
KOCHA STEVE BARKER NA KIUNGO SEMFUKO WAFUNGUKA KUWAFANYA VIBAYA JKT TANZANIA LIGI KUU KESHO
KOCHA STEVE BARKER NA KIUNGO SEMFUKO WAFUNGUKA KUWAFANYA VIBAYA JKT TANZANIA LIGI KUU KESHO ⚫️ JE, UNA HABARI?
Category
Match reports, transfers and results from East African football and leagues worldwide, plus athletics, basketball and the biggest stories in global sport.

KOCHA STEVE BARKER NA KIUNGO SEMFUKO WAFUNGUKA KUWAFANYA VIBAYA JKT TANZANIA LIGI KUU KESHO ⚫️ JE, UNA HABARI?

Pambano la hivi karibuni la Kamaru Usman ndani ya Octagon liliashiria hatua mpya katika taaluma yake: mmoja wa wapiganaji wa uzani wa welter (welterweight) waliofanikiwa zaidi katika historia ya UFC alipanda hadi uzani wa kati (middleweight) na kupigana raundi tano dhidi ya bingwa wa zamani, Dricus du Plessis. Kwa Usman ambaye ni balozi wa MelBet, pambano hilo lilikuwa uzoefu wa thamani na mtihani mkubwa.

WALIPOINGIA katika gesti hiyo walikutana na mhudumu wa gesti ambaye walimueleza kuwa awalikuwa wakimhitaji mwenye gesti ile.

WALIPOINGIA katika gesti hiyo walikutana na mhudumu wa gesti ambaye walimueleza kuwa awalikuwa wakimhitaji mwenye gesti ile.

Former Manchester City manager Pep Guardiola has thrown his support behind the club after it was found guilty of 114 breaches of the Premier League’s financial rules.

An independent commission found that Manchester City arranged “sham” contracts with commercial partners as part of a scheme involving more than £830m in secret funding of its football operations.

Former Manchester United captain Roy Keane has said he would throw his Manchester City medals “in the bin” if he were a player at the club following its guilty verdict over breaches of Premier League financial rules.

"The incident is under control, and all measures are currently being deployed in order to return the Israeli passengers safely to Israel," a statement said.

ARUSHA: AFRICAN lifestyle and beauty brand, Cherry Suzie, has opened a new outlet in Arusha, targeting growing demand for beauty, lifestyle and premium experiences as Tanzania prepares to co-host the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON). The new destination comes as Arusha prepares for an expected increase in visitors, football fans and international guests during…

DAR ES SALAAM: SIMBA Queens and Yanga Princess will face each other today in the Women’s Community Shield semi-final at KMC Stadium. The Dar giants headline a four-team tournament that also features JKT Queens and Mashujaa Queens, who will face each other in the opening semi-final. The two winners will meet in the final. Simba…

MOROCCO: TAIFA Stars were held to a 1-1 draw by Madagascar in their 2027 Africa Cup of Nations (AFCON) Group L qualifier at Stade d’Honneur de Meknès in Morocco yesterday, leaving both sides still searching for their first win of the campaign. The result gave Tanzania and Madagascar their first points after both suffered defeats…

KAGERA Sugar imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi baada ya leo Septemba 30, 2026 kumtambulisha Amri Kiemba kuwa kocha msaidizi namba moja wa timu hiyo, huku Frank Domayo akiwa kocha msaidizi namba mbili.

Super Eagles head coach Eric Chelle has admitted that Guinea-Bissau were the better side after Nigeria suffered a 3-0 defeat in their 2027 Africa Cup of Nations qualifier on Tuesday.

Zamfara State Government said it deployed reliable internet to the Gusau International Airport ahead of the commencement of commercial flights in October. This was revealed by the Executive Secretary, Zamfara Information Technology Development Agency (ZITDA), Dr Habib Gajam, during an inspection tour of the airport at the weekend. He said they were at the Gusau […]

The Super Eagles suffered a major setback in their bid to qualify for the 2027 Africa Cup of Nations, AFCON after losing 3-0 to Guinea-Bissau in Bissau on Tuesday.

