na mafuta (LPG) katika Soko la Samaki Ferry, unaogharimu Sh milioni 216, ambao…
The Association of Bureau De Change Operators of Nigeria (ABCON) says that the Central Bank of Nigeria’s (CBN) June 3 recapitalisation deadline for Bureau De Change (BDC) operators remains sacrosanct. ABCON President, Dr Aminu Gwadabe, said this in an interview with the News Agency of Nigeria (NAN) in Lagos after a stakeholders meeting with CBN. […]
Tenderpreneur and criminally accused businessman Vusimusi “Cat” Matlala abandoned his bid for bail in the Alexandra Magistrate’s court on Friday and has traded his high-life for a prison cell while awaiting trial.
Investing over the past three decades has relied on assumptions about three key dynamics that have underpinned the global order in the post-Cold War era: unfettered free trade, globalisation and world peace being assured under the Western-led international system. These dynamics have been synonymous with the free movement of goods, capital, people and information, and…
DAR ES SALAAM: DURING the trading week ending May 30th, the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) recorded a decline in turnover compared to the previous week. Total market turnover dropped to 2.714bn/-, representing a 92.85 per cent decrease from the previous week’s 37.98bn/-. This significant drop reflects a normalisation in trading activity following the…
DAR ES SALAAM: TANZANIA Trade Development Authority (TanTrade) and Tanzania Posts Corporation (TPC) today jointly launch a new nationwide transport and cargo handling service aimed at modernizing logistics and boosting efficiency during this year’s 49th Dar es Salaam International Trade Fair (DITF). Speaking to the Daily News on Monday, TanTrade Director General Ms Latifa Khamis…
TANGA: THREE wards in Tanga City have adopted the “Reduce, Reuse, Recycle” (3R) approach in solid waste management, following a systems review conducted by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB). The initiative aims to enhance environmental sustainability and ensure compliance with national waste management regulations. This was revealed by Acting Tanga Regional PCCB…
“KATIKA mwaka 2025/2026 Wizara ya Kilimo itawawezesha wakulima kuongeza uzalishaji wa mazao asilia ya biashara ya pamba, kahawa, mkonge, korosho, tumbaku, pareto, sukari, kakao na chai kutoka tani milioni 1.45 mwaka 2024. hadi tani milioni 2.22 mwaka 2025.” “Uzalishaji wa pamba utaongezeka kutoka tani 149,361 hadi 400,000, kahawa kutoka tani 81,366 hadi tani 85,000, korosho…
HATUA ya serikali ya kitaifa kujenga soko kwa kima cha Sh65 milioni karibu na mengine mawili ambayo yalijengwa kwa kima cha Sh35 milioni imewaghadhabisha wakazi wa mji wa Ndaragwa, Kaunti ya Nyandarua. Mji huo mdogo huenda ukawa na masoko matatu ilhali hata lile lililoko kwa sasa halitumiki japo kwa ujumla Sh100 milioni zimetumikwa kwenye ujenzi wa masoko hayo. Ujenzi wa masoko mengine mawili umeibua maswali iwapo kweli serikali huthamini mikutano ya ushirikishaji wa umma ambapo raia hutoa maoni yao kuhusu miradi. Moja ya masoko haya yalijengwa wakati wa utawala wa Gavana Daniel Waithaka kwa kima cha Sh15 milioni. Soko la pili lilijengwa na Benki ya Dunia kupitia mpango wa Hazina ya Kimataifa ya Ustawi wa Kilimo (IFAD). Serikali ya kitaifa sasa inataka kujenga soko la tatu kwa kima cha Sh65 milioni. [caption id="attachment_173126" align="alignnone" width="1504"] Soko lililojengwa kwa kima cha Sh15 milioni Ndaragwa, ambalo halitumiki. Picha|Waikwa Maina[/caption] “Mbona soko la tatu lijengwe kwa mji kwa mdogo ambao una masoko mawili ambayo hayatumiki. Kuna masuala mengine mazito na kwa mfano machifu na manaibu chifu wa Muthiga na Nyakinyua hawana ofisi. “Kule Nyakichua landlodi amemtimua naibu chifu kutoka nyumba ndogo aliyokuwa amekodisha. Wakazi wamelazimika kukusanya fedha zao kumlipia naibu chifu afisi,” akasema Jackson Kahani. Aliongeza kuwa baadhi ya madarasa kwenye Shule ya Msingi Nyakinyua yako katika hali mbaya na yapo kwenye hatari ya kuporomoka. Mji wa Ndaragwa nao hauna barabara ya lami, miundomsingi ni mbovu na hakuna mabomba ya kupitisha majitaka. [caption id="attachment_173128" align="alignnone" width="1504"] Naibu