
AZAM FC | Safari ya Rasheed Mgunya tangu kuwa mchezaji hadi sasa kuwa Meneja wa kikosi
Azam TV
Category
Match reports, transfers and results from East African football and leagues worldwide, plus athletics, basketball and the biggest stories in global sport.

Azam TV

KOCHA wa timu ya Djibouti U-20, Abdirahman Ali Abubakar, amesema mchezo dhidi ya Uganda umemsaidia kubaini maeneo ambayo kikosi chake kinahitaji kufanyiwa maboresho kabla ya kuendelea na michuano ya CECAFA.

TANZANIA: CONFEDERATION of African Football (CAF) President Patrice Motsepe is expected to arrive in Tanzania today as preparations for the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON) enter a crucial phase. Tanzania will co-host the continental showpiece with Kenya and Uganda, with Motsepe’s visit expected to provide another opportunity to assess the country’s readiness ahead of…

DAR ES SALAAM: MINISTER of State in the Vice-President’s Office (Union and Environment), Engineer Hamad Masauni, has urged Tanzanians to help protect the ozone layer by choosing environmentally friendly products and avoiding equipment that uses ozone-depleting refrigerant gases. Speaking during events to mark the International Day for the Preservation of the Ozone Layer, observed annually…

Teams are restricted to naming 20 outfield players and three goalkeepers for each match but the former Liverpool manager took the unusual step of naming a larger squad.

North Korea has legally enshrined its status as a nuclear weapons state, with its leadership declaring the country's atomic arsenal permanent and irreversible.

KLABU ya Uhamiaji, imeendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar baada ya jana Jumatano kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fufuni FC, mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Gombani kisiwani Pemba.

MFANYAKAZI wa Idara ya Habari ya kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Kinyagulo Tuzo maarufu kama King Kinya, amefariki dunia leo, Septemba 17, 2026 baada ya kuugua kwa kipindi kifupi.

North Korea has legally enshrined its status as a nuclear weapons state, with its leadership declaring the country's atomic arsenal permanent and irreversible.

Premier League champions Arsenal have been handed an away trip to League Two side Fleetwood Town in the fourth round of the Carabao Cup.

Raphinha scored a hat-trick as Barcelona ripped Racing Santander to shreds in a spectacular 7-2 triumph in La Liga on Wednesday.

Manchester United's problems mounted as they crashed out of the League Cup after blowing a two-goal lead in a stunning 3-2 defeat

SIMBA leo Septemba 16, 2026 imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC katika pambano la Mzizima Dabi lililopigwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam, huku kocha Msauzi, Steve Barker rekodi yake ya kutopoteza mechi ya Ligi Kuu Bara ikizidi kuwa hai.

WAKATI mashabiki wakiduwazwa na kiwango cha straika wa Mbeya City, Oscar Mwajanga, kocha Mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga amefichua kinachoendelea baina yake na staa huyo kikosini hapo.

WAKATI mashabiki wakiduwazwa na kiwango cha straika wa Mbeya City, Oscar Mwajanga, kocha Mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga amefichua kinachoendelea baina yake na staa huyo kikosini hapo.


By Obas Esiedesa, Bangkok The Nigerian Midstream and Downstream Petroleum Regulatory Authority, NMDPRA, is targeting up to $10 billion in gas investments through its Midstream and Downstream Gas Infrastructure Fund, MDGIF, which has deployed about $300 million to de-risk projects and attract private capital. The Chief Executive of NMDPRA, Mallam Rabiu Abdullahi Umar, disclosed this […]

BAADA ya siku 447 ambazo ni sawa na mwaka mmoja, miezi miwili na siku 21, hatimaye mshambuliaji wa Yanga SC, Clement Mzize amecheza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu Bara akiwa na kikosi hicho.

KOCHA Mkuu wa Burundi, Jean De Dieu Rukundo, amesema ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Sudan Kusini umeipa timu hiyo mwanzo mzuri katika kampeni za kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 20 (AFCON U-20).

KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Rwanda U-20 amekiri kuwa Tanzania ilikuwa bora kwenye kila eneo na kwamba makosa waliyoyafanya kipindi cha kwanza yaliwavuruga kwa kiasi kikubwa.

NAHODHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, Arafat Ally amesema ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Rwanda umeongeza kujiamini kwa wachezaji katika harakati za kutetea taji na kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Ghana 2027.

Real Madrid have defended Kylian Mbappe and Vinicius Junior after the forwards obscured a solidarity message for the people of Ceuta before Tuesday’s LaLiga clash with Elche.

Football is Nigeria’s national obsession, and nowhere is that more evident than in how the country bets. Millions of fans follow the English Premier League, UEFA Champions League, La Liga and Serie A every week, alongside the Nigerian Premier Football League, and expect their betting platform to keep pace with the game itself. GOKABET has […]

“HIVI katika masanduku yale kulikuwa na vitu vyenye thamani kubwa kiasi cha majambazi hao kutoa roho ya mtu?”

“HIVI katika masanduku yale kulikuwa na vitu vyenye thamani kubwa kiasi cha majambazi hao kutoa roho ya mtu?”

KOCHA Juma Mgunda, amesema kutotumia vizuri nafasi wanazotengeneza kwenye safu ya ushambuliaji, pamoja na makosa ya eneo la ulinzi, ni miongoni mwa mambo makubwa yanayowagharimu na kuwafanya kupoteza pointi kwenye mechi zao.

KIUNGO mkabaji wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Jonas Mkude amesema kujiunga na Mashujaa ni nafasi ya kuendelea na majukumu yake katika soka, huku akisisitiza kikubwa kwake ni kuha kikisha huduma yake ina kuwa msa ada kwa timu hiyo.

WINGA wa Singida Black Stars, Henry Davids amesema kuanza vizuri katika Kombe la Shirikisho Afrika kumempa motisha ya kuendelea kupigania nafasi ndani ya kikosi hicho.

ANUARY Jabir ambaye ana mabao matano katika Ligi Kuu Bara msimu huu, amesema anahitaji kuandika historia mpya na kuvunja rekodi za nyuma baada ya hapo awali kutokuwa na mwenendo mzuri.

KIPA wa Coastal Union, Ahmed Issa, amewataka mashabiki wa timu hiyo kutegemea mazuri kutoka kwake baada ya kuionja ladha ya Ligi Kuu Zanzibar.

KIPA wa Coastal Union, Ahmed Issa, amewataka mashabiki wa timu hiyo kutegemea mazuri kutoka kwake baada ya kuionja ladha ya Ligi Kuu Zanzibar.

BAADA ya kuvuna pointi nne kati ya tisa katika mechi tatu za ugenini, Mbeya City imesema matokeo hayo hayajakidhi matarajio yake katika mpango wa kusaka nafasi nne za juu, huku ikiwa imetoa mapumziko ya siku sita kwa wachezaji wake.

The Federal High Court sitting in Abuja on Wednesday issued an order for President Bola Tinubu to be served, within seven days, with the suit seeking to stop him from contesting the 2027 presidential election over his alleged submission of forged certificates to the Independent National Electoral Commission (INEC).

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema inapanga kutumia michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kuwashawishi viongozi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ili kuwapatia uwanachama kamili.

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) kwa kushirikiana na Shirikisho la Michezo ya Viziwi Zanzibar (SHIMIVIZA) wameandaa ligi ya visiziwi kisiwani hapa.

Former Barcelona and Netherlands manager Ronald Koeman has announced the death of his wife, Bartina Koeman.

He said the ministry would deploy more traffic management personnel to the Lekki Port corridor to strengthen truckers' compliance with the E-Call-Up system and ensure the seamless movement of articulated trucks in and out of the ports, including Apapa.