Nigeria's Super Eagles suffered a heavy 3-0 defeat to Guinea-Bissau in their Africa Cup of Nations 2027 qualifying clash in Bissau on Tuesday.

Manchester City have vowed to appeal against the Premier League's verdict that they are guilty of breaching financial rules.

The Premier League has formally confirmed the independent Commission’s decision finding Manchester City guilty of serious breaches of its financial rules and given the club until Friday, October 2, to appeal the findings.

TAIFA Stars imeshindwa kutunza bao la kuongoza baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Madagascar katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, uliopigwa leo, Jumanne kwenye Uwanja wa d'Honneur, Meknes nchini Morocco.

By Omeiza Ajayi ABUJA: The Federal Capital Territory (FCT) Command of the Nigeria Security and Civil Defence Corps (NSCDC) has deployed 3,000 personnel across the territory to enforce law and order and ensure a peaceful celebration of Nigeria’s 66th Independence Anniversary. The Command’s Public Relations Officer, Deputy Superintendent of Corps Monica Ojobi, disclosed this in […]

Obidient Movement has questioned the proposed deployment of Artificial Intelligence (AI) in the 2027 elections by Independent National Electoral Commission (INEC). The movement, in a statement issued by its Worldwide Coordinator, Dr Yunusa Tanko, said that the commission had yet to sufficiently explain how the technology would work. Tanko also expressed concerns over the commission’s […]

Kylian Mbappé, Ibrahima Konaté and Federico Valverde are expected to recover from their respective injuries and be available for Real Madrid's El Clásico against Barcelona on October 25, according to reports from ESPN.




The AFCON 2027 qualifiers are entering the second matchday of the group stage. The 12 groups consist of four teams each, with the participants playing in a round-robin format. Matchday 2 fixtures will be played through October 6. Matchday 1 took place on September 24-26 during the same FIFA international window. A special rule applies […]

FARID Mussa anaonekana kuwa miongoni mwa silaha ambazo Coastal Union imekuwa ikizisubiri kwa hamu, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Fikiri Elias, akisema wakati umefika kwa winga huyo kuanza kuonyesha kile alichonacho na kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho.

Former Manchester United striker Wayne Rooney says his former club do not deserve to be awarded Premier League titles retrospectively if rivals Manchester City are stripped of them following their financial-rule breaches.

TRA UNITED imeanza kujenga sura mpya ndani ya benchi lake la ufundi kwa kuvuta wataalamu kutoka vigogo wa Yanga na Azam FC, ikiwa hesabu za kuimarisha kikosi hicho msimu huu.

KARIAKOO dabi inayotarajiwa kupigwa Oktoba 10, Simba ikiwa mwenyeji dhidi ya Yanga imechambuliwa na mastaa wa zamani wa timu hizo jinsi itakavyokuwa ngumu na ushindani wa mbinu wa makocha Steve Barker na Manqoba Mngqith wote wakiwa raia wa Afrika Kusini.

KARIAKOO dabi inayotarajiwa kupigwa Oktoba 10, Simba ikiwa mwenyeji dhidi ya Yanga imechambuliwa na mastaa wa zamani wa timu hizo jinsi itakavyokuwa ngumu na ushindani wa mbinu wa makocha Steve Barker na Manqoba Mngqith wote wakiwa raia wa Afrika Kusini.

BEKI wa Singida Black Stars, Hussein Kazi amesema kutokana na ushindani wa namba uliopo katika timu hiyo, unampa chachu ya kujituma kwa bidii, kuhakikisha anapata nafasi ya kucheza na kuendeleza alichokifanya msimu uliopita.

The Ogun State Chapter of the Peoples Democratic Party (PDP) has dismissed claims challenging the eligibility of its 2027 governorship candidate, Hon. Oladipupo Adebutu, describing allegations that his name was omitted from the party’s official membership register as baseless and politically motivated.

