Video
JKT Tanzania 1-2 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 21/11/2026
Channel: Azam TV Watch on YouTube
About this video
Simba SC imepindua meza na kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Dar es Salaam, ukiwa ni ushindi wake wa 11 mfululizo kwenye ligi msimu huu... Wenyeji JKT Tanzania ndio waliotangulia kupata bao dakika ya 10 kupitia kwa Said Mkopi, lakini Simba wakajibu kwa mabao ya Elie Mpanzu na Libase Gueye. Tazama highlights....
Related stories
SportsSimba yaendelea kutembeza kipigo Ligi Kuu
SIMBA imeendelea kutamba kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 leo Jumamosi, Novemba 21, 2026 katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.
SportsMagoli | JKT Tanzania 1-2 Simba SC | NBC Premier League 21/11/2026
Simba SC imepindua meza na kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Dar es Salaam, ukiwa ni ushindi wake wa 11 mfululizo kwenye ligi msimu…
SportsTanzania yapewa miji mitatu kuandaa AFCON 2027
Tanzania imepata bahati ya miji mitatu kupewa fursa ya kuandaa mechi za Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027.
SportsCAF YAPITISHA KISWAHILI KUWA LUGHA RASMI YA SHIRIKISHO HILO
21 Novemba, 2026 | Abuja, Nigeria Shirikisho la Kandanda Barani Afrika (CAF) limeidhinisha Kiswahili kuwa moja ya lugha rasmi za shirikisho hilo baada ya kufanya mabadiliko madogo katika Katiba ya…