
Category
Follow the East African economy: markets and currencies, trade and investment, banking and finance, agriculture, mining and the companies and policies that move them.


DAR ES SALAAM. Kampuni ya Jan International imesema shughuli zake za biashara ya magari nchini zimeendelea kuchangia shughuli za kiuchumi kupitia ajira, mapato ya Serikali na huduma kwa wateja kutoka maeneo mbalimbali nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Ally Akbar, amesema Jan International imekuwa ikifanya biashara Tanzania kwa zaidi ya miaka 15, kipindi ambacho shughuli…

By Elizabeth Adegbesan Nigeria’s net foreign exchange (forex) inflow rose by 36.5 percent year-on-year (YoY) to $33.76 billion in the first five months of 2026 (5M’26), from $24.72 billion in the corresponding period of 2025 (5M’25). The increase came amid ongoing efforts by the Central Bank of Nigeria (CBN) to deepen the foreign exchange market, […]

The Nigerian currency, the naira, exhibited relative stability against the United States dollar across both the official and parallel market segments as trading commenced mid-week.

Tanzania and Qatar signed a Double Taxation Agreement (DTA) on 29 September 2026, eliminating double taxation on cross-border income between the two countries. Both countries are now moving toward rapid implementation, aiming to deepen economic cooperation and attract new investment across infrastructure, energy, tourism and financial services.

TCB Bank has confirmed preparations to enter the capital market as the Tanzanian government targets up to five state-owned company listings at the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) by the end of the 2026/27 financial year. State mining company STAMIGOLD could be among the next companies to enter the DSE.

The Tanzania Mining and Investment Conference (TMIC) 2026 will be held from 19 to 21 November at the Julius Nyerere International Convention Center (JNICC) in Dar es Salaam under the theme "Value-Added Minerals: The Engine of Industrialization and Economic Growth." Hosted by the Ministry of Minerals with the Tanzania Chamber of Mines, the seventh edition expects 2,000 to 3,000 participants from over 50 countries and more than 100 speakers to discuss financing and de-risking value-addition projects, critical minerals pipeline projects, and industrial parks for smelting and refining, alongside project pitching by selected mining projects and value-addition opportunities in cement, ceramics, graphite for battery anodes, nickel, cobalt, steel, copper, and gold.