DAR ES SALAAM: Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Deogratius Aloyce Massawe, amewaalika wawekezaji kutoka Finland na maeneo mbalimbali ya Ulaya kuwekeza nchini Tanzania, akisisitiza utayari wa sekta binafsi kushirikiana nao katika kujenga ubia na kuimarisha mahusiano ya kibiashara. Massawe ametoa mwaliko huo jijini Helsinki, Finland, wakati wa mkutano wa maandalizi…

Alikuwa mzee kutoka Ikwiriri, Rufiji, lakini jina lake lilifika mbali zaidi ya mipaka ya eneo aliloishi. Alikuwa si mchezaji, si kocha wala kiongozi wa klabu, lakini kwa miaka kadhaa sauti yake ilikuwa miongoni mwa zilizotengeneza burudani na hamasa katika soka la Tanzania.

Six months back, I was venting to my buddy Marcus about how Sundays had turned into this endless wasteland of boredom. Real games were on break, and waiting around for match days was getting old fast.

Tebas, in a lengthy social media post on Sunday, said that "equal rules for all" were essential to protect the integrity and sustainability the game.

UTANGULIZI “Jukumu lilikuwa mikononi mwako. Itabidi utupe maelezo ya kina ni kwanini Benjamin ameuawa” “Niwape maelezo gani tena?” “Huna budi kuisaidia polisi. Utakuwa mikononi mwetu hadi uchunguzi wetu utakapokamilika” “Lakini hii si haki jamani!” “Haki ni ipi?” Inspekta Amour akaingilia kati. SASA ENDELEA “Usituzuie kufanya kazi yetu! Lazima uwekwe ndani!” Mlinzi huyo alikokotwa na kuwekwa ndani. Almasi alifika makao ya polisi baada ya mazishi ya Benjamin ambayo yalifanyika siku ya pili yake. Alipofika alikutana na Inspekta Amour ambaye alimuita kachero mwenzake ofisini. Makachero hao wakaanza kumhoji Almasi. “Almasi hebu tueleze ukweli, unahisi ni kwanini watoto wako wanauawa?” Aliyenza kumuuliza alikuwa Amour. Swali hilo likamshangaza Almasi. “Unaniuliza ni kwanini watoto wangu wanauawa?” “Ndiyo. Inawezekanahujui sababu lakini kuna vitu unavihisi, ndio tunataka utuambie” “Nyinyi mlishindwa kugundua?” “Ndiyo tuko katika upelelezi” Kachero aliyekuwa na Inspekta Amour akamwambia. Almasi alinyamza kidogo. Akaonekana kama alikuwa akifikiria kitu kabla ya kusema. “Mimi ninahisi ni hujuma tu. Watu wanaona kama vile nimepata neema ya watoto na mali, basi wanataka nifilisike. Nisiwe na mali wala watoto” “Unashuku watu hao ni kama kina nani?” Amour akamuuliza huku akimtazama kwa makini. “Siwezi kuwajua isipokuwa ninahisi tu kama vile mlivyotaka kupata hisia zangu” “Umesema watu wanaona umepata neema ya mali na watoto, hebu tuambie una mali ya kiasi gani?” “Nina nyumba, nina kiwanda kile cha maji safi na nina vitega uchumi vingine vidogo dogo” “Watu wengi wana mali zaidi ya hiyo, kwanini wauaji hao wakuandame wewe peke yako. Una sababu yoyote unayoweza kitueleza?” “Wameamua tu, pengine ni watu wanaonifahamu” “Huna biashara nyingine zaidi ya hizo ulizotutajia?” Kachero aliyekuwa na Amour akamuuliza. Almasi akatikisa kichwa” “Sina biashara nyingine” “Hebu tueleze jinsi ulivyochuma mali yako?” “Inahusianaje na kuuawa watoto wangu?” “Inaweza kuhusiana. Tueleze tu, sisi tunajua” “Sijui nianzie wapi?” “Pa kuanzia ni pale ulipoanza kupata