Follow the East African economy: markets and currencies, trade and investment, banking and finance, agriculture, mining and the companies and policies that move them.
By Emma Ujah, Abuja Bureau Chief The Federal Government (FG) has clarified its 2024-2026 External Borrowing Plan submitted to the National Assembly on Tuesday, saying that it was essential for the implementation of the 2024-2026 Medium Term Economic Framework (MTEF). The Federal Ministry of Finance said in a statement yesterday that the borrowing plan was for the […]
CHAPATI huvutia Wakenya wengi kuizoea au kuitegemea kutokana na gharama yake nafuu, uwezo wake wa kushibisha kwa muda mrefu, na nafasi yake katika tamaduni za familia nyingi. Aidha, urahisi wa upatikanaji wake; iwe kama unga au chapati zilizopikwa tayari katika vibanda na maduka, pamoja na uwezo wake wa kuliwa pekee au kuambatana na chakula au kinywaji chochote, huifanya chapati kuwa chaguo la wengi. Ripoti ya Hali ya Uchumi ya mwaka huu ilionyesha kuwa uzalishaji wa unga wa ngano uliongezeka kutoka tani 1,495.7 elfu hadi tani 1,523.3 elfu. Hata hivyo, mauzo ya pakiti 12 za kilo mbili yalipungua kutoka 2,508.4 mwaka wa 2023 hadi 2,283.4 mwaka jana — ishara kuwa kupungua kwa bei kuliwachochea wengi kununua unga huu kwa wingi. Hata hivyo, uraibu wa chapati unaweza kuathiri afya, huku Bi Maryanne Wanza, mtaalamu wa lishe bora, akieleza kuwa utegemezi huu huanzia kwenye mazoea ya lishe yanayochochewa na ratiba, upatikanaji rahisi, au ukosefu wa mabadiliko katika mlo wa kila siku. Katika hali kama hizi, watu hula chapati nyingi au mara kwa mara kila siku, bila kula vyakula vingine vyenye virutubisho muhimu. "Kutegemea sana chapati kama chakula kikuu ni hali inayoonekana kwa chakula hicho kupatikana kwa urahisi au sehemu ya mila. Utegemezi huu pia unaonekana kwa vyakula vinavyovutia ladha kama keki, biskuti au krispi," anasema Bi Wanza. Mara nyingi, kutegemea huku kwa vyakula hivi huambatana na kupuuzwa kwa vyakula vya protini, mboga au matunda, huku mtu akila chapati 3–5 kwa kila chakula. Hata hivyo, utegemezi huu wa hali ya juu wa chapati huenda ukawa ishara ya tatizo pana kama ulaji wa kutuliza kihisia au upungufu wa virutubisho. Bi Wanza anasema, "Watu wanaokumbwa na msongo wa mawazo huweza kutumia chakula kupata faraja—hii huweza kuwa mtindo usiofaa wa ulaji. Pia inaweza kuwa ishara ya ukosefu wa aina tofauti ya vyakula au upatikanaji mdogo wa vyakula vingine vyenye virutubisho muhimu." Je, kuna madhara ya kiafya ya muda mfupi na mrefu ya kula chapati kupita kiasi—kila siku au mara kadhaa kwa siku? Chapati nyingi hutengenezwa kwa unga mweupe wa ngano, chumvi na mafuta, hivyo ni muhimu kuzingatia athari za kiafya haswa vinapotumika kupita kiasi. "Kula chapati nyingi hasa zilizotengenezwa kwa unga mweupe kunaweza kusababisha ongezeko la ghafla la sukari kwenye damu, kuvimba au kuhara, na kuhisi uchovu mwingi," anasisitiza. Unapozidi kula chapati kwa muda mrefu, Bi Wanza anasema unaweza ukaongezea uzito wako, mwili ukakosa virutubisho vya kutosha, viwango vya vya sukari kwenye damu vikawa juu na mwili ukawa na mafuta mengi hasa kama chapati hizo zinapikwa kwa mafuta mengi. Ishara zitakazoashiria kuwa ulaji wa