MRADI wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta cha Dangote kinachotarajiwa kujengwa Lamu unatazamiwa kubadilisha nafasi ya Kenya katika biashara ya mafuta huku ukipatia Afrika Mashariki uwezo mkubwa wa kujitosheleza kwa bidhaa za petroli. Kiwanda hicho cha thamani ya zaidi ya Sh2 trilioni kinatarajiwa kuwa na uwezo wa kusafisha mapipa 700,000 ya mafuta ghafi kwa siku, kiwango kinacholingana na uwezo wa Kiwanda cha Dangote nchini Nigeria ambacho sasa ni miongoni mwa vikubwa zaidi duniani. Kwa mujibu wa Kamishna wa Petroli nchini, Joseph Otieno, mapipa 700,000 kwa siku yanamaanisha kiwanda hicho kitakuwa kinatumia mafuta ghafi ya zaidi ya lita 111 milioni kila siku ili kuzalisha petroli, dizeli, mafuta ya ndege, gesi ya LPG, mafuta mazito na lami. Wataalamu wanasema uwezo huo ni mkubwa ikilinganishwa na mahitaji ya sasa ya mafuta katika Afrika Mashariki ambayo yanakadiriwa kuwa mapipa 450,000 kwa siku. Hii ina maana kuwa kiwanda hicho kitaweza kukidhi mahitaji yote ya Kenya na bado kisambaze mafuta katika nchi jirani. Kwa sasa Kenya pamoja na masoko ya kanda yanayohudumiwa na kampuni zake za mafuta hutumia takriban lita 21 milioni za petroli, dizeli na mafuta ya ndege kwa siku. Hata hivyo, kiwanda cha Lamu kinatarajiwa kuzalisha zaidi ya lita100 milioni za bidhaa hizo kila siku. Serikali inaamini uwekezaji huo utaimarisha usalama wa upatikanaji wa mafuta na kupunguza kutegemea bidhaa za petroli kutoka nje ya bara la Afrika. Pia utasaidia nchi za eneo hili kukabiliana na misukosuko ya soko la kimataifa na changamoto za usafirishaji wa mafuta. Mbali na mafuta ya kawaida, kiwanda hicho kinatarajiwa kuzalisha kemikali za viwandani zinazotumiwa kutengeneza plastiki, mbolea, vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine nyingi za viwandani. Mradi huo pia unatarajiwa kuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya Kaunti ya Lamu. Ujenzi wake utahitaji nyumba, hospitali, vituo vya mafunzo, mabohari, maabara, huduma za mawasiliano na miundombinu mingine muhimu. Katika kipindi cha miaka mitatu ya ujenzi, mafundi wataweka mashine za kusafisha mafuta, matangi makubwa ya kuhifadhi bidhaa, mabomba ya usafirishaji, mifumo ya umeme, maji na usalama pamoja na vituo vya kupokea mafuta kutoka meli na kusafirisha bidhaa zilizokamilika. Wataalamu wanaeleza kuwa uwekezaji wa Sh2 trilioni ni sawa na karibu asilimia 12 ya Pato la Taifa la Kenya, jambo linaloonyesha ukubwa wa mradi huo. Ikiwa utekelezaji wake utafanikiwa, Lamu inaweza kuwa mojawapo ya vituo vikuu vya biashara ya mafuta na viwanda katika Afrika Mashariki na Kati.

JAKARTA: TANZANIA’S Ambassador to Indonesia, Macocha Moshe Tembele, has participated in the opening ceremony of a training programme on trade and investment promotion for African countries under the South-South and Triangular Cooperation (SSTC) programme. The training began on September 28, 2026, at the Human Resources Development Centre for Export Services and Trade in Jakarta. The…

Drug traffickers are increasingly using less conventional methods to move illicit substances, including funeral vehicles, buses, motorcycles and other commercial transport, as authorities step up efforts to disrupt the trade.

President Donald Trump has described Canada as “one of the worst countries in the entire world” as tensions between the two longtime allies continue to escalate over trade.

“So, why are the Chinese coming to compete with us? We are moving away from there. And it’s going to start in Abia.

At the EU-Tanzania roadshow in Helsinki, the EU and Finland said they want to invest in Tanzania's critical minerals and digital economy, backed by a new EUR 156 million EU package and by Finnish financiers Finnvera and Finnfund, which confirmed they are open to Tanzanian deals. Tanzania offered European companies entry into graphite, nickel and rare earths processing, including at a former gold mine converted into a mineral processing zone, as well as into data centres, submarine cables and broadband, backed by TZS 7 trillion in planned public spending.

The Nigerian foreign exchange market opened trading on Tuesday with the naira maintaining a firm trajectory across both official and parallel windows.

I&M Bank received TZS 161.38 billion in applications for its initial TZS 20 billion Hatua Bond offer, a subscription rate of 806.92%. It accepted TZS 100 billion under its approved programme and will refund the balance.

DOHA: TANZANIA is seeking to expand exports to Qatar and use the Gulf nation as a gateway to wider Gulf markets as it steps up efforts to attract investment in value-addition industries. The strategy was outlined yesterday in Doha by Minister for Industry and Trade, Judith Kapinga during a meeting with First Vice-Chairman of the…

Rwanda is expected to guide the coalition in coordinating unified positions on international trade, climate finance, technology, and the reform of global economic governance and multilateral institutions.

