Video
“KAMATA WOTE, BAKIZA WAJAWAZITO TU! – MWIGULU AKUMBUSHIA UAMUZI MGUMU DHIDI YA MIGOGORO YA WAFUGAJI
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
“KAMATA WOTE, BAKIZA WAJAWAZITO TU! – MWIGULU AKUMBUSHIA UAMUZI MGUMU DHIDI YA MIGOGORO YA WAFUGAJI Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amezungumzia kwa ukali kuhusu migogoro ya mara kwa mara kati ya wakulima na wafugaji, akisisitiza umuhimu wa kufuata sheria na matumizi bora ya ardhi. Akikumbushia tukio lililotokea Morogoro ambapo mkulima alishambuliwa kwa mkuki baada ya mifugo kuingizwa shambani kwake kimakusudi, amewataka viongozi na vyombo vya ulinzi kuchukua hatua kali bila mzaha dhidi ya wote wanaovunja sheria na kusababisha maafa. Tazama kauli yake kamili kuhusu ulinzi wa raia, maaskari wa wanyamapori, na jinsi ya kukomesha migogoro hii nchini. #MwiguluNchemba #GlobalTVOnline #Habari #Tanzania #WakulimaNaWafugaji ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralSTEVE BARKER AKUBALI MZIKI WA JKT TANZANIA - "LEO HATUKUWA BORA ILA HONGERA TUMEPATA MATOKEO"
STEVE BARKER AKUBALI MZIKI WA JKT TANZANIA - "LEO HATUKUWA BORA ILA HONGERA TUMEPATA MATOKEO" ⚫️ JE, UNA HABARI?
GeneralZaidi ya 700 waungana kupigania afya bora
DAR ES SALAAM: WAKATI magonjwa yasiyoambukiza yakiendelea kuwa changamoto inayohitaji uelewa na hatua za kinga, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimeelekeza nguvu katika kuhamasisha jamii kubadili mtindo wa maisha kwa kufanya mazoezi, kuzingatia lishe bora na kufuatilia afya zao. Kupitia matembezi na mbio za hisani zilizofanyika Novemba 21, 2026, katika viwanja…
GeneralSHABIKI WA SIMBA AMWAGA MAUA KWA JKT TZ KUWA WAMECHEZA VIZURI
General