
Magoli yote | Yanga Princess 7-1 Kilimanjaro Wonders | Tanzania Women Premier League 17/11/2026
#TWPL Magoli yote manane, ikiwemo #hattrick ya kwanza msimu huu kutoka kwa Salamata Kouanda aliyefunga manne…. Tazama vizuri goli la tatu la Salamata ambalo ni la tano kwa Yanga… kisha tazama goli…












