KENYA itachukua hatua muhimu kujinafasi kama kituo kikuu cha nishati na viwanda kikanda Rais William Ruto atakapoongoza hafla ya kuzindua mradi uliopendekezwa wa Kiwanda cha Mafuta Afrika Mashariki mjini Lamu hapo kesho, chenye thamani ya Sh2 trilioni. Kiwanda hicho chenye uwezo wa kusafisha mapipa 700,000 kwa siku kinachofadhiliwa na bilionea wa Nigeria Aliko Dangote, kinatarajiwa kuwa kikubwa zaidi cha aina hiyo Afrika Mashariki na kusambaza bidhaa za petroli nchini na masoko ya nchi jirani. Eneo lake katika Bandari ya Lamu vilevile inatarajiwa kuimarisha nafasi ya Kenya kama kituo kikuu cha kawi na biashara barani. Kulingana na serikali, hafla hiyo itahudhuriwa na viongozi kadhaa wa mataifa na wageni wengineo wa ngazi za juu huku Bw Dangote akiwa miongoni mwa wanaotarajiwa kuhudhuria. Nyuma ya uwekezaji huo, uwezo wake na maazimio makuu kuhusu mradi huo ni mwanamme ambaye jina lake limehusika kwa karibu na ufanisi wa biashara barani Afrika. Dangote anachukuliwa kuwa mtu tajiri zaidi Afrika huku jarida la Forbes likikadiria mali yake kuwa na thamani ya Sh4.7 trilioni kufikia Septemba 2026. Ni mwasisi, rais na mkurugenzi wa kampuni kwa jina Dangote Group, moja kati ya mashirika makubwa zaidi ya biashara Afrika Magharibi. Maisha yake yalianzia Kano, Nigeria, alipozaliwa Aprili 10, 1957, katika familia tajiri ya Hausa Muslim. Mama yake Mariya Sanusi Dantata alitoka familia yenye ushawishi mkuu ya wafanyabiashara, Dantata huku baba yake Mohamed Dangote, akiwa mfanyabiashara na mshiriki wa Dantatas. Biashara, hivyo basi, haikuwa jambo geni kwa familia ya Dangote, ilikuwa sehemu ya mazingira alimokulia bilionea huyo. Kupitia mama yake, Dangote ni kitukuu wake Alhassan Abdullahi Dantata, moja kati ya watu tajika na wafanyabiashara wakwasi Afrika Magharibi enzi ya ukoloni wa Uingereza. Dantata alijenga mali yake kupitia biashara ya bidhaa, ikiwemo kola nuts na njugu karanga na kuanzisha himaya ya biashara ambayo baadaye ingeunda sehemu ya urithi wa familia ya Dangote. Yamkini hata jina lake lilidokeza kuhusu kilichosubiri mbele. Kulingana na biografia, Aliko ina maana ya “mshindi anayetetea binadamu.” Dangote kisha aliunda himaya ya biashara ambayo viwanda, mashamba, vituo vya mafuta na bidhaa nyinginezo zimeajiri maelfu ya watu kote Afrika. Alilelewa kama Muislamu abapo alipokea mafunzo ya kidini katika madrassa kabla ya kuendelea na elimu yake rasmi. Baadaye alihudhuria shule ya serikali na kukamilisha elimu ya sekondari katika miaka ya 1970. Alisafiri Cairo, Misri ambapo alisomea Taaluma ya Biashara na Usimamizi katika chuo kikuu cha Al-Azhar. Aliporejea Nigeria, Dangote alijitosa katika tasnia ya biashara akisaidia na familia yake kifedha. Simulizi ya taaluma yake mwanzoni inasema alipata mkopo kutoka kwa mjomba yake na kutumia hela hizo katika biashara ya bidhaa kama vile mchele, sukari, na simiti. 1978, Dangote alianza rasmi taaluma yake ya biashara. Kufikia1981 biashara yake iligeuka Dangote Group.

Tanzania will require foreign visitors entering Mainland Tanzania to hold USD 44 travel insurance from 1 October 2026, per a Ministry of Finance notice confirming the commencement date under Government Notice No. 256 of 2026, administered by the National Insurance Corporation (NIC) at airports, land borders and seaports. Visitors will need to buy the cover before travel or on arrival and present a certificate covering medical treatment, evacuation and lost luggage, or risk being denied entry.