Rais Kithure Kindiki akikagua ujenzi wa soko la thamani ya Sh65 milioni Ndaragwa. Ujenzi wa soko hili unafanyika ilhali kuna masoko mengine mawili mapya ambayo hayatumiki, huku kukiwa na uhitaji wa muundomsingi muhimu kama barabara, madarasa na nyumba za machifu. Picha|Waikwa Maina[/caption] “Hakuna mkutano unaoshirikisha umma ambao ulifanyika kabla ya soko hilo kuanza kujengwa. Mbona serikali haikushauriana na raia mwanzoni? Tungewaambia hatuhitaji soko jingine,” akasema Peter Maina mnamo Jumatatu. Wiki jana, Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki akiwa ameandamana na mbunge wa Ndaragwa George Gachagua walikagua ujenzi wa soko ambalo ujenzi wake una thamani ya Sh65 milioni mjini Ndaragwa.
DODOMA: THE Tanzania Trade Development Authority (TanTrade) has said that the upcoming 49th Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) is expected to significantly broaden the global outlook and business knowledge of local traders. TanTrade’s Senior Trade Officer, Mr Mohamed Nyasama, said the participation of around 30 countries in this year’s event will not only…
ZANZIBAR: IN the previous article, we explored the rich history of Mikindani Old Town, as part of the ongoing series on tourist attractions in Southern Tanzania. Today, we delve deeper into that history and highlight some of the key tourist attractions within Mikindani Old Town, with insights from Lucas Navilongo, the Training Manager at the…
DAR ES SALAAM: TODAY, the Port of Dar es Salaam is not just moving faster; it is moving smarter. It is rapidly transforming into a pivotal anchor point in Tanzania’s ambitious vision: to become the undisputed preferred gateway to East and Central Africa. This new Dar is leaner, digitally integrated and earning international trust. The…
KILIMANJARO: KILIMANJARO Regional Bureau Chief of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Mr Musa Chaulo, has called on journalists in the region to play a frontline role in the fight against corruption as the country prepares for the General Elections scheduled for October this year. Mr Chaulo made the appeal recently while officiating…
In the fast-paced world of forex and stock trading, South African traders are constantly seeking ways to optimize their strategies and increase their profitability. While most focus heavily on identifying the best entry and exit points, one of the most overlooked yet critical aspects of successful trading is position sizing. This technique determines how much […]
By Peter Egwuatu Despite the global uncertainties as a result of ongoing trade wars, investors in the Nigeria stock market gained tremendous N3.966 trillion in the month of May 2025 from their investment on the Nigerian Exchange Limited, NGX. Specifically, the market capitalisation of the NGX, which depicts the total value of stocks, listed on […]
President Bola Tinubu has reaffirmed his commitment to the National Single Window (NSW) project, saying the initiative is already yielding positive results by boosting trade efficiency. In a statement to mark the second anniversary of his administration, Tinubu identified key maritime and trade reforms as critical components of his economic recovery strategy, describing them as “undeniable […]
The federal government is set to position Nigeria as a leading hub of industrial excellence in Africa, with the inauguration of the planning committee for the forthcoming National Industrial Manpower Summit. Minister of State for Industry, Trade and Investment, John Enoh, said during the inauguration that the move became necessary to ensure that Nigeria’s industrial rise […]
For decades, the Port of Dar es Salaam was a cautionary tale—a bottleneck of delays, stifled by excessive bureaucracy, and generally avoided by serious traders unless absolutely necessary. Ships idled offshore for weeks, and exporters had to meticulously plan far in advance just to contend with the pervasive inefficiencies. While Dar es Salaam was never…
A fully loaded bus carrying traders from Orie Orba Market in Udenu LGA, Enugu State, was hijacked on Saturday evening around 7 p.m. by suspected Fulani herdsmen along the Owukpa–Orokam road in Ogbadibo LGA, Benue State.
