NABTEB urges revival of vocational training
The Registrar/Chief Executive of NABTEB, Dr Mohammed Aminu, says prioritising vocational education and trade centres can significantly improve the current state of Nigeria’s economy.
Category
Follow the East African economy: markets and currencies, trade and investment, banking and finance, agriculture, mining and the companies and policies that move them.
The Registrar/Chief Executive of NABTEB, Dr Mohammed Aminu, says prioritising vocational education and trade centres can significantly improve the current state of Nigeria’s economy.
With the advent of automated trading platforms, more and more people are entering the crypto space, simplifying the process and enabling informed decisions. One such trading platform that is currently trending in the market is Aivora Trade.
With the advent of automated trading platforms, more and more people are entering the crypto space, simplifying the process and enabling informed decisions. One such trading platform that is currently trending in the market is AI Arbitrage. This trading bot integrates the latest technologies like artificial intelligence and sophisticated algorithms to conduct 24/7 market analysis, collect valuable data like price movements, and offer accurate alerts and insights.
The UN trade agency had said the tariffs could have a catastrophic effect on developing countries, with some of the world's least developed, such as Lesotho, Cambodia, Laos, Madagascar and Myanmar, facing some of the highest levies.

The record turnout made clear that both the United States and African leaders share a strong commitment to significantly expanding trade and investment.

APROMISING country with massive growth potential but all you’ve got is last year’s budget speech, a PDF from the National Bureau of Statistics, and three PowerPoint presentations with no interactive data. The potential is obvious agriculture, minerals, tourism, a stable political environment. But the clarity? The numbers? The depth? It’s not there. We talk a…

ZAIDI ya wakulima wa mkonge 5,000 mkoani Tanga watanufaika kwa kupata soko la uhakika la mazao yao na bei bora hatua inayotarajiwa kuinua hali yao ya kiuchumi kupitia mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kisasa cha kuchakata mkonge unaotekelezwa na Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), katika Kijiji cha Taula Wilaya ya Handeni mkoani Tanga. Aidha,…

TANZANIA’S trade and industrial sectors are showing strong signs of recovery, driven by improved business conditions and expanding market opportunities across the region and beyond. The exports have steadily increased from 6.38 billion US dollars in 2021 to 8.7 billion US dollars last year, reflecting a robust growth trajectory. This surge underscores the country’s expanding…
MATUMAINI ya wafugaji kunufaika na mpango wa serikali wa kuuza mifugo nje ya nchi kupitia Bandari ya Lamu yameanza kufifia, wengi wakisema hawajanufaika tangu mpango huo uanze mwaka wa 2022. Serikali ilianzisha mpango huo wa kuuza fahali, mbuzi, kondoo na ngamia kutoka Kenya hadi Oman mnamo Oktoba, 2022. “Niliwekeza pakubwa kwenye biashara ya mifugo nikitarajia ningeuza mifugo wasiopungua 30 kimataifa kila mwaka kupitia bandari ya Lamu. Kwa sasa hali ni kinyume. Hatujafahamishwa ni nini kinaendelea bandarini hapo. Imenilazimu kuuza wanyama wangu hapa nchini,” akasema Bw Noor Hassan, mfugaji wa Koreni. Baadhi ya wafugaji wamedai kuwa, mifugo huchukuliwa kutoka kaunti za nje ya Lamu huku wao wakiachwa bila faida. Kulingana nao, wafugaji wa Lamu ndio walifaa kupewa kipaumbele katika mpango huo wa kuuza mifugo nchi za nje. “Utapata malori yaliyojaa ng’ombe na ngamia yakitoka Garissa, Tana River, Wajir, Mandera, Turkana na kwingineko yakileta wanyama hao bandarini Lamu. Yaani kuna usiri mwingi kuhusiana na hili suala la biashara ya mifugo kupitia bandari ya Lamu kwenda nje ya nchi,” akasema Mwenyekiti wa Jamii ya Wafugaji Lamu, Bw Muhumed Kalmei. Hata hivyo, Mamlaka ya Kusimamia Bandari Nchini (KPA) imekana madai ya ubaguzi katika mpango huo wa kibiashara. Kulingana na KPA, mpango mzima kufikia sasa haujafikia malengo yake kwa vile huwa hakupatikani idadi ya kutosha ya mifugo kusafirishwa kwa meli hadi nchi za kigeni. Licha ya biashara hiyo awali kupewa nafasi kubwa ya matangazo punde ilipozinduliwa, kufikia sasa ni mifugo karibu 150,000 pekee iliyosafirishwa nje ya nchi, hasa Oman, ambacho ni kiwango cha chini kuliko ilivyolengwa na kutarajiwa. Meneja Mkuu wa Bandari ya Lamu, Bw Vincent Sidai alishikilia kuwa ni changamoto kupatikana kwa idadi inayotakikana ya mifugo ifikishwayo bandarini Lamu kusafirishwa kimataifa. Anasema serikali imejitahidi kuboresha miundomsingi ya kusaidia biashara hiyo kunawiri ila wanaofikisha mifugo wao bandarini bado ni wachache. “Biashara ya mifugo nje ya nchi ni miongoni mwa shughuli zinazothaminiwa sana bandarini Lamu. Changamoto ni kuwa idadi ya mifugo inayoletwa hapa bado ni ya chini. Meli moja inafaa kubeba angalau mifugo 5000 kwa awamu moja,” akasema Bw Sidai. Alisema serikali inajitahidi kujenga gati maalumu itakayotumiwa kuingiza mifugo kwenye meli. Ili kuboresha shughuli, kampuni ya kushughulikia biashara ya mifugo pia ilianzisha harakati zake bandarini Lamu, ambapo imekuwa ikinunua mifugo na kuimarisha afya yao kabla ya kuwasafirisha nje ya nchi. “Ikiwa kuna wenye mifugo wanaotaka kuuza kwa wingi, waje, tutawaelekeza na hata kuwaunganisha na maajenti na kampuni za uchukuzi wa meli ili wasafirishe mifugo wao nje ya nchi. Hata mfugaji binafsi mwenye mifugo wafikao 5,000 na zaidi pia ajitokeze na tutamsaidia apate soko la tayari bandarini Lamu,” akasema Bw Sidai.