EcoGraf’s Epanko Graphite Project in Tanzania could lift Stage 1 output by 20% to 87,600 tonnes per year and cut operating costs by up to 6.8%, according to a Value Engineering Review. The Updated Bankable Feasibility Study, at 73,000 tonnes per annum, remains the basis for project financing.

By Ganiyu Olowu There is a moment in every public disagreement when explanation stops clarifying the issue and begins to become the issue itself. That moment may have arrived in the responses and counter responses of the Director General of the Ekiti State Bureau of Tourism, Mr. Wale Ojo-Lanre on his venom against Glocient Hospitality […]

Home Secretary Shabana Mahmood has signalled that the UK government could rethink plans to make it harder for foreign workers to obtain permanent residence, following pressure from Labour MPs and trade unions. Mahmood has faced calls to soften the proposed changes, including from Housing Secretary Angela Rayner, who previously criticised the plans. Speaking at Labour’s […]

President Samia Suluhu Hassan reshuffled Tanzania's Cabinet on 27 September 2026, naming new ministers for Works, Energy, and Constitution and Legal Affairs. Four other senior appointments were also announced, including a new Chief Medical Officer and Deputy Permanent Secretary for Finance.

KAHAMA: Yas Tanzania has expanded its retail and customer-service network in Kahama as growing economic activity in mining, agriculture and trade drives demand for reliable mobile, internet and digital financial services. The move follows the company’s continued expansion of its retail network and investment in digital infrastructure and services aimed at bringing mobile connectivity, customer…

THE financial markets are affected by not only the economic indicators and corporate performance but also the sentiments of investors. Every day on the trading markets, people decide whether they want to seek risk or avoid it. It is called risk-on and risk-off sentiment. It is very useful for traders to understand which one of…

MOROGORO: Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kupitia Mradi wa Tathmini ya Mapato ya Kaboni kama Njia Endelevu ya Uwezeshaji Kifedha katika Uhifadhi na Usimamizi wa Misitu ya Jamii Tanzania kimewajengea uwezo maafisa na wananchi kutoka maeneo yenye hifadhi za misitu ya vijiji pamoja na baadhi ya vijiji vyenye misitu ya hifadhi za vijiji…

By Gabriel Ewepu Nigeria is losing an estimated N13.7 trillion annually to illicit mining and illegal trade in solid minerals, stakeholders have warned, calling for stronger enforcement, regulation and monitoring of the sector. The stakeholders said the continued exploitation and movement of valuable minerals outside the regulatory framework were depriving the government of revenue and […]

GEITA: THE government is stepping up efforts to create an enabling environment for women to participate fully in Tanzania’s mineral value chain, from exploration, mining and processing to trading, value addition and the provision of services at mining sites. The drive places women at the centre of the country’s efforts to ensure that mineral wealth…

DAR ES SALAAM: A CRATE of fresh vegetables or flowers may begin its journey on a farm in one corner of Eastern Africa, but getting it to a buyer in another country or on the global market involves a chain far more complicated than planting, harvesting and packing. Behind every shipment are roads and border…

GEITA: WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewaomba wafanyabiashara, wajasiriamali na wachimbaji wadogo kuzingatia usajili wa nembo ya biashara badala ya kuishia kusajili jina la biashara pekee. Ofisa Usajili BRELA, Athumani Makuka ametoa wito huo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika badala la BRELA kwenye viwanja vya Maonyesho ya Tisa ya Teknolojia…

