Video
MWANAFUNZI (13) AFARIKI - ASKARI 8 WA MALIASILI WASHIKILIWA SONGWE!
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
MWANAFUNZI (13) AFARIKI - ASKARI 8 WA MALIASILI WASHIKILIWA SONGWE! Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia askari nane wa maliasili wa wilaya ya Mbozi kwa mahojiano kufuatia tukio la kifo cha mwanafunzi wa darasa la tano, Vanessa Mgala (13), na kujeruhiwa kwa Kiriana Mwashilindi. Tukio hilo lilitokea Novemba 24, 2026, katika kijiji cha Manyara, wilaya ya Mbozi, baada ya kuzuka kwa vurugu baina ya wananchi na askari wa maliasili waliokuwa wakitekeleza majukumu yao msituni. Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kina ili kubaini ukweli na kuchukua hatua za kisheria. Usisahau ku-subscribe, ku-like, na ku-comment ili kupata habari mpya kila siku kutoka Global TV Online! #GlobalTVOnline #HabariZaLeo #Songwe #Mbozi #JeshiLaPolisi ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralLagos: Only 27% of severe brain injury victims get pre-hospital care — Study
Only 26.7 per cent of patients with moderate-to-severe traumatic brain injuries in Lagos receive medical care before reaching the hospital, a study has revealed, raising concerns over gaps in the state’s emergency response system. The study, which examined 101 patients aged 16 to 65 who suffered moderate-to-severe traumatic brain injuries, found that the overwhelming majority […]
GeneralFire guts Opebi Methodist Church, CAN seeks support
By Olasunkanmi Akoni Property worth millions of naira has been destroyed after fire partially gutted the Methodist Church Nigeria, Cathedral of Peace and Excellence, in Opebi, Ikeja, Lagos State. The Christian Association of Nigeria (CAN), Lagos State Chapter, has expressed concern over the incident, describing it as a painful development for the Methodist congregation. The […]
GeneralMB DOGG AWASHA MOTO KAHAMA - AMPANDISHA MADEE JUKWANII - MATAJIRI WAMWAGA MANOTI...
MB DOGG AWASHA MOTO KAHAMA - AMPANDISHA MADEE JUKWANII - MATAJIRI WAMWAGA MANOTI. Shuhudia burudani ya aina yake kutoka kwa mkongwe wa Bongo Fleva, MB Dogg, alipopanda jukwaani Kahama kwenye tamasha…
GeneralTUSIPOKEE FEDHA ZA KUTUANGAMIZA
TUSIPOKEE FEDHA ZA KUTUANGAMIZA #globaltv #breaking #mwigulunchemba #tanzania