VideoLive
MB DOGG AWASHA MOTO KAHAMA - AMPANDISHA MADEE JUKWANII - MATAJIRI WAMWAGA MANOTI...
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
MB DOGG AWASHA MOTO KAHAMA - AMPANDISHA MADEE JUKWANII - MATAJIRI WAMWAGA MANOTI. Shuhudia burudani ya aina yake kutoka kwa mkongwe wa Bongo Fleva, MB Dogg, alipopanda jukwaani Kahama kwenye tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva. MB Dogg aliamsha shangwe kubwa kwa vibao vyake pendwa kama Latifa na Sema, kabla ya kumpandisha jukwaani msanii mwenzake Madee (Rais wa Manzese) na kuongeza burudani zaidi huku mashabiki na matajiri wa Kahama wakimwaga manoti jukwaani. #MBDogg #Madee #BongoFleva #Kahama #GlobalTVOnline #Miaka30YaBongoFleva ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralLagos: Only 27% of severe brain injury victims get pre-hospital care — Study
Only 26.7 per cent of patients with moderate-to-severe traumatic brain injuries in Lagos receive medical care before reaching the hospital, a study has revealed, raising concerns over gaps in the state’s emergency response system. The study, which examined 101 patients aged 16 to 65 who suffered moderate-to-severe traumatic brain injuries, found that the overwhelming majority […]
GeneralFire guts Opebi Methodist Church, CAN seeks support
By Olasunkanmi Akoni Property worth millions of naira has been destroyed after fire partially gutted the Methodist Church Nigeria, Cathedral of Peace and Excellence, in Opebi, Ikeja, Lagos State. The Christian Association of Nigeria (CAN), Lagos State Chapter, has expressed concern over the incident, describing it as a painful development for the Methodist congregation. The […]
GeneralMWANAFUNZI (13) AFARIKI - ASKARI 8 WA MALIASILI WASHIKILIWA SONGWE!
MWANAFUNZI (13) AFARIKI - ASKARI 8 WA MALIASILI WASHIKILIWA SONGWE! Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia askari nane wa maliasili wa wilaya ya Mbozi kwa mahojiano kufuatia tukio la kifo cha…
GeneralTUSIPOKEE FEDHA ZA KUTUANGAMIZA
TUSIPOKEE FEDHA ZA KUTUANGAMIZA #globaltv #breaking #mwigulunchemba #tanzania