MSHAMBULIAJI wa Tanzania, Clara Luvanga ameendelea kuandika historia kwenye soka la Marekani baada ya kutwaa tuzo ya bao bora la wiki katika Ligi ya Wanawake Marekani akiwa na kikosi cha Washington Spirit.