Video
MOTO MKUBWA WATEKETEZA HOTELI TATU ZANZIBAR - POLISI WAELEZA UKWELI!
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
MOTO MKUBWA WATEKETEZA HOTELI TATU ZANZIBAR - POLISI WAELEZA UKWELI! Moto mkubwa umezuka na kuteketeza hoteli tatu maarufu za kitalii katika eneo la Nungwi, Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja, Zanzibar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, likiongozwa na Kamanda wa Polisi, limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kutoa maelezo ya kina kuhusu chanzo cha moto, ukubwa wa uharibifu uliotokea, pamoja na hatua zinazoendelea kuchukuliwa kukabiliana na majanga ya aina hii. #Zanzibar #Nungwi #MotoZanzibar #HabariZaLeo #GlobalTVOnline #ZanzibarNews ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
NewsPhotos: Babu Owino holds series of rallies in Nairobi shortly after Sifuna lands in the US
Embakasi East MP Babu Owino held rallies in Nairobi as Edwin Sifuna arrived in New Jersey, USA, for a 17-day US tour amid their political differences.
News2027 Election: INEC failed on voters’ register – ADC
“This shouldn’t have happened. INEC had four years to prepare, and its failure to do so does not suggest it is taking its responsibilities seriously"
NewsTinubu’s reforms need patience, collective sacrifice to succeed – Senator Usaini
The economic reforms introduced by President Bola Ahmed Tinubu require patience, collective commitment and sacrifice from Nigerians to achieve their intended objectives, Senator representing Jigawa North-West, Babangida Usaini, has said.
News