A commercial bus loaded with traders returning from Orie Orba Market in Udenu Local Government Area (LGA) of Enugu State was hijacked by suspected Fulani herdsmen on Saturday evening around 7 p.m. along the Owukpa–Orokam road in Ogbadibo LGA, Benue State.
UKOSEFU wa uwazi katika Sheria ya Nyumba za Bei Nafuu umeruhusu serikali inayoongozwa na William Ruto kuhamisha fedha zilizokusudiwa kujenga nyumba za bei nafuu kufadhili miradi mingine kama masoko kote nchini. Wiki hii, Rais Ruto alizua mjadala mkali kuhusu uwezekano wa matumizi mabaya ya fedha zinazokusanywa kila mwezi kupitia ushuru wa nyumba nafuu, akisema kwamba pesa hizo pia zinatumika kukamilisha ujenzi wa masoko ambayo baadhi yake yalianzishwa enzi za utawala wa Mwai Kibaki, na hayahusiani na mradi wa nyumba hizo. "Hatutumii tu ushuru huo kujenga nyumba za bei nafuu. Tunautumia kujenga masoko pia," alisema Dkt Ruto. "Sasa tuna masoko 260 yanayoendelea kujengwa nchini. Tuna mabweni ambayo karibu yaanze kujengwa. Hivyo basi, vijana wetu walio vyuoni watanufaika. Akina mama wetu na wafanyabiashara masokoni watanufaika pia," aliongeza. Sheria ya Nyumba Nafuu inaweka ushuru wa asilimia 1.5 ya mshahara wa mfanyakazi, na mwajiri anatakiwa kuchangia kiwango sawa. Wafanyabiashara wa kujitegemea wanatozwa asilimia 1.5 ya mapato yao ikiwemo faida kutoka kwa biashara au pensheni. Mbali na nyumba za bei nafuu na miundombinu yake, sheria hiyo inaruhusu Bodi ya Nyumba Nafuu kutumia fedha hizo kujenga nyumba za taasisi kama vile mabweni na makazi ya watumishi wa umma. Serikali ya Kenya Kwanza ya Dkt Ruto inapanga kukusanya takriban Sh500 bilioni kutokana na ushuru huo wa asilimia 1.5 unaolipwa na Wakenya, hasa wafanyakazi waajiriwa ambao waajiri wao huchangia kiasi sawa ili kujenga nyumba na miundombinu ya kijamii na huduma nyingine za umma. John Denge, mtaalamu wa masuala ya mali isiyohamishika, anaeleza kuwa kuna pengo katika sheria hiyo linaloruhusu serikali kuelekeza fedha hizo kwenye miundombinu ya kijamii isiyohusiana moja kwa moja na miradi ya nyumba, hasa kutokana na kasi ndogo ya matumizi ya fedha hizo. "Sheria haisemi wazi kama 'miundombinu husika' inapaswa kuwa ndani ya mradi. Inatoa nafasi kubwa ya kuelekeza fedha kwenye masoko yanayoendelea kujengwa," alisema Denge. Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Nyumba Nafuu, Sheila Waweru, alisema sheria hiyo haizuii matumizi ya fedha hizo kwenye miundombinu ya kijamii tu ndani ya mradi.