UWEKEZAJI katika sekta ya madini umeendelea kuwa kichocheo muhimu cha ukuaji wa uchumi kwa nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania. Kupitia sera bora na usimamizi madhubuti, sekta hii imechangia kwa kiasi kikubwa katika pato la taifa kutokana na mapato yake mbalimbali. Aidha, tozo, kodi, leseni na gawio kutoka kampuni za madini zimeiwezesha serikali kuongeza bajeti kwa…

DAR ES SALAAM: TANZANIA is making significant progress in strengthening carbon trading governance, through the establishment of clear regulatory frameworks, institutional coordination and stakeholder engagement. State Minister in the Vice President’s Office (Union and Environment), Mr Hamad Yussuf Masauni said such measures aimed at ensuring transparency, accountability and long-term sustainability in the carbon market. Speaking…

SERIKALI imetoa Sh bilioni 9 kwa mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya kuwezesha nguvukazi ya taifa kupata ujuzi stahiki unaoendana na ushindani katika soko la ajira. Fedha hizo zimetolewa kupitia Programu ya Taifa kukuza ujuzi ambayo imejikita katika mafunzo ya uanagenzi, kurasimisha ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi, mafunzo kwa vitendo mahali pa kazi…
PRESIDENT of Saint Lucian Senate, Alvina Reynolds has stressed the consanguinity between Nigeria and Saint Lucia, the ancestral links, quoting the result of a British census conducted on the island in 1815, which showed that most of the residents came from Nigeria.