mali” “Kabla ya kupata mali nilikuwa mfanyabiashara wa madini” “Hebu tueleze ulikuwa na mtaji wa kiasi gani wakati huo?” Amour akamuuliza. “Sikuwa na mtaji wowote. Nilikuwa mtu wa kati. Akitokea mtu ana madini na anatafuta mteja, mimi nilikuwa nawajua wateja wa madini. Hapo ninakuwa nimepata dili” “Hizo pesa ulizopata zilikutosha ununue kiwanda?” Amour akaendelea kumuuliza. “Nlinunua kiwanda baada ya kuwa nimeshatajirika” “Tueleze jinsi utajiri huo ulivyoupata” Baada ya kuwa mlanguzi wa madini kwa miaka kadha, hatimaye nilikwenda Marerani mwenyewe. Huko ndiko nilikofanikiwa” “Ilikuwa ni lini?” “Kama miaka kumi hivi iliyopita” “Kuna wenzako wowote uliokuwa ukishirikiana nao?” “Nilikuwa nao” “Wako wapi?” “Tumechangukana. Nilisikia mmoja yuko Nairobi. Mwingine yupo hapo Kibaha” “Mlipotezana lini?’ “Miaka mingi sana” “Na hao wenzako ni matajiri?” “Inawezekana ni matajiri lakini si kama mimi” “Kwanini, wakati mlikuwa pamoja?” “Tulikuwa pamoja lakini mimi ndiye niliyekuwa bosi wao” “Hata huyo aliyeko Kibaha hamuwasiliani?” “Hatuwasiliani” “Kwanini?” “Yule tulifarakana kule kule Marerani” “Kwanini mlifarakana?” “Hatukuwa tukielewana. Ni mtu mwenye tamaa sana. Kila unachompa kwake kinakuwa kidogo” “Ulivyosikia anafanya nini hapo Kibaha?’ “Nilisikia ana gesti na ana mradi wa ufugaji kuku” Amour aliwaza kidogo kisha akamuuliza. “Nilisikia hii kazi ya madini si kazi ya kuiingia kikichwa kichwa. Unaweza kudhulumiwa au kudhulumu. Kwako wewe ilikuwaje?” “Ilikuwa safi tu” “Hamkudhulumiana na wenzako?” “Hapana” “Sasa kwanini huyo mwenzakohamuwasiliani wakati mpo karibu tu?” “Ni kwa sababu ya roho yake mbaya” “Anaitwa nani?” “Mosha” “Mosha nani?” “Nilikuwa namfahamu kwa jina hilo tu” “Gesti yake inaitwaje?” “Inaitwa hivyo hivyo Mosha Guest House” Amour akaitazama saa yake. “Tuna maswali mengi ya kukuhoji lakini naona muda hauturuhusu. Kwa leo tuishie hapa. Tutakuhitaji tena hapo kesho” “Sawa” Almasi alipoondoka, Amour alimwambia kachero aliyekuwa naye. “Meja Elias twende Kibaha” “Kwa ajili gani?” “Tumfuate huyo jamaa tuliyelezwa..” “Nani, Mosha?” “Kuna kitu tunaweza kukipata kutoka kwake. Almasi anashuku tu kuwa kuna watu wanaomfanyia hujuma lakini huenda huyo Mosha akawa mmojawapo” “Kutokana na maelezo yake inaonekana watu hawa hawako sawa” “Mimi nina mashaka kwamba huyu Almasi alimdhulumu huyo mwenzake ndio maana wamefarakana na inavyoonesha wana uadui. Inawezekana kabisa kuwa ndiye anayemhujumu” “Ni wazo zuri. Twende” Dakika chache baadaye Inspekta Amour na Meja Elias wakawa kwenye gari la polisi wakielekea Kibaha. “Huyo Mosha anaweza kuwa anatuma watu kumuulia mwenzake watoto wake” Amour alimwambia Elias wakati gari hilo la polisi likielekea Kibaha. “Unajua unanikumbusha kitu. Yule aliyeshuhudia wakati Benjamin anauawa alituambia alimsikia huyo muuaji akimwambia marehemu kuwa baba yako alikuweka dhamna lakini umeshindwa kutimiza masharti ya dhamana. Huoni kuwa hapo pana kitu?” “Kitu kipo, ndio maana nikakwambia twende Kibaha. Tukimpata huyo Mosha tutajua mengi” “Hatukumuuliza Almasi huyo Mosha anaishi eneo gani?” “Ametuambia ana gesti inayoitwa