KAUNTI 10 zinaongoza katika matumizi ya fedha za maendeleo katika mwaka wa kifedha wa 2025/2026, huku kila moja ikitumia zaidi ya asilimia 70 ya bajeti iliyotengewa miradi ya maendeleo. Ripoti ya Mdhibiti wa Bajeti Margaret Nyakang’o iliyotolewa wiki iliyopita inaonyesha Kilifi, Wajir, Mandera, Meru, Trans Nzoia, Kirinyaga, Marsabit, Samburu, Kericho na Vihiga ziliongoza katika matumizi hayo. Kilifi iliongoza kwa asilimia 84.52, ikifuatwa na Wajir kwa asilimia 83.03 na Mandera kwa asilimia 80. Meru ilitumia asilimia 79.04, Trans Nzoia (asilimia 73.94), Kirinyaga (asilimia 73.89), Marsabit (asilimia 73.79) na Samburu ( asilimia 73.24). Kericho na Vihiga zilitumia asilimia 71.70 na 70.16 mtawalia. Kaunti hizo 10 zilitumia jumla ya Sh34 bilioni kati ya Sh126.69 bilioni zilizotumiwa na kaunti zote 47 katika miradi ya maendeleo. “Katika mwaka wa kifedha wa 2025/2026, serikali zote 47 za kaunti zilitumia Sh126.69 bilioni katika shughuli za maendeleo, sawa na kiwango cha matumizi cha asilimia 54 ya bajeti ya maendeleo ya Sh233.69 bilioni,” inasema ripoti hiyo. Hata hivyo, matumizi ya kawaida yalichukua sehemu kubwa ya bajeti, huku kaunti zikitumia Sh369.89 bilioni, sawa na asilimia 89.23 ya matumizi yote ya Sh496.58 bilioni. Matumizi ya maendeleo yalikuwa Sh126.69 bilioni, sawa na asilimia 25.51 ya matumizi yote. Meru na Wajir pia ziliongoza katika matumizi ya kawaida, kwa asilimia 91.85 na 90.23 mtawalia. Matumizi ya maendeleo yaliongezeka kwa Sh3 bilioni ikilinganishwa na 2024/2025, ambapo kaunti zilitumia Sh123.76 bilioni. Kilifi ilitumia Sh6.3 bilioni kati ya Sh7.4 bilioni zilizotengewa maendeleo, Wajir Sh4 bilioni kati ya Sh4.9 bilioni, huku Mandera ikitumia Sh4.3 bilioni kati ya Sh5.4 bilioni. Kwa upande mwingine, kaunti 13 zilitajwa kwa kuwa na kiwango cha chini cha matumizi ya fedha za maendeleo. Kaunti hizo ni Nakuru (asilimia 48.97), Kajiado (asilimia 48.05), Baringo (asilimia 47.76), Mombasa (asilimia 45.75), Laikipia (asilimia 45.49), Kiambu (asilimia 43.10), Kisii (asilimia 41.01), Uasin Gishu (asilimia 40.10), Narok (asilimia 34.42), Elgeyo-Marakwet (asilimia 34.17), Nairobi (asilimia 28.47), Siaya (asilimia 26.53) na Kisumu (asilimia 25.92). Utawala wa Gavana Johnson Sakaja, kwa mfano, ulitumia Sh3.8 bilioni kati ya Sh13.4 bilioni zilizotengewa maendeleo Nairobi. Siaya ilitumia Sh1.6 bilioni kati ya Sh6 bilioni, huku Kisumu ikitumia Sh1.7 bilioni kati ya Sh6.7 bilioni. Ripoti pia ilieleza wasiwasi kuhusu kaunti kutumia fedha nyingi katika mishahara na shughuli za kawaida badala ya maendeleo. Kaunti zilitumia Sh235.96 bilioni kulipa mishahara, mishahara midogo na marupurupu, huku Sh133.92 bilioni zikitumika katika shughuli za ukarabati. Kaunti pia zilikusanya Sh96.08 bilioni kutokana na mapato ya ndani, sawa na asilimia 89.99 ya lengo lao la mwaka. Hii ilikuwa ongezeko kutoka Sh67.3 bilioni zilizokusanywa mwaka wa 2024/2025. Aidha, kaunti zilipokea Sh415 bilioni kama mgao wa kitaifa. Mdhibiti wa Bajeti amezitaka kaunti kudhibiti matumizi ya mishahara na kuzingatia sheria inayowataka kuweka matumizi hayo katika viwango endelevu. Ripoti inaonyesha miradi 189 yenye thamani ya Sh10.51 bilioni imekwama katika kaunti mbalimbali. Pia, kaunti ziliripoti madeni ambayo hayajalipwa yenye thamani ya Sh172.53 bilioni kufikia Juni 30, 2026. Nairobi ilikuwa na deni kubwa zaidi la Sh86.9 bilioni, sawa na asilimia 50.35 ya jumla hiyo. Bi Nyakang’o alisema baadhi ya kaunti hutumia hadi asilimia 70 ya fedha zao kulipa mishahara na kuacha asilimia 30 pekee kwa maendeleo.