BENKI ya Dunia inapendekeza Kenya itekeleze ushuru wa ongezeko la thamani (VAT) wa asilimia 16 kwa bidhaa za msingi kama nyama, unga wa ngano, avokado, kahawa, na dawa za meno. Ikiidhinishwa, hatua hii itasaidia serikali kukusanya mapato ya Sh78.4 bilioni zaidi. Kwa sasa, bidhaa hizi ziko kwenye orodha ya msamaha wa VAT, hali inayowezesha wauzaji kutowatoza wateja ushuru huu. Hii husaidia kupunguza gharama kwa watumiaji wa kipato cha chini, hasa kwenye bidhaa za chakula. Hata hivyo, Benki ya Dunia inadai kuwa bidhaa hizi si muhimu sana kwa familia maskini na zinachukuliwa kama “anasa.” Miongoni mwa bidhaa zingine zinazopendekezwa kuondolewa kwenye msamaha wa VAT ni vitafunwa na ada za huduma za posta. Benki hiyo inaamini kuwa mabadiliko haya yataongeza mapato na kusaidia kupunguza umaskini na ukosefu wa usawa nchini Kenya.
DODOMA: THE Ministry of Natural Resources and Tourism, in collaboration with the Government Chemist Laboratory Authority (GCLA), has established joint strategies to combat poaching and illegal wildlife trade by utilizing the Wildlife Forensic Science Laboratory to conduct professional examinations of wildlife trophies. This initiative aims to enhance the efficiency and speed of wildlife trophy investigations…
Nigeria and the ECOWAS Parliament are working together to fast-track the Abidjan-Lagos highway project, which is expected to create jobs, grow trade, and improve lives across West Africa.
US President Donald Trump signaled renewed trade tensions with China Friday, arguing that Beijing had "totally violated" a tariff de-escalation deal, while saying he expects to eventually speak with Chinese leader Xi Jinping.
Super Eagles winger Ademola Lookman paid a courtesy visit to President Bola Tinubu at his Lagos residence on Friday, proudly presenting his 2024 CAF Footballer of the Year award. The 27-year-old forward, who plies his trade with Italian club Atalanta, was honoured as Africa’s best footballer last December, becoming the latest Nigerian to win the […]
A prominent human rights organization, the International Society for Civil Liberties and Rule of Law (Intersociety), has called on the National Agency for Food and Drug Administration and Control (NAFDAC) to refund over ₦3 billion allegedly collected from traders at the Ọgbọ Ọgwụ (Onitsha Drug Market) in Anambra State.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema utekelezaji wa Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2020-2025 umeimarisha uchumi na kuongeza ukuaji wa pato la taifa kutoka asilimia 4.8 mwaka 2020 hadi asilimia 5.4 sasa. Hayo yalielezwa jana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko alipowasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya…
US President Donald Trump celebrated a temporary reprieve for his aggressive tariff strategy on Thursday, with an appeals court preserving his sweeping import duties on China and other trading partners - for now.
DAR ES SALAAM: TRADERS in Tanzania’s informal sector have been urged to prioritise health and safety in their workplaces, as it is crucial to improving their well-being and contributing to the national economy. According to the International Labour Organisation (ILO) 2022 data, the informal sector in Tanzania contributes over 50 per cent of the country’s…
BARIADI: THE Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) in Simiyu Region has saved more than 6bn/- in public funds allocated for education projects that were found to be poorly implemented. This was revealed yesterday by the PCCB Simiyu Regional Chief, Mr Manyama Tungaraza, while presenting the bureau’s third-quarter performance report for the 2024/2025 financial…
US President Donald Trump celebrated a temporary reprieve for his aggressive tariff strategy on Thursday, with an appeals court preserving his sweeping import duties on China and other trading partners -- for now.
DODOMA: THE government has advised the Kagera-based Tanganyika Instant Coffee Public Limited Company (TANICA) to seek a capital injection from the Tanzania Agricultural Development Bank (TADB), as it earlier recommended. The Deputy Minister for Industry and Trade, Exaud Kigahe said in Parliament yesterday that the government had received TANICA’s request for 8.0bn/- in capital. This…