Speaking in Maryland, US, on Tuesday, November 24, Edwin Sifuna said the united opposition might fail to agree on two questions he termed critical.
Edwin Sifuna shares his biggest fear as opposition prepares to name flagbearer

This story was originally published by Tuko.
Read the full story at TukoRelated stories
NewsSerikali ya Nassir yanusurika kuamriwa kurejeshea wakazi kodi iliyowakata mwaka mzima
SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imeponea mzigo wa kuwarejeshea wakazi na wafanyabiashara kodi na ushuru iliyokusanya kwa kipindi cha mwaka mzima chini ya Sheria ya Fedha ambayo Mahakama Kuu imebaini kuwa ilitungwa kinyume na Katiba. Katika hukumu iliyotolewa Novemba 20, Mahakama Kuu mjini Mombasa ilikiri kuwa serikali ya kaunti na Bunge la Kaunti zilikiuka wajibu wao wa kikatiba wa kuwashirikisha wananchi katika utungaji wa sheria. Hata hivyo, mahakama ilisema kubatilisha ukusanyaji wa mapato ya mwaka mzima kungevuruga utoaji wa huduma za umma. Mahakama ilikataa kubatilisha Sheria ya Fedha ya mwaka 2024 (Na. 6 ya 2024) wala kuamuru kurejeshwa kwa fedha zilizokusanywa, ikisema walalamishi walishindwa kuwataja wasafirishaji au wafanyabiashara waliolipa ushuru uliopingwa na kuwasilisha ushahidi wa malipo hayo. “Kasoro niliyoibaini inahusu utaratibu uliofuatwa. Sijabaini kuwa ada yoyote mahususi ilitozwa nje ya mamlaka ya kaunti,” mahakama ilisema. Sheria hiyo ilianza kutekelezwa Januari 1, 2025 na kutumika mwaka mzima. Mahakama ilibainisha kuwa kaunti ilikuwa tayari imetumia mapato hayo kutoa huduma za umma, huku wafanyabiashara wakipata vibali, leseni na huduma nyingine badala ya malipo yao. Mahakama pia iliwakosoa walalamishi kwa kusubiri hadi Aprili 2025 kuwasilisha kesi kupinga sheria ambayo tayari ilikuwa imeanza kutekelezwa, ikisema kuwa kufikia wakati huo wafanyabiashara wengi walikuwa tayari wamelipa. Mashirika mbalimbali ya wafanyabiashara yaliwasilisha kesi hiyo Aprili 2025. Walalamishi walidai kuwa serikali ya kaunti iliwanyima wakazi fursa ya kutosha kuchunguza na kuwasilisha maoni yao kuhusu Mswada wa Fedha kabla ya kupitishwa kuwa sheria. Walisema kaunti ilichapisha tangazo la kuwaalika wananchi kuwasilisha maoni yao Septemba 23, 2024, na kuwapa siku mbili pekee, hadi Septemba 25, kuwasilisha mapendekezo yao. Pia walipinga kikao kimoja cha kusikiliza maoni ya umma kilichofanyika katika Ukumbi wa Jamii wa Tononoka Novemba 14, 2024, wakisema mkutano huo wa sa
NewsHABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55 - NOVEMBA 25, 2026
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
NewsZanzibar intensifies campaign against AMR threat
ZANZIBAR: THE Zanzibar Ministry of Health has urged the public to use medicines responsibly and follow instructions from qualified health professionals to combat antimicrobial resistance (AMR), which can make infections difficult to treat, increase healthcare costs and put patients’ lives at risk. Deputy Minister for Health, Hassan Khamis Hafidh, made the call while delivering a…
NewsParis Club Refunds: ‘We have no hands in transaction’ – Nigeria Governors’ Forum
The claimant’s case is that the money belongs to him under an indemnity dated December 20, 2018, issued by the Nigeria Governors' Forum