Tanzania, Dar es Salaam, 1 Julai 2024 – Kampuni ya usafiri wa mtandaoni, Bolt, inaendelea kuongoza kwa kushikilia asilimia 70 ya soko la huduma za usafiri nchini. Mafanikio haya yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na uwezo wake wa kuoanisha usalama, bei nafuu, na teknolojia bunifu inayokidhi mahitaji ya usafiri kwa tabaka mbalimbali za watumiaji. Katika mahojiano…
KUMEKUWA na mjadala mkali kuhusu dhuluma za kimapenzi katika maeneo ya kazini. Suala tata limekuwa jinsi ya kutofautisha kati ya dhuluma za kimapenzi, na shutuma ibuka zinazojiri baada ya penzi la watu wawili wakomavu na waliosikizana, kugeuka na kuwa shubiri. Dhuluma za kimapenzi kazini hutokea hasa mhusika anapotumia mamlaka yake na kumlazimu mwenziwe kujihusisha naye katika uhusiano wa kimapenzi. Kwa upande mwingine, penzi la kazini kugeuka kuwa shubiri huwa ikiwa wahusika wote wanapokubaliana kuingia katika uhusiano wa kimapenzi, lakini muda unavyosonga, mmoja (ambaye hasa huwa mwenye mamlaka ya juu) anamtema mwenziwe. Hili ni suala ambalo kwa sababu moja au nyingine huwaathiri hasa wanawake. Lakini tuambianeni ukweli. Mara nyingi mabinti wanaoingia katika mahusiano na wakubwa wao kazini bila kushurutishwa, hufanya hivyo wakiwa na nia ya kunufaika katika mazingira ya kikazi. Lakini habari mbaya ni kwamba wengi wao huishia kujuta wanapotemwa, kwani uhalisi wa maisha ni kwamba madume wa aina hii kazini huwa na mazoea kuonjaonja maji ya visima tofauti kabla ya kutoweka. Inapofikia hapa basi ndipo mambo huharibika na siri zilizokuwa zikifichwa kuwekwa hadharani. Hapa ndipo utaanza kusoma kuhusu madai ya dhuluma za kimapenzi mitandaoni, au hata uvumi kurushwa huku na kule huku wahusika wakitaka kuonewa huruma. Nasisitiza kwamba kunao madume katika mazingira ya kazi wanaotumia mamlaka yao kushurutisha mabinti kulala nao, lakini uhalisi wa mambo ni kwamba katika baadhi ya visa, mabinti wahusika hufanya hivyo bila kulazimishwa. Na wengi wanaofanya hivi hujitokeza wakati tu biashara yao ya kuuza minofu inapodidimia. Kinachoudhi hata zaidi ni kwamba katika kipindi cha mahusiano ya aina hii, mabinti wengi wa aina hii hufanya kila wawezalo kurejesha wenzao nyuma. Hawa ndio mabinti wanaotatiza wanawake wenzao wanaotia bidii kazini, kuhakikisha kwamba hawasongi kitaaluma. Hawa ndio mabinti wanaotumia mahusiano haya kuwapokonya wenzao kazini fursa za kupokea wanachostahili kutokana na bidii yao.

BRAZIL: Internal trade of BRICS member states has reached $1 trillion, Special Representative of Russian President for economic cooperation with foreign countries, Chief Executive Officer of Russian Direct Investment Fund (RDIF) Kirill Dmitriev said. “Internal trade of BRICS countries has reached $1 trillion. A major milestone, which confirms the strengthening of economic ties and the…

TANGA: UKUSANYAJI mapato, usimamizi wa miradi ya maendeleo, uwekezaji, utatuzi wa migogoro ya ardhi sambamba na kuimarisha kilimo cha mazao ya biashara ni vipaumbele vitano ambayo wameelezwa wakuu wa wa wilaya wapya wa Mkoa wa Tanga. Vipaumbele hivyo vimetajwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk Batlida Burian wakati wa zoezi la kuwaapisha viongozi hao…

This initiative benefits DRC traders and is part of a broader strategy to improve service delivery to other landlocked countries.
The Nigerian Indonesian Chamber of Commerce and Industry (NICCI) has projected that the volume of trade between Nigeria and Indonesia to rise to at least $5 billion by the time the 2024 official figures are released. President of NICCI, Mr Ishmael Balogun, stated this at a news conference over the weekend in Lagos. He stated: “There […]
In a strategic move to curb the growing menace of illegal land acquisition in Ogun State, the Bureau of Lands and Survey has revealed plans to collaborate with the state chapter of the National Orientation Agency (NOA).
Tragedy struck in the Mile Six area of Jalingo, the Taraba State capital, on Friday, when a sand-laden tipper lost control and ploughed into a crowd of traders and bystanders, leaving at least two people feared dead and several others injured.
The leadership of the Ogbo-Ogwu Medicine Market, Bridge Head, Onitsha, Anambra State, has demanded an explanation from the National Agency for Food and Drug Administration and Control (NAFDAC) over the alleged return of Mr. Chibueze Ifejiofor — a trader previously banned from the market for dealing in fake and substandard drugs.

DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government spokesperson, Gerson Msigwa, has announced that this year’s 49th Dar es Salaam International Trade Fair (DITF), commonly known as Sabasaba, is being held under the theme “The Sabasaba International Trade Fair – A Pride of Tanzania.” The theme highlights Tanzania’s growing status as a hub for commerce in East…

DAR ES SALAAM: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba kwa mwaka huu yamebeba kaulimbiu isemayo ‘Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania’ ikilenga kuonesha thamani na nafasi ya Tanzania kama kitovu cha biashara Afrika Mashariki. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Msigwa amesema…

Mradi wa ubunifu wa Fungo umetangaza fursa mbili za wajasiriamali na biashara endelevu, ambapo kiasi cha zaidi ya Sh bilioni 2.5 zitatolewa kwa lengo la kuibua uwezo wa wajasiriamali na kuchochea ukuaji endelevu katika sekta mbalimbali nchini. Mradi huo wa ubunifu wa kimkakati umefadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU), Jamhuri ya Finland, na Serikali ya…
RAIS William Ruto anaondoka nchini Jumapili, Juni 29, 2025 kwa ziara rasmi katika mataifa ya Uingereza na Uhispania anakotarajiwa kutia mikataba kadhaa ya ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Kenya na nchi hizo za Uropa. Kulingana na taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Ikulu Hussein Mohamed majira ya asubuhi, Dkt Ruto akiwa Uingereza, atatia saini Mkataba mpya wa Ushirikiano wa Kimkakati kati ya Kenya na Uingereza utakaodumu kati ya 2025 hadi 2030. “Mkataba huo unatarajiwa kufungua milango ya uwekezaji nchini Kenya, nafasi za ajira na kuifanya Kenya kuwa eneo bora ulimwenguni kibiashara, kiteknolojia na kiusalama,” akaeleza. “Rais Ruto ataungana na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer jijini London kutia saini mkataba huo wa ushirikiano uliohimiliwa katika nguzo nne za; biashara, hali ya anga, teknoloji na usalama,” Bw Mohamed akaeleza. Ushirikiano huo, akasema, unalenga kuimarisha, maradufu, biashara kati ya Kenya na Uingereza, kuwezesha Wakenya zaidi kupata ujuzi wa kidijitali na kuimarisha ushirikiano kuhusiana na usalama wa kikanda kwa kukabiliana na ugaidi, uhalifu wa mtandaoni na athari za mabadiliko ya tabia nchi. “Chini ya nguzo ya biashara na ustawi wa miradi isiyochafua mazingira, Kenya na Uingereza itatoa kipaumbele kwa ukamilishaji wa miradi kama ule wa uchukuzi wa reli jijini Nairobi. Uingereza pia inalenga kutoa hadi pauni 1.5 bilioni (Sh266 bilioni) kufadhili miradi mbalimbali nchini kufikia 2030,” Bw Mohamed akaongeza. Kabla ya kuwasili London, Dkt Ruto atatua jijini Seville, Uhispania ambako atahudhuria kongamano la kimataifa kuhusu ufadhili wa maendeleo. Kongamano hilo la Nne kuhusu Ufadhili wa Maendeleo utawaleta pamoja viongozi wa kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni kujadili misingi mipya ya ufadhili wa miradi ya maendeleo. “Rais anatarajiwa kutumia jukwaa hilo kutoa wito kwa ushirikiano wa mataifa ya ulimwengu katika kushughulikia changamoto kuu kama vile umasikini, kudorora kwa chumi za nchi mbalimbali, mabadiliko ya tabia nchi na kuangamia kwa viumbe asili, miongoni mwa mengine,” akasema Bw Mohamed.