DAR ES SALAAM: SIMBA and Azam FC will put their unbeaten starts to the season on the line today when the two giants meet at the Azam Complex in Dar es Salaam in one of the most anticipated earlyseason league clashes. Separated by just one point on the table, the encounter brings together a Simba…

DAR ES SALAAM: ROAD infrastructure projects linked to the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON) in Dar es Salaam have reached the 50 per cent completion mark, keeping Tanzania firmly on track to meet strict continental hosting standards. The Tanzania Rural and Urban Roads Agency (TARURA) have expressed immense confidence that the vital works will…

BARCELONA: TANZANIA and Spanish giants Barcelona FC are set to forge a groundbreaking partnership in youth football development, following a visit of Minister for Information, Culture, Arts and Sports, Paul Makonda, for a high-profile four-day official tour at the personal invitation of club President Joan Laporta. The strategic visit officially got underway on Monday, aimed…

HISTORIA pevu ya Kenya katika riadha, ongezeko kubwa la mashabiki wa mchezo huo, ukarabati kabambe wa miundomsingi ya michezo na ufadhili thabiti wa serikali umeiwezesha Nairobi kushinda zabuni ya kuandaa Riadha za Dunia za mwaka 2029. Tunu hiyo pia imetokana na mafunzo muhimu yaliyopatikana baada ya Nairobi kushindwa katika zabuni ya kuandaa Riadha za Dunia za 2025, ambazo zilipewa Tokyo, Japan. Nairobi ilirekebisha kasoro zilizojitokeza katika uwaniaji huo na kuboresha mipango yake ili kulishawishi Baraza la Riadha Duniani mara hii. Rais wa Riadha Duniani, Sebastian Coe, alisema Nairobi iliweka rekodi nzuri zaidi baada ya kurejea na pendekezo imara la kuandaa mashindano ya 2029, ikitumia tajriba ya karibu muongo mmoja ya kuandaa mashindano makubwa ya kimataifa ya riadha. Coe alisema Nairobi ilianza kujijengea sifa kwa kuandaa Riadha za Dunia za Wasiozidi miaka 18 (Under-18) mnamo 2017, Under-20 mwaka 2021 na Kip Keino Classic, mashindano ya World Athletics Continental Tour Gold yaliyoanzishwa mwaka wa 2020. “Riadha za Under-18 ya 2017 zilidhihirisha hamu kubwa ya Wakenya katika riadha, huku umati mkubwa ukijaza uwanja wa Kasarani katika kipindi chote cha mashindano. “Tangu wakati huo, Nairobi imeifanya Kip Keino Classic kuwa mojawapo ya mashindano makubwa ya siku moja barani Afrika, huku mashindano hayo yakiwa sehemu ya World Athletics Continental Tour Gold,” alisema Coe. Aliongeza kuwa tajriba hiyo iliweka msingi imara wa zabuni ya 2029 iliyojumuisha mipango madhubuti ya uendeshaji pamoja na dhamana za kifedha. Uwanja wa Kasarani, ambao unafanyiwa ukarabati