chapati unakuwa tatizo kiafya ni wapo unaongezea uzito bila sababu au unashindwa kupunguza uzito huo. “Pia, iwapo unavimba tumbo au unapata maumivu ya baada ya kula, unahisi uchovu baada ya kula, au unatamani chapati kila mara hata kama huna njaa,” anasema Bi Wanza. Zaidi ya hayo, dalili zingine ni pamoja na kutokula vyakula vingine kama mboga, protini au matunda badala yake unakula chapati tu. Je, unaweza kula chapati ukizingatia afya njema? Kwa mtu anayeona hawezi kuacha kula chapati kila siku, Bi Wanza anapendekeza kubadilisha unga mweupe na ule wa ngano usiosindikwa (whole grain) au nafaka zingine kama mtama, mahindi au viazi vitamu. "Pili, punguza kiasi – badala ya chapati tatu, jaribu ule mbili tu na uongezee mboga na protini isiyo na mafuta kwenye mlo wako. Mwisho, kula kwa kuzingatia viashiria vya kushiba ili kuepuka kula kupita kiasi." Isitoshe, unaweza ukafurahia chapati yenye afya bora ikiwa utatumia unga wa ngano usiosindikwa, au kuongeza unga wenye viazi vitamu ili kupata vitamini A. Pia, unaweza ukachanganya na mayai, maziwa au mboga kama karoti ili kuongeza protini na unyuzinyuzi. Bi Wanza anashauri kupika bila mafuta mengi au kutumia kikaangio kisicho na mafuta au mafuta kidogo. "Mwisho, unaweza ukatengeneza chapati ndogo ndogo ili kudhibiti kiasi unachokula."
A United States federal court has blocked most of President Donald Trump’s sweeping tariffs, with a ruling that could derail his trade strategy, boosting markets Thursday.
WAFANYAKAZI saba wa kampuni mbili za bima wameshtakiwa kwa ulaghai wa Sh309m. Saba hao wameajiriwa kazi na kampuni za Invesco Assurance Company Limited na Compliant Insurance Agency Limited. Maafisa watatu wakuu wa Invesco Albert Karakacha Muhavani (mkurugenzi), Daniel Wekesa Nalyanya (afisa mkuu masuala ya fedha) na Michael Ng’ang’a Kibara (mhasibu mkuu) walishtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi mahakama ya Milimani Paul K Mutai mnamo Alhamisi Mei 29,2025. Muhavani, Nalyanya na Kibara walikabiliwa na mashtaka mawili ya kula njama za kulaghai Sh309milioni za Invesco na kuekeza pesa hizo za Invesco Assurance kwa jina la kampuni nyingine (Compliant) katika akaunti ya Benki ya Oriental iliyoko katika jengo la Sameer. Wafanyakazi wa Compliant walioshtakiwa ni pamoja na Ruth Wangari Mwasalu, Antony Githinji Ngerere, Hilda Wambui Karanja na Lameck Gesore. Makampuni hayo ya Invesco na Compliant yalishtakiwa kwa kula njama kulaghai Sh309,207,570 zilizolipwa na wateja kutoka matawi 27 ya Invesco kote nchini. Hakimu alielezwa washtakiwa hao walitekeleza uhalifu huo kati ya Aprili 13 na Agosti 13,2024. Washtakiwa hao walikana shtaka a kuachiliwa kwa dhamana ya Sh300,000. Kesi itatajwa baada ya wiki mbili kutengewa siku ya kusikizwa.
The family of Shimite Bello Love, the former Special Adviser on Trade and Export to Delta State Governor Sheriff Oborevwori, has called on the Inspector General of Police (IGP), Olukayode Egbetokun, to ensure the transfer of the case file and the prime suspect, David Favour Love, to Abuja.
The White House on Thursday blasted a federal court’s decision to block many of President Donald Trump’s sweeping tariffs, marking a major setback to his trade strategy.