By Emma Ujah, Abuja Bureau Chief The Federal Government (FG) has reduced the penalty interest rate for late settlement of tax liabilities, with the new regime taking effect from October 1, 2026. Under the new arrangement, interest on tax liabilities payable in naira will be pegged to the Central Bank of Nigeria’s (CBN) Monetary Policy […]

The dollar-to-naira exchange rate opened the new trading week on Monday, September 28, 2026, with market participants monitoring movements in the Nigerian Foreign Exchange Market (NFEM) and the parallel market.

GEITA: TANZANIA’S mineral sales reached 7.78tri/- between January and June this year, equivalent to about 66.5 per cent of the 11.7tri/- recorded during the whole of 2025, signalling strong growth in the mining sector before the year ends. The figures, based on Bank of Tanzania (BoT) statistics, were announced yesterday by Tanzania Trade Development Authority…

Financial Vanguard learnt that the apex bank would intervene on the side of customers by compelling banks to honour all legitimate withdrawal requests from domiciliary accounts and dispense foreign currencies as requested by account holders.

The Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority (TISEZA) registered 243 investment projects worth USD 1.88 billion between April and June 2026, while seven Export Processing Zone (EPZ) and Special Economic Zone (SEZ) projects attracted USD 3.38 billion, led by China. The seven EPZ and SEZ projects are projected to create 30,235 jobs and generate USD 517.8 million in export turnover, mostly in agriculture and forestry.

Emma Ujah, Abuja Bureau Chief ABUJA — The reform drive of the Nigeria Customs Service, NCS, has received international recognition, with the Comptroller-General of Customs, Adewale Adeniyi, honoured with a Special Award of Excellence at the 2026 International Public Relations Association, IPRA, Golden World Awards in Athens, Greece. A statement issued by the NCS in […]

GEITA: The Government has continued to create an enabling environment for women to participate fully in the mineral value chain, ranging from exploration, mining, processing, trading and value addition to the provision of services at mining sites. This commitment places women at the centre of Tanzania’s efforts to ensure that the country’s mineral wealth creates…

By Victor Ahiuma-Young & Henry Obetta Workers in Nigeria’s courier and logistics sector have called for urgent regulation of the industry, warning that weak oversight is exposing the sector and the country to security and economic risks. The workers, under the aegis of the Courier and Logistics Staff Association of Nigeria, CALSSAN, made the call […]

In the commercial sector, Faronbi was known as the Babaloja of Aswani International Market, a position that placed him at the centre of trading activities in the area for several years.

Tanzania's financial markets in the week to 25 September 2026 saw the interbank 7-day weighted average rate rise to 6.79% from 6.72%, with money market volume climbing to TZS 867.55 billion and the shilling easing 0.16% to TZS 2,645.45 per US dollar. The Treasury bills auction drew TZS 514.54 billion in bids against TZS 388.70 billion offered, while outstanding government securities reached TZS 33,342.80 billion.