kwa jina lake. Tutaulizia hiyo gesti. Tukiipata na yeye mwenyewe tutakuwa tumempata” Saa chache baadaye Inspekta Amour na kachero Elias wakawa kwenye gari wakielekea Kibaha. “Tulikosea tangu mwanzo kutomchunguza huyu Almasi” Amour alimwambia mwenzake wakati gari hilo likiwa kwenye mwendo. “Ni kweli. Waswahili wanasema kikulacho kinguoni mwako. Huenda haya matatizo yanatokana na yeye mwenyewe” “Vile alivyotaja biashara ya madini, nimepata shaka sana. Huenda amedhulumiana na wenzake na wakawekeana visasi. Kwanini yeye awe tajiri wenzake wasiwe matajiri wakati walifanya biashara moja? Au kwanini atuambie kuwa alikorofishana na Mosha tangu wakiwa machimboni? Lazima patakuwa pana kitu. Tukichunguza kwa makini tunaweza kugundua” “Mimi nayafikiria sana yale maneno “Baba yako alikuweka kama dhamana na wewe umeshindwa kutimiza masharti ya dhamana” “Sasa hapo sipanaonesha pana jambo. Mwenyewe tulipomuuliza anakanusha” “Jambo jingine ambalo nimekuwa nikilifikiria ni kwamba majambazi wanaua kwa lengo la kufanya uporaji, kwanini watoto wake wanauawa bila hata kupekuliwa mifukoni? Huoni kama pana kisasi hapa?” “Ninaamini kabisa kwamba tunaelekea kugundua kitu” Walipofika Kibaha hawakusumbuka kuipata Mosha Guest House. Kwani vibao vilivyowekwa pembezoni mwa barabara vikionesha gesti hiyo ilipo, viliwangoza hadi mtaa uliokuwa na gesti hiyo. Ilikuwa ni gesti iliyounganishwa na baa. “Huyu atakuwa ni mchaga hasa. Wachaga hupenda kuunganisha baa na gesti” Amour alimwambia Elias wakati wakiitazama gesti hiyo. “Ukienda mikoani wachaga ndio wanaomilliki sana biashara ya gesti na baa” Mara tu baada ya kuigundua gesti hiyo, walikwenda kituo cha polisi na kuonana na mkuu wa polisi wa wilaya hiyo. “Tulikuwa tunamtafuta mtu anayeitwa Mosha. Tumeambiwa anamiliki gueti house” Amour alimwambia mkuu huyo wa polisi wa wilaya ya Kibaha mara tu walipoingia ofisini mwake. “Amefanya nini?” Mkuu huyowa kituo akawauliza. “Tumeambiwa kwamba alikuwa akishitrikiana na mtu mmoja anayeitwa Almasi, mkazi wa Dar es Salaam ambaye watoto wake wamekuwa wakiuawa na hivi sasa wamemalizika wote…” “Nimeshasikia kuhusu mtu huyo. Sasa Mosha anahusikaje?” “Tukokwenye uchunguzi. Tumegundua kwamba huenda wanaomfanyia hivyo Almasi ni watu aliokuwa akishirikiana nao kwenye biashara yake ya madini ambayo aliwahi kuifanya na ndiyo iliyompa utajiri” “Mosha aliwahi kushirikina na mtu huyo kwenye biashara ya madini?” “Aliwahi kushiriikiana naye na kisha walifarakana. Tunadhani walidhulumiana mali na waliwekeana visasi kwa sababu pamoja na urafiki wao, hivi sasa wana uhasama” “Mosha namfahamu sana, ana gesti yake ambayo pia ni maarufu” “Gesti yake tumeshaiona. Tunataka kukupa taarifa kuwa tupo hapa kikazi. Kama tutahitaji msaada wako tutakuarifu” “Sawa. Hakuna tatizo” “Sasa acha twende tukaonane naye” “Labda niwape askari muwe nao?” “Tukihitaji msaada huo tutakuwambia” “Sawa” Makachero hao wakatoka. Walikwenda katika gesti ya Mosha wakashuka kwenye gari. Vile ambavyo walivaa kiraia na gari walilotumia lilikuwa na namba za kiraia, hakukuwa na mtu yeyote aliyewatambua kuwa ni makachero.