IRINGA: Mjasiriamali na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Islam Huwel, leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama hicho, akiahidi kuufanya mji huo kuwa kitovu cha biashara na ajira kwa vijana. Huwel amesema dhamira yake ni kuhakikisha vijana wa Iringa wanapata elimu ya ujasiriamali na kuunganishwa…
KUWEKEZA pamoja katika ndoa ni njia bora ya kuhakikisha kuwa ustawi wa familia inalindwa. Wanandoa wanaposhirikiana katika mipango ya kifedha, wanajenga msingi madhubuti wa maisha yao na watoto wao. Hapa kuna maeneo muhimu ambapo wanandoa wanaweza kuwekeza kwa faida ya familia: Elimu Elimu ni urithi wa thamani kwa watoto. Wanandoa wanaweza kuwekeza katika mfuko wa elimu kwa watoto wao ili kuhakikisha wanapata elimu bora. Hii inaweza kuwa kupitia akaunti za akiba, bima ya elimu, au hata mipango ya kufanya malipo ya mapema shuleni. Wanandoa wanaweza kuwekeza katika kozi za kitaaluma au mafunzo ili kuboresha ujuzi wao na kuongeza kipato cha familia. Makazi Kununua au kujenga nyumba ni moja ya uwekezaji muhimu kwa familia. Nyumba siyo tu mahali pa kuishi bali pia ni mali yenye thamani inayoongezeka kwa muda. Wanandoa wanaweza pia kuwekeza katika ukarabati wa nyumba au kuboresha mazingira yake kwa kuongeza thamani na faraja kwa familia. Afya Afya njema ni msingi wa maisha yenye furaha. Wanandoa wanapaswa kuwekeza katika bima ya afya ili kufidia gharama za matibabu na kuhakikisha huduma bora za kiafya kwa familia nzima. Pia, wanaweza kuwekeza katika mtindo wa maisha mzuri kama vile mazoezi, na ushauri wa mara kwa mara kuhusu afya yao. Biashara Kuanzisha au kuwekeza katika biashara kama wanandoa ni njia ya kuongeza mapato ya familia. Wanandoa wanaweza kushirikiana katika biashara ndogo ndogo kama vile kilimo, biashara ya rejareja, au huduma za kitaaluma. Hii inawapa nafasi ya kujifunza pamoja na kukuza uhusiano wao wakati wanapojenga urithi wa kifamilia. Kuweka akiba Akiba ni muhimu kwani itawasaidia wakati wa dharura. Wanandoa wanaweza kufungua akaunti ya pamoja ya akiba au kuwekeza katika hisa au miradi ya pamoja. Pia, mipango ya kustaafu ni muhimu kuhakikisha maisha mazuri baadaye. Burudani na utalii Baada ya kazi, kuna haja ya kupumzika. Hapa wanandoa wanaweza kuwekeza pesa ili wajienjoy wakati wa likizo. Wanandoa wanaweza kuweka bajeti ya likizo, safari za kitalii, au shughuli za burudani zinazohusisha familia nzima. Hii husaidia kujenga kumbukumbu na kuimarisha uhusiano wa kifamilia. Wapenzi wanafaa kukumbuka kuwa baada ya kuingia kwenye ndoa, wao ni kitu kimoja na hakuna haja kila mmoja ajishughulishe na masuala yake binafsi.
Emma Ujah, Abuja Bureau Chief Nigeria’s total public debt rose to N149.39 trillion as of March 31, 2025, according to the latest data released by the Debt Management Office (DMO). The nation’s public debt represents the indebtedness of the federal and state governments, as well as, the Federal Capital Territory. The Federal Government owed N74.89 […]

Haftar emphasized that public beaches are national property and must not be monopolized by individuals, traders or businesspersons and certainly not to be used for personal profit.

Over the past decade, under his leadership, the African Export-Import Bank has not only expanded its balance sheet dramatically but also cemented its place as Africa’s financial bulwark in times of crisis and a key driver of trade-led development across the continent and beyond.