BAGAMOYO: TANZANIA and Japan are seeking to deepen a long-standing bilateral relationship by expanding trade, investment and industrial cooperation, with increased engagement between businesses from the two countries opening opportunities for technology transfer, industrial growth and employment creation. The renewed focus on investment comes as Tanzania seeks to attract more foreign capital and strengthen domestic…

The concerns are particularly acute on the Northern Corridor.

The transition is seamless because both crops (wheat and barley) share identical soil and climate requirements.

'Kenya is Iran’s gateway to East Africa, while Iran can be Kenya’s gateway to Central Asia. Resolving the tea issue and providing trade incentives would help achieve these objectives.'

MWANABIASHARA wa sekta ya ubunifu na burudani kutoka Uganda, Julius Kyazze, ametambuliwa miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi mkubwa barani Afrika. Kyazze, ambaye ni mwanzilishi na Afisa Mkuu Mtendaji (CEO) wa LIVE54+, alitunukiwa tuzo hiyo katika hafla iliyofanyika Kigali, Rwanda, Septemba 25, 2026. Alikuwa mwakilishi pekee wa sekta ya ubunifu miongoni mwa viongozi waliotambuliwa katika nyanja mbalimbali. Kutambuliwa kwake kunafuatia zaidi ya miongo miwili ya shughuli za ujasiriamali katika sekta za ubunifu, burudani, vyombo vya habari na michezo barani Afrika. Kyazze amehusika katika kujenga na kuendesha biashara Uganda, Kenya, Tanzania, Ghana na Rwanda, huku akishirikisha wataalamu na wadau kutoka masoko mbalimbali. Kupitia LIVE54+, amekuwa akihusishwa na shughuli zinazohusu vyombo vya habari, ubunifu, uzoefu wa chapa, maudhui, vipaji na uzalishaji wa kazi za burudani. Katika taarifa yake, LIVE54+ ilisema kutambuliwa kwa Kyazze kunaangazia mchango wa wafanyabiashara katika kukuza sekta ya ubunifu barani Afrika. “Kyazze amejikita katika kujenga biashara,” ilisema taarifa hiyo. Taarifa hiyo iliongeza kuwa kutambuliwa kwake pamoja na viongozi kutoka sekta nyingine kunaweka biashara za ubunifu katika mjadala mpana kuhusu ushawishi na maendeleo ya bara. LIVE54+ ni kundi la biashara za Kiafrika zinazofanya kazi katika sekta za vyombo vya habari, ubunifu, maudhui, vipaji na uzalishaji.

Dar es Salaam Stock Exchange equity turnover fell -48.22% week-on-week to TZS 27.47 billion across 12,778,561 shares and 17,855 deals during the five trading sessions from September 21st to September 25th. MUCOBA (+11.11%), AFRIPRISE (+5.41%), and VODA (+4.92%) led the gainers, while DCB (-5.62%), MCB (-3.85%), and NMG (-3.33%) were the week's top decliners. Total market capitalisation closed Friday at TZS 40,815.12 billion as the DSEI gained +1.74% and the Commercial Services index advanced +4.60%. Bond market turnover rose +13.97% week-on-week to TZS 118.59 billion.

DAR ES SALAAM: KASI kubwa ya mabadiliko ya teknolojia inaendelea kuongeza chachu katika sekta mbalimbali za uzalishaji na biashara, huku kampuni zikijikita zaidi kwenye ubunifu, kuboresha huduma kwa wateja na kudumisha ubora wa bidhaa ili kuendelea kuwa na ushindani sokoni. Wadau mbalimbali wanasema kuongezeka kwa matumizi ya teknolojia, hususan akili mnemba (AI), zinachochea uzalishaji wa…

Tanzania's Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development has named construction a strategic sector for delivering Vision 2050 and its target of a USD 1 trillion economy by 2050. Speaking at BuildExpo Tanzania in Dar es Salaam, he pointed to Public-Private Partnerships as key to meeting rising construction and infrastructure demand.

The visit was to ensure compliance with corrective measures issued to traders to protect consumers from consuming harmful foods