
REA kuhakikisha 80% wanatumia nishati safi 2034
MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Hassan Saidy amesema wakala huo umejizatiti kuhakikisha 80% ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034. Amebainisha hayo Julai 07, 2025 katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) Jijini Dar es Salaam ndani ya banda la Maonesho la Wakala wa Nishati Vijijini (REA).…
























