Video
Namungo FC 0-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 20/11/2026
Channel: Azam TV Watch on YouTube
About this video
Tazama jinsi Namungo FC walivyobanwa mbavu na Mbeya City FC wakilazimishwa suluhu kwenye dimba lao la nyumbani, Majaliwa Stadium, Ruangwa , Lindi. Hii ni Ligi Kuu ya NBC...
Related stories
SportsAzam FC 2-4 Singida BS | Highlights | NBC Premier League 20/11/2026
Singida BS imefanya 'come-back' na kushinda 4-2 dhidi ya Azam FC baada ya kutanguliwa 2-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Azam wametangulia kupata…
SportsMagoli sita, penati mbili | Azam FC 2-4 Singida BS | NBC Premier League 20/11/2026
Singida BS imefanya 'come-back' na kushinda 4-2 dhidi ya Azam FC baada ya kutanguliwa 2-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Azam wametangulia kupata…
SportsJayrutty, Mangungu wapitishwa na BMT
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) leo Ijumaa, Novemba 20, 2026 limetangaza orodha ya watia nia waliopitishwa na walioenguliwa kugombea nafasi tofauti za uongozi wa Kamisheni ya Kusimamia Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC)
SportsPolisi Tanzania 0-0 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 20/11/2026
Cheikh Ibrahim Toure na Peter Shalulile wametikisa nyavu za Polisi Tanzania wakiipa Yanga ushindi wa 2-0 kwenye Dimba la Ushirika, Moshi. Hii ni Ligi Kuu ya NBC.