VideoLive
WAZUNGUMZAJI MAHIRI 10 WAKUTANA DAR ES SALAAM! HII NDIYO SEMINA YA VIJANA NA WAJASIRIAMALI
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
🔴#LIVE: WAZUNGUMZAJI MAHIRI 10 WAKUTANA DAR ES SALAAM! HII NDIYO SEMINA YA VIJANA NA WAJASIRIAMALI🔥 Fuatilia mubashara (LIVE) kutoka Dar es Salaam ambapo wazungumzaji mahiri 10 wanakutana katika semina maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya vijana na wajasiriamali. Katika semina hii, utapata mbinu za kisasa za kukuza biashara, fursa za uwekezaji, na namna ya kujikwamua kiuchumi kupitia ujasiriamali. Usikose madini haya muhimu kutoka kwa wabobezi wa sekta mbalimbali. #GlobalTVOnline #SeminaYaVijana #Wajasiriamali #DarEsSalaam #FursaZaBiashara #GlobalTVOnline #SeminaYaVijana #Wajasiriamali #DarEsSalaam #Ujasiriamali ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
BusinessWahalifu waanika taarifa za Wakenya milioni 32 walizoiba eCitizen
WAHALIFU wa mtandaoni waliovamia na kudukua tovuti ya eCitizen wameanza kusambaza taarifa za kibinafsi za Wakenya zaidi ya 32 milioni katika mtandao fiche wa Dark Web, hatua inayowaweka mamilioni ya watu katika hatari ya utapeli. Taarifa zilizopatikana na ‘Taifa Leo’ zinaonyesha kuwa wadukuzi hao waliiba rekodi za Wakenya 32,128,394, zikiwemo nakala za pasipoti, picha za pasipoti, nambari za vitambulisho vya kitaifa na tarehe za kuzaliwa. Pia waliiba nambari za usajili za Mamlaka ya Ushuru Kenya (KRA), alama za vidole na nambari za kidijitali za afya zinazotumiwa na wanachama wa Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA).Baadhi ya vitambulisho vya kikazi vya maafisa wa serikali pia vimesambazwa, hali inayozua hofu kuwa taarifa hizo zinaweza kutumiwa kuomba mikopo kwa majina yao au kuwatapeli. Kikundi cha wahalifu wa mtandaoni kinachojulikana kama ByteToBreach kimekiri kuhusika na shambulizi hilo.Kikundi hicho kinadai kuwa kiliingia katika mifumo ya eCitizen na kuiba gigabaiti 600 za stakabadhi za kuthibitisha utambulisho wa wateja, gigabaiti 100 za taarifa za data na gigabaiti 40 za msimbo unaoendesha mifumo hiyo.Taarifa hizo ziligunduliwa Jumatatu na kampuni ya Amerika ya usalama wa mtandao, Vecert, inayofuatilia vitisho na shughuli za wahalifu katika mitandao fiche. Wachunguzi wa kampuni hiyo walikagua rekodi za wahalifu hao na kubaini kuwa huenda walipata nafasi ya kuingia katika mitambo ya eCitizen Novemba 15 kwa kutumia udhaifu katika data inayotumika kuthibitisha utambulisho wa watumiaji.Dark Web ni sehemu fiche ya mtandao ambayo haipatikani kupitia injini za kawaida za kutafuta taarifa kama Google. Mara nyingi hutumiwa na wahalifu kuuza taarifa zilizoibwa na huduma za udukuzi.Wataalamu wanaonya kuwa taarifa zilizoibwa zinaweza kutumiwa kutuma jumbe za ulaghai zinazodaiwa kutoka kwa serikali, benki au taasisi za afya ili kuwashawishi wananchi kutoa nywila na taarifa zao za siri. Pia wahalifu wanaweza kutumia taarifa hizo kufungua akaunti za kifedha, kuomba mikopo kwa maji
BusinessSERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA SEKTA BINAFSI - TANZANIA YATAFUTA MASOKO MAPYA FALME ZA KIARABU..
SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA SEKTA BINAFSI - TANZANIA YATAFUTA MASOKO MAPYA FALME ZA KIARABU.. Wafanyabiashara zaidi ya 300 kutoka Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wamekutana katika…
BusinessUganda’s economy grows 6.4% as public debt rises to 54% of GDP
Kampala, Uganda | URN | Uganda’s economy grew by 6.4 percent in the 2025/2026 financial year, up from 6.3 percent in the previous year, despite rising global economic uncertainties, high fuel prices, and domestic public health challenges. However, the improved economic performance was accompanied by growing fiscal pressures, with public debt rising to 54 percent…
BusinessTanzania to Deploy Geospatial Science and AI in Land Surveying
Tanzania's lands ministry plans to adopt geospatial science and artificial intelligence to modernize land surveying and administration. The technologies build on the country's World Bank-backed Integrated Land Management Information System and support the National Development Vision 2050.