ARUSHA: THE first international cultural festival is expected to provide an opportunity for visitors who will come to Arusha during the Africa Cup of Nations (AFCON 2027) Finals to experience Tanzanian culture through various arts activities. Tanzania will host AFCON 2027 together with Kenya and Uganda. The Arusha International Cultural Festival (AIC Festival), organised by…

PAZIA la msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (WPL) linafunguliwa rasmi leo, Septemba 30, kwenye Uwanja wa KMC, Mwenge jijini Dar es Salaam, zikipigwa mechi mbili za nusu fainali ya Ngao ya Jamii.

Mauricio Pochettino has branded Manchester City's era of sustained success "a period of deception" after they were reportedly found guilty of breaking the Premier League's financial rules.

Super Eagles coach Eric Chelle is facing selection concerns ahead of Nigeria’s 2027 Africa Cup of Nations qualifier against Guinea-Bissau, with George Ilenikhena, Tolu Arokodare and Akor Adams among the players doubtful for the match.

Manchester City's fate in a legal battle with the Premier League is yet to be sealed, but reports they have been found guilty on widespread financial misconduct has sparked speculation of what comes next.

DAR ES SALAAM: THE Tanzania Football Federation (TFF) has appointed Evans Mgeusa as its new Secretary General as part of a wider restructuring of the federation’s leadership and directorates. The changes were announced yesterday following a meeting of the TFF Executive Committee in Dar es Salaam, chaired by federation president Wallace Karia. The appointments were…

ZANZIBAR: YASSER De Costa, Chairperson of the Advisory Board of the Zanzibar Roads Agency (ZANROADS), has urged golfers to serve as ambassadors for the islands as Tanzania prepares to host the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON). De Costa made the call during the 2026 CEOs Luxury Retreat Golf Tournament held over the weekend at…

DAR ES SALAAM: SIMBA Head Coach Steve Barker says the club’s training camp in South Africa has provided an important opportunity for the team to regroup and address areas that require improvement after missing out on a conventional pre-season programme. Barker said Simba went straight into the CECAFA tournament in Kigali without a proper pre-season…

DAR ES SALAAM: TAIFA Stars are ready for their second AFCON 2027 Group L qualifier against Madagascar in Meknès, Morocco, despite a 2-0 defeat to Guinea-Bissau in their opening qualifier match. Tanzania Football Federation (TFF) Director of Information and Communications Clifford Ndimbo said the squad had settled in Fez, where they camped ahead of today’s…

SHINYANGA: THE growing adoption of clean cooking energy in Msalala District Council is creating new opportunities for local energy businesses while expanding access to cooking gas and supporting the shift away from charcoal and firewood. The development is being driven by community awareness programmes and a network of local energy ambassadors as the government works…

DAR ES SALAAM: THE Land Transport Regulatory Authority (LATRA) is developing a new vehicle tracking system to replace the existing one after discovering attempts by some road users to manipulate tracking signals, undermining real-time monitoring of buses and road safety enforcement. The new system, which is being developed by LATRA, is at an advanced stage…

Susan Muwonge kutoka nchini Uganda, amejitosa kuwa mwanamke wa kwanza Afrika kushiriki fainali za mbio za magari za African Rally Championship 2026 zinazotarajiwa kufanyika kuanzia Oktoba 1 hadi 4, 2026, katika maeneo ya Shamba la Miti la TFS, Makundi mkoani Morogoro.