TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, 'Twiga Stars', imeanza vyema safari ya kusaka tiketi ya kushiriki Michezo ya Olimpiki ya Los Angeles 2028 baada ya kuondoka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Botswana mechi iliyopigwa Uwanja wa Taifa wa Botswana jijini Gaborone.