…say Egba people didn’t steal craft, urge Osun governor to withdraw statement By James Ogunnaike, Abeokuta Traders of the traditional adire fabric in Itoku Market, Abeokuta, have strongly criticized Osun State Governor, Senator Ademola Adeleke, over his recent claim that the popular Yoruba textile originated from Osun and was allegedly “stolen” by the Egba people. […]
Imagine executing a trade at the perfect price, only to have slow order processing shift the price against you—not due to market conditions, but because of poor execution.
DODOMA: Tanzania is making meaningful strides at the Osaka Expo, with Tanzania Trade Development Authority (TanTrade) confirming the signing of six Memorandum of Understanding (MoUs) in key sectors highlighting a promising path for international collaboration and investment. Tanzania’s Commissioner General at the World Expo 2025 Osaka, Ms Latifa Khamis, told the Daily News in a…
GEITA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imebaini dosari kwenye upande wa matumizi ya fedha katika miradi miwili yenye thamani ya Sh milioni 917.72. Miradi hiyo ni miongoni mwa miradi 29 ya maendeleo yenye thamani ya Sh bilioni 9.5 iliyochunguzwa na kufanyiwa ufuatiliaji na Takukuru mkoani humo kwa kipindi cha…
DODOMA: TANZANIA’S commitment to economic diplomacy is yielding significant gains, marked by remarkable growth in trade, investment and tourism, an expanded global presence, successful acquisition of funds for major national and regional projects and substantial debt relief. Presenting the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation budget for the 2025/2026 fiscal year in Dodoma,…
A U.S. trade court blocked President Donald Trump’s tariffs from going into effect in a sweeping ruling on Wednesday that found the president overstepped his authority by imposing across-the-board duties on imports from U.S. trading partners. The Court of International Trade said the U.S. Constitution gives Congress exclusive authority to regulate commerce with other countries […]
DAR ES SALAAM: Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imeanzisha kliniki ya biashara kwa wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam ili kutatua changamoto mbalimbali za usajili na masuala ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Kupitia kliniki hiyo, BRELA inalenga kuwahudumia wafanyabiashara kwa kuwawezesha kurasimisha biashara zao kwa kusajili majina…
DAR ES SALAAM: OVER 30 nations are expected to participate in the 49th edition of Dar es Salaam International Trade Fair (Sabasaba), exactly 30 days before its official opening in late June. The event that attracts domestic and foreign business and services firms is anticipated to boost the national economy through increased foreign exchange earnings.…
DODOMA: TANZANIA is taking steps to formalise traditional liquors like ‘lubisi,’ ‘ulanzi’ and ‘mbege’, to support small-scale producers of these beverages and ensure consumer safety. Deputy Minister for Industry and Trade, Exaud Kigae told Members of Parliament yesterday that the government is collaborating with key institutions – the Tanzania Bureau of Standards (TBS), Small Industries…
USHIRIKIANO baina ya Tanzania na Japan unaelezwa kuzidi kukua na kuimarika hasa katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia. Kwa mfano mauzo ya biashara kati ya nchi hizo mbili yameongezeka kutoka Dola za Marekani bilioni saba mwaka 2023 hadi Dola bilioni 37 kwa mwaka 2024. Kasi ya ukuaji huu inaashiria wazi kuwa ushirikiano baina ya…
President Cyril Ramaphosa has declared that the late Gertrude Shope, who served the nation as an educator, freedom fighter, trade unionist and MP, will be honoured with a special official funeral category 1 on Saturday.
The Irish government approved the drafting of a bill to ban the import of goods from Israeli settlements considered illegal under international law, an unprecedented move for an EU member.
In a major political realignment that may reshape Sokoto’s political landscape, the Peoples Democratic Party (PDP) in Sokoto State suffered a significant blow on Tuesday as top supporters led by Alhaji Chika Sarkin Gishiri, Chairman of the Sokoto State Traders Association, defected to the All Progressives Congress (APC).
Palestinian traders in Jerusalem’s Old City returned to their shops on Tuesday to clean up a day after a march by Israeli nationalists that saw scuffles, insults and acts of vandalism.
