Video
"NIMEKOSEA NINI? MGOGORO HUU UNAINGIA KWENYE KURA"- RIDHIWANI AWALIPUKIA WANANCHI...
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
"NIMEKOSEA NINI? MGOGORO HUU UNAINGIA KWENYE KURA"- RIDHIWANI AWALIPUKIA WANANCHI... Mbunge wa Chalinze na Waziri, Ridhiwani Kikwete amefunguka mbele ya Waziri Mkuu kuhusu mgogoro wa ardhi unaoendelea katika vijiji vya Chamaweza na Pingo. Ridhiwani ameeleza wazi namna mgogoro huo unavyoleta uhasama mkubwa hadi wanakijiji kutaka kupigana ngumi, huku akikiri kuwa mgogoro huo uliikosesha CCM kura katika chaguzi zilizopita. Ametoa wito kwa wananchi kuzingatia maelekezo ya Waziri Mkuu ili kuweka suluhu ya kudumu na kumaliza migogoro ya mipaka inayowakabili. #RidhiwaniKikwete #WaziriMkuu #Chalinze #GlobalTVOnline #HabariMpya #SiasaZaTanzania #MgogoroWaArdhi ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralInside Dangote’s industrial empire in East Africa
Across East Africa and neighbouring corridors, the empire pairs heavy manufacturing with roads, ports, and pipelines.
GeneralRAIS WA WACHIMBAJI AWASHA MOTO! - "HAPA NDIO TUNAFELI, MSITUPE KAZI MKAKIMBIA!"
RAIS WA WACHIMBAJI AWASHA MOTO! - "HAPA NDIO TUNAFELI, MSITUPE KAZI MKAKIMBIA!" Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA) ametoa onyo kali na maagizo mazito kwa kampuni…
GeneralDigital freedom declining in East Africa, says Mo Ibrahim report
Tanzania, Uganda and South Sudan ranked worst performers with State agencies deploying vague rules and heavy regulations to curtail criticism.
General#BREAKING: MOTO MKUBWA WATEKETEZA HOTELI TATU ZANZIBAR
Moto umeteketeza hoteli takribani tatu katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, huku Jeshi la Polisi likisema bado halijajua chanzo cha moto huo.