mkubwa kabla ya kuandaa Kombe la Afrika (AFCON) 2027, miaka miwili kabla ya Riadha za Dunia, ni sehemu muhimu ya maono ya kuandaa Riadha za Dunia kwa mara ya kwanza barani Afrika. Kiongozi huyo wa riadha duniani alisema Nairobi imeonyesha wazi kuwa wakati umefika wa kuharakisha maendeleo ya riadha nchini Kenya na barani Afrika, huku ikiweka urithi utakaolihamasisha bara hilo na dunia nzima. Nguvu ya uhusiano wa Kenya na riadha pia imeonekana katika utafiti wa World Athletics kuhusu mashabiki, ambao umeonyesha kiwango cha kipekee cha ushiriki wao. Asilimia 68 ya Wakenya waliohojiwa walisema wana hamu kubwa ya kufuatilia riadha, ikilinganishwa na wastani wa kimataifa wa asilimia 39. Hii inaifanya Kenya kuwa soko lenye hamu kubwa zaidi ya riadha miongoni mwa masoko yaliyofanyiwa utafiti. “Kenya ina alama ya juu zaidi ya net promoter score kuliko soko lolote, na riadha ndiyo mchezo wa pili unaofuatiliwa zaidi nchini, baada ya soka pekee,” alisema Coe. Aliongeza kuwa Kenya ni nchi ya nne duniani kwa idadi ya wafuasi wa kurasa za Riadha Duniani katika mitandao ya kijamii. Kenya ni nchi ya pili yenye mafanikio makubwa zaidi katika historia ya Mashindano ya Dunia ya Riadha, ikiwa nyuma ya Marekani katika orodha ya medali. Kenya imeshinda jumla ya medali 182 — dhahabu 72, fedha 60 na shaba 50 — tangu kuanzishwa kwa mashindano hayo mjini Helsinki, Finland, mwaka 1983. Marekani ina medali 649, zikiwemo dhahabu 211, fedha 139 na shaba 119. Katika Mashindano ya Dunia ya Riadha yaliyofanyika Tokyo mwaka uliopita, Kenya ilishinda medali saba za dhahabu na 11 kwa jumla. Wanariadha wa Kenya walinyakua mataji yote ya wanawake katika mbio za masafa ya kati hadi marefu uwanjani na mbio za marathoni. Coe alisema Nairobi iliwasilisha zabuni iliyokuwa na ushindani mkubwa na iliyogusa hisia, akieleza jiji hilo kuwa kitovu kinachokua kwa kasi, chenye nguvu na cha kisasa katika huduma, uchumi, utamaduni na siasa za Afrika Mashariki. “Kupeleka Mashindano ya Dunia ya Riadha barani Afrika kwa mara ya kwanza kutakuwa jambo la kihistoria. Ilikuwa muhimu mashindano hayo yaje Afrika wakati tunapokuwa na mwenyeji anayefaa, zabuni inayofaa na mazingira yanayofaa. Nairobi imeonyesha wazi kuwa wakati wake umefika,” alisema Coe. Alisema riadha imejikita katika maisha ya Wakenya na imekuwa chimbuko la wanariadha waliounda historia ya mchezo huo duniani, wakiwemo mabingwa wa dunia Faith Kipyegon, Vivian Cheruiyot, Eliud Kipchoge, Hellen Obiri na David Rudisha. Wengine ni bingwa wa Olimpiki mara mbili Kip Keino, bingwa mara kadhaa wa dunia wa mbio za nyika Paul Tergat na bingwa mara kadhaa wa dunia wa nusu marathoni Tegla Loroupe.

