Video
DC APIGWA NA BUTWAA! MBUNGE CHATO ASHUSHA MIFUKO 2,000 YA SEMENTI"
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
DC APIGWA NA BUTWAA! MBUNGE CHATO ASHUSHA MIFUKO 2,000 YA SEMENTI" Mbunge wa Jimbo la Chato Kaskazini ameonyesha mfano wa kipekee kwa kukabidhi msaada mkubwa wa mifuko 2,000 ya saruji (sementi) mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Chato, ili kusaidia ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya shule na vituo vya afya kwenye kata 14 za jimbo hilo. Katika hafla hiyo ya makabidhiano, ilibainika kuwa msaada huo si wa fedha za Mfuko wa Jimbo, bali ni jitihada binafsi za mbunge huyo pamoja na familia yake ili kuwasaidia wananchi na kuokoa majengo ya shule yaliyoezuliwa na upepo pamoja na yale yaliyokuwa yakititia. #GlobalTVOnline #ChatoKaskazini #HabariZaHiviPunde #MkuuWaWilaya #BungeTanzania #MaendeleoTanzania ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
NewsRAIS SAMIA AWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA WA JWTZ
NewsDangote, Mo Ibrahim in Kigali for renaissance retreat
Some of Africa’s most influential business leaders, economists and former government officials are gathering in Kigali this weekend for the third edition of the African Renaissan...
NewsMakinde’s image on campaign balloon stirs controversy at Tinubu’s Ibadan rally
The image of Oyo State Governor, Seyi Makinde, displayed alongside those of President Bola Tinubu and other political figures on a balloon hoisted at the venue of the All Progressives Congress (APC) presidential campaign rally in Ibadan on Saturday has stirred reactions, drawing attention to the governor’s political stance ahead of the 2027 general elections.
NewsElections: Karongi, Rubavu mayors retain district council seats
Outgoing Rubavu District Mayor Prosper Mulindwa has retained his seat on the District Advisory Council after being elected among the eight general district councillors on Saturday,...