Video
MELI YA MAFUTA YASHIKA MOTO BAADA YA KUGONGA BOMU LA MAJINI - JESHI LA IRAN LAWEKA ONYO KALI!
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
MELI YA MAFUTA YASHIKA MOTO BAADA YA KUGONGA BOMU LA MAJINI - JESHI LA IRAN LAWEKA ONYO KALI! Meli ya mafuta imeshika moto asubuhi ya leo baada ya kugonga bomu la majini katika eneo lililopigwa marufuku mashariki mwa Mlango Bahari wa Hormuz. Kwa mujibu wa Jeshi la Majini la Iran kupitia Shirika la Utangazaji la Serikali (IRIB), meli hiyo ilikuwa ikisafiri bila kufuata maonyo huku ikiwa imezima mifumo yake ya utambulisho na uongozaji. Jeshi la Iran limetoa onyo kali kwa wamiliki wa meli kutopita maeneo yaliyowekewa vizuizi kwani kufanya hivyo kunahatarisha usalama wa mabaharia na vyombo vyao. Tukio hili linazua taharuki zaidi kwenye njia hiyo kuu ya usafirishaji inayopitisha takribani 20% ya mafuta ghafi duniani, huku mvutano ukiendelea kati ya Marekani, Israel, na Iran. #BreakingNews #Iran #StraitOfHormuz #Habari #GlobalTV #GlobalHabari #MeliYaMafuta ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
InternationalDeadly attack in Kyiv as Russia launches barrage against Ukraine
Russia launched more than 400 drones and 110 missiles across Ukraine overnight, killing at least seven in Kyiv.
InternationalRussia-bound ship attacked in Gulf of Finland
Finnish defence forces say that Ukraine was likely behind the drone attack on the vessel.
InternationalFBI national crime database suffers suspected breach: Reports
The reported hacking is the latest in a string of breaches and outages affecting the US government.
InternationalCould Brexit be reversed?
UK Prime Minister Andy Burnham hopes his country will rejoin the EU in his lifetime. But what are the chances?