During the 2023 election petition proceedings, Olubusayo Fasidi, an immigration lawyer, had testified before the Lagos State Governorship Election Petition Tribunal that Hamzat applied for US naturalisation and took an oath of allegiance to the country.

Yanga imeendeleza moto wake kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Geita Gold kwa bao 1-0 ikiendelea kuongoza msimamo wa ligi.

Professional Game Referees (Pro Ref) chief Howard Webb has explained how VAR’s “tunnel vision” contributed to the controversial decision to award Manchester City striker Erling Haaland’s winner against Manchester United in the Manchester derby.

MANCHESTER, Uingereza: MANCHESTER United itakuwa na kibarua kingine kigumu Jumatano usiku itakapomenyana na Brighton katika raundi ya tatu ya Kombe la Carabao ugani Old Trafford. Manchester United chini ya Michael Carrick inaingia katika pambano hilo baada ya kulazwa na Manchester City 1-0 katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mnamo Jumapili. Mshambuliaji Erling Haaland alifunga bao la ushindi kipindi cha pili, lakini United ililalamikia uamuzi wa kulikubali bao hilo baada ya kiungo wa City Enzo Fernandez kuhusika katika tukio hilo akiwa ameotea. Kikosi hicho kimeshinda mechi moja pekee kati ya nne za kwanza za EPL, kikitoka sare moja na kupoteza mbili. Pia kimeruhusu mabao saba katika mechi nne. Kabla ya kuzuru Fulham kwa mechi ya EPL mnamo Jumapili, United itatumia mechi ya Brighton kujaribu kurekebisha makosa yake. United imeshinda Carabao mara sita, huku taji lake la mwisho likija msimu wa 2022/23. Hii itakuwa mechi yake ya kwanza katika mashindano hayo msimu huu baada ya kubanduliwa katika michuano hii mapema msimu uliopita na Grimsby Town ya daraja ya nne. United pia ina kumbukumbu mbaya dhidi ya Brighton katika mashindano ya vikombe baada ya kufungwa 2-1 nyumbani katika raundi ya tatu ya Kombe la FA mnamo Januari. Hata hivyo, ililipiza kisasi kwa kuichapa Brighton 3-0 katika mechi ya mwisho ya EPL mnamo Mei msimu uliopita. Tofauti na United, Brighton imeanza msimu kwa kishindo na inashikilia nafasi ya nne kwenye msimamo wa EPL ikiwa na pointi saba kutokana na mechi nne. Brighton imefunga mabao 13 katika mechi hizo, idadi kubwa zaidi katika ligi hadi sasa. Kikosi hicho kilionyesha makali Jumapili kilipoichapa Coventry City 5-0 ugenini, huku wachezaji watano tofauti wakifunga. Hata hivyo, Brighton ina rekodi mbaya katika Carabao, ikiwa imefika robo-fainali mara moja pekee, msimu wa 1978/79. Licha ya hayo, inaweza kujipa matumaini kutokana na rekodi yake ya hivi karibuni dhidi ya United. Brighton imeshinda mechi saba kati ya 11 zilizopita dhidi ya United katika mashindano yote, ikipoteza nne. Ushindi mara nne kati saba umepatikana Old Trafford. United haitakuwa na Matthijs de Ligt, Manuel Ugarte, Amad Diallo, Tom Heaton na Carlos Baleba kutokana na majeraha. Luke Shaw bado ni shaka. Carrick anatarajiwa kufanya mabadiliko kadhaa, huku Benjamin Sesko akiwa katika nafasi nzuri ya kuanza mbele badala ya Matheus Cunha. Brighton nayo itawakosa Yankuba Minteh, Kaoru Mitoma, Jack Hinshelwood, Zadok Yohanna, Mats Wieffer, Stefanos Tzimas na Evan Ferguson. Pascal Gross, aliyefunga bao moja na kutoa pasi mbili za mabao dhidi ya Coventry, anaweza kuanza tena. Gross amefunga mabao saba dhidi ya Manchester United, idadi kubwa kuliko dhidi ya timu nyingine yoyote. Kwa kuzingatia kiwango cha sasa, Brighton inaonekana kuwa na nafasi nzuri ya kuendeleza ubabe wake dhidi ya United na kuitoa mapema tena katika Carabao. Katika mechi zingine, Everton itawaalika Wolves, Fleetwood ya Ligi ya Daraja la Tatu Uingereza itamenyana na Sheffield United nao Coventry watatoana kijasho na Aston Villa. RATIBA: Everton vs Wolves (9:45pm), Fleetwood vs Sheffield United (9:45pm), Coventry vs Aston Villa (10:00pm), Manchester United vs Brighton (10:00pm).

Zaka Zakazi afunguka maandalizi ya mwisho walivyojipanga kui-pa dozi Simba uwanja wa Azam Complex

DAR ES SALAAM: TANZANIA Football Federation (TFF) is preparing to work closely with the Tanzania Tourist Board (TTB) to use the opportunity presented by the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON) to promote the country’s tourism attractions. TFF President Wallace Karia said the venues selected to host AFCON matches have been located in or near…

DABI ya Mzizima si vita ya Simba na Azam pekee, bali ni pambano ambalo kila msimu huja na sura mpya, matarajio mapya na presha kubwa kwa wachezaji wanaotua katika timu hizo.

DABI ya Mzizima si vita ya Simba na Azam pekee, bali ni pambano ambalo kila msimu huja na sura mpya, matarajio mapya na presha kubwa kwa wachezaji wanaotua katika timu hizo.

Tottenham forward Richarlison has reacted angrily to being left out of the squad for Tuesday’s Carabao Cup clash with Liverpool, posting a “Why?” message alongside a crying emoji on social media.