
Category
Match reports, transfers and results from East African football and leagues worldwide, plus athletics, basketball and the biggest stories in global sport.


RAUNDI ya pili ya Ligi ya Championship kwa msimu