MTWARA: CHAMA Kikuu cha Ushirika cha Masasi Mtwara (MAMCU Ltd) mkoani Mtwara kimeuza tani 3,867 za ufuta kwenye mnada wake wa tatu katika msimu wa mauzo wa mwaka 2025/2026. Mnada huo umefanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani humo ambapo bei ya juu ikiwa ni Sh 2,700 na bei ya chini Sh 2,410, uliyoendeshwa…
The top US diplomat for Africa on Tuesday dismissed allegations of unfair US trade practices and said that funding delays would not derail a key railway project connecting Angola, Zambia and the Democratic Republic of Congo.
Mr Mersole Mellojor, the Philippines’ Ambassador to Nigeria, says the trade volume between the countries has grown from $47 million in 2023 to $ 221 million in 2024.

DAR ES SALAAM: THE Muhimbili Institute of Orthopedics and Neurology (MOI) said it will hold a special clinic for specialist services in bones, brain, spine and nerves at the 49th International Trade Fair known as Sabasaba at affordable prices. The special clinic will run from tomorrow, May 28, to July 13, 2025, at Pavilion Number…

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesema itafanya kliniki maalum ya huduma za kibingwa bobezi ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu katika maonesho 49 ya biashara ya kimataifa maarufu kama Sabasaba kwa gharama nafuu. Kliniki hiyo maalum itaanza Mei 28 hadi Julai 13,2025 katika banda namba 12…
The two sides agreed after talks in Geneva in May to temporarily lower steep tit-for-tat tariffs on each other's products.

By 2024, the bank had assets worth $40 billion

DAR ES SALAAM: DAR ES SALAAM Regional Commissioner Albert Chalamila has urged citizens and businesses to actively seize the economic and technological opportunities presented at the 49th Dar es Salaam International Trade Fair (DITF), popularly known as ‘Sabasaba’. Speaking during a visit to the fairgrounds yesterday, he emphasised the strategic importance of Dar es Salaam,…

ZANZIBAR: ZANZIBAR’S newly approved 2025/2026 budget has sparked mixed reactions within the business community, with importers and trade bodies urging the government to revisit proposed tax increases. They warn that steep tax hikes could disrupt trade and inflate consumer prices. During a budget review session organised by international consultancy firm Ernst & Young (EY), private…
By Yinka Kolawole The volume of trade between Nigeria and other African countries surged by 127 percent to $18.4 billion in 2024 from $8.1 billion in 2023, a report by the African Export-Import Bank (Afreximbank) has revealed. The development may be connected to Nigeria’s full participation in the African Continental Free Trade Area (AfCFTA) agreement which went […]
A trader, Adesina Adeagbo, has pleaded with the Mapo Grade ‘A’ Customary Court, Ibadan, to end his 23-year-old marriage to prevent his wife from eventually killing him. Adeagbo, a resident of Idi-Osan, Akanran area of Ibadan, told the court on Thursday that his wife, Adeola, was too troublesome to be loved. He said he had […]
The Nigeria Police Force, through its INTERPOL National Central Bureau (NCB) in Abuja, has rescued 46 trafficked victims from Ghana and arrested seven suspects involved in transnational human trafficking and cyber fraud networks.

THE Tanzania Bureau of Standards (TBS) in collaboration with the Zanzibar Bureau of Standards (ZBS), has organised the 72nd General Assembly and Council Meetings of the African Organisation for Standardisation (ARSO), held from 23rd to 28th June 2025 in Zanzibar. This prestigious event have brought together key stakeholders, industry leaders, and decision makers from across…
President Cyril Ramaphosa has fired Andrew Whitfield, one of his two deputy ministers of trade, industry and competition.

Africa’s trade performance has rebounded strongly, driven by high commodity prices and a resilient economic environment

THE HAGUE, UHOLANZI : KATIBU Mkuu mpya wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Mark Rutte, amesema hatua ya kuongeza bajeti ya ulinzi hadi asilimia tano ya pato la Taifa ni uamuzi mkubwa na muhimu kwa usalama wa mataifa wanachama.
President Cyril Ramaphosa has fired deputy trade, industry and competition minister Andrew Whitfield.
The Vietnamese Ambassador to Nigeria, Mr Bui Quoc Hung, said trade between Vietnam and Nigeria reached an all-time high of 1 billion dollars in 2024, making it the first time the trade volume between the two countries exceeded 600 million dollars.