A federal lawmaker, Mr Afam Ogene, has decried the alleged imposition of N700,000 against traders affected by the closure of the Onitsha drug market by the National Agency for Food and Drug Administration and Control (NAFDAC). Ogene, who is the member representing Ogbaru Federal Constituency in Anambra under the Labour Party said in a statement […]
Britannia AI is a crypto trading platform designed to make trading simple and efficient. It features an automated system that trades on your behalf, helping you make smarter decisions faster while saving time. Supporting a range of digital assets, Britannia AI is perfect for both beginners and experienced traders. Built to keep you ahead of market changes, this platform is your reliable partner in the fast-paced world of crypto trading.
MTWARA: The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) in Mtwara Region has successfully recovered over 79 million owed to cashew farmers from various Agricultural Marketing Cooperative Societies (AMCOS) in the region for the 2024/2025 farming season. Speaking in Mtwara on May 27, 2025, the PCCB Regional Chief, Elisante Mashauri, said the recovered funds were…
DAR ES SALAAM: TANZANIA, through the Tanzania Bureau of Standards (TBS) in collaboration with the Zanzibar Bureau of Standards (ZBS), has been granted the opportunity to host the General Assembly and Council Meetings of the African Organisation for Standardisation (ARSO). The meetings will take place in Zanzibar from June 23 to 27, 2025, and are…
By Godwin Oritse The Nigerian Customs Service, NCS, in partnership with the Federal Ministry of Industry, Trade and Investment, has officially launched the inaugural Nigeria–East/Southern Africa Air Cargo Corridor, a significant step towards enhancing regional trade and deepening integration under the African Continental Free Trade Area (AfCFTA). Speaking at the commissioning ceremony, Comptroller-General of Customs, Adewale […]
QATAR: TANZANIA imevutia wadau wengi wa biashara katika maonyesho ya Project Qatar 2025, yaliyoanza Mei 26 yanayotarajiwa kumalizika Mei 29, 2025 kwenye ukumbi wa maonyesho na mikutano wa Doha (DECC) Doha, nchini Qatar. Tanzania imeshiriki maonyesho hayo kwa kushirikiana na ujumbe unaowakilisha wadau wa sekta ya umma na binafsi kutoka sekta ya ujenzi na viwanda…
By Nwafor Sunday The 2023 Labour Party presidential candidate, Mr. Peter Obi, has called on the National Agency for Food and Drug Administration and Control (NAFDAC) to reconsider its decision to impose a ₦700,000 charge on traders at the Onitsha Head Bridge Market to reopen their shops, describing the move as “unjust and insensitive.” In […]
MKOA wa Kagera ni miongoni mwa maeneo yenye historia ndefu ya kilimo cha kahawa, zao ambalo kwa sasa linaendelea kuchangia kiasi kikubwa cha fedha za kigeni kwa taifa. Takwimu za Wizara ya Kilimo zinaonesha kahawa kutoka inayolimwa Kagera imekuwa ikivutia soko la kimataifa na kuchangia kiasi kikubwa cha mauzo ya nje. Inaelezwa kwa msimu wa…
BRICS PORTAL: Member countries of the BRICS alliance—Brazil, Russia, India, China, and South Africa—along with newly associated nations such as Ethiopia, Egypt, Indonesia, Iran, and the United Arab Emirates, are increasingly conducting trade in their national currencies rather than the US dollar. According to recent reports, over 65% of trade among BRICS nations is now…
KILIMO cha biashara ni nguzo muhimu ya maendeleo ya kiuchumi kwa wakulima na taifa kwa ujumla. Hata hivyo, kilimo hicho kinachoweza kubadili hali ya maisha na kukuza uchumi wa jamii, kinahitaji mipango thabiti, utafiti wa soko na matumizi ya mbinu bora za kilimo. Tofauti na kilimo cha kujikimu kinacholenga kujitosheleza kwa chakula, hiki ni kilimo…
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuwaunganisha wafanyabiashara wa Tanzania na wale wa mataifa mengine, ikiwemo Japan ili kunufaika na fursa za kimataifa kupitia ushiriki wa nchi kwenye makongamano ya biashara, uwekezaji na utalii. Majaliwa ameyasema hayo alipofungua Kongamano la Biashara, Uwekezaji na Utalii lililowakutanisha wafanyabiashara wa Tanzania na Japan jijini Osaka, ikiwa ni…
State-owned PetroSA is desperate to keep the inner workings of its diesel trading business a secret. The details that amaBhungane managed to extract show why.
Displaced traders and residents under Iddo Bridge in Lagos State are pleading for urgent government help, saying they have been rendered homeless and without livelihoods. The appeal followed the demolition of structures under the bridge where they were trading or residing. The News Agency of Nigeria (NAN) reports that the demolition, which was carried out […]
… Reaffirms commitment to public health By Chioma Obinna The National Agency for Food and Drug Administration and Control, NAFDAC, on Monday, accused a social media influencer, Very Dark Man, VDM, of inciting traders at the Onitsha Bridge Head Market to defy federal regulatory measures following recent raids on open drug markets in Nigeria. The […]
The Turkish government has announced plans to simplify its visa process for Nigerians as part of efforts to deepen bilateral relations, promote trade, and increase travel between the two countries.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameagiza wamachinga kote nchini wapewe kipaumbele masoko ya kimkakati yanayojengwa. Mchengerwa alitoa agizo hilo juzi kwenye uzinduzi wa soko la nyama choma Vingunguti Dar es Salaam baada ya wamachinga kuomba nafasi kwenye ujenzi wa mji wa kisasa wa Jangwani.…
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ushirikiano wa Tanzania na Japan umezidi kukua na kuimarika katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia ambapo mauzo ya biashara kati ya nchi hizo yameongezeka kutoka Dola za Marekani bilioni saba mwaka 2023 hadi Dola bilioni 37 kwa mwaka 2024. Majaliwa aliyasema hayo jana alipomwakilisha, Rais Samia Suluhu Hassan wakati…
BUKOBA: TANZANIA Revenue Authority (TRA) in Kagera region has urged traders to utilise official customs stations and ensure they pay the right taxes to enhance the nation’s economic development. The authority’s regional manager, Mr Castro John equally appealed to owners of private vehicles with foreign plate numbers to register them at customs stations. “Traders should…
JAPAN: TANZANIA and Japan are witnessing a significant surge in economic cooperation, with bilateral trade rising from 7 billion US dollars (about 20tri/-) in 2023 to an impressive 37 billion US dollars (about 99.6tri/-) in 2024. Prime Minister Mr Kassim Majaliwa announced the figures yesterday during Tanzania Day celebrations at the World Expo Osaka 2025,…
The Federal Government has begun a review of Nigeria’s trade and investment strategies along with infrastructure planning with a view to boosting the nation’s economic competitiveness. The review was done at an Economic Management Team (EMT) session which was chaired by the Minister of Finance and Coordinating Minister of the Economy, Mr Wale Edun, in […]
The Federal Government is set to establish industrial hubs in four States of the federation as part of strategies to drive economic transformation and industrialisation across the country. Minister of State for Industry, Senator John Enoh, who disclosed this during the 16th National Council on Industry, Trade, and Investment recently held in Lagos, with the theme […]
MWANAMUME mmoja amepata pigo baada ya Mahakama Kuu mjini Voi kukataa kumlazimisha mshirika wake wa zamani wa kibiashara kumrejeshea Sh166,700 alizompa ili kuanzisha biashara ya pamoja. Jaji Asenath Ongeri aliamua kuwa fedha hizo hazikuthibitishwa kama mkopo au uwekezaji wa pamoja. “Kauli ya Phelister Masalo kwamba pesa hizo zilikuwa zawadi ya kuthamini uhusiano wao inaweza kuaminikuwa kuwa ya kweli, hasa kutokana na ukosefu wa makubaliano yaliyoandikwa au mashahidi huru,” alisema jaji huyo. Kwa mujibu wa mahakama, Mkala Maghanga alishindwa kuthibitisha kuwa fedha hizo zilitolewa kama mtaji wa biashara badala ya zawadi, ambayo haiwezi kudaiwa tena. “Nabaini kuwa mwanamke huyo hastahili kurejesha fedha hizo, kwa kuwa mwanamume huyo hakuthibitisha kuwa ilikuwa michango ya biashara inayoweza kurejeshwa,” alisema jaji katika uamuzi wake wa Mei 16. Hii ilikuwa mara ya pili kwa Maghanga kushindwa katika juhudi zake za kudai kurejeshewa fedha hizo, baada ya mahakama ya mahakimu kule Taveta kukataa ombi lake kwa msingi kuwa fedha hizo zilikuwa zawadi kwa mwanamke huyo na hivyo hazirejesheki kisheria. Maghanga alikuwa amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama ambao ulikataa kumlazimisha mwanamke huyo kumrejeshea pesa hizo, ikibaini kuwa hakukuwa na makubaliano halali ya kibiashara yanayoweza kutekelezwa kisheria. Kesi hiyo ilianza wakati Maghanga alipowasilisha kesi hiyo katika mahakama ya Taveta, akitaka kurejeshewa Sh166,700—kiasi alichodai alikitoa kuanzisha biashara na Masalo. Masalo, hata hivyo, alikanusha madai hayo, akisema alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwalimu huyo na fedha hizo zilikuwa zawadi ya mapenzi kati yao. Maghanga aliieleza mahakama kuwa walikubaliana kwa maneno na Masalo mwishoni mwa Oktoba 2022 kufungua baa ndogo mjini Taveta kama washirika sawa, na alimkabidhi Sh166,700 kwa njia ya pesa taslimu na vifaa kama mtaji wa kuanzia. “Biashara ilianza vizuri, lakini kufikia mwishoni mwa Novemba, Masalo alianza kuwa na siri na akakataa kutoa taarifa kuhusu mapato ya mauzo,” alisema Maghanga. Alidai kuwa Masalo alikubali awali kurejesha fedha hizo lakini baadaye alibadili msimamo, jambo lililomsababisha kumtumia barua akidai fedha zake na hatimaye kumshtaki mwanamke huyo. Katika majibu yake, Masalo alikataa madai hayo, akisema kesi hiyo haikuwa na msingi na ilifunguliwa kwa nia mbaya baada ya kugundua kuwa Maghanga alikuwa ameoa, jambo lililomfanya avunje uhusiano wao wa kimapenzi. Alipinga rufaa hiyo akisema Maghanga alishindwa kuwasilisha ushahidi madhubuti wa kuwepo kwa makubaliano yanayoweza kutekelezwa “Pesa na vifaa hivyo vilitolewa kwa sababu ya mapenzi na havikukusudiwa kuwa mkopo au uwekezaji,” alisema. Aliongeza kuwa ushahidi pekee uliowasilishwa—maandishi ya mkono, jumbe za WhatsApp, na risiti zilizoandikwa kwa jina lake—havikusainiwa, hazikukuwa na tarehe, na haziwezi kuthibitishwa. Pia alibainisha kuwa hakuna mashahidi waliowasilishwa kuthibitisha madai ya Maghanga. Mahakama ilikubaliana na uamuzi wa mahakama ya mahakimu , ikisema kuwa zawadi zinazotolewa katika muktadha wa uhusiano wa kimapenzi haziwezi kudaiwa tena kisheria chini ya sheria za Kenya. Jaji aliamua kuwa Maghanga alishindwa kuthibitisha kuwepo kwa mkataba halali kama inavyohitajika kisheria, na hivyo uamuzi wa mahakama ya awali wa kutupilia mbali dai hilo ulikuwa wa haki.
The National President of the Nigerian Association of Chambers of Commerce, Industry, Mines and Agriculture, NACCIMA, Dele Kelvin Oye, has urged investors to tap into Nigeria’s strategic position as the gateway to Africa’s vast market base of 1.4 billion people as well as exploit the enormous potential presented by the African Continental Free Trade Area, AfCFTA, agreement, which offers unprecedented opportunities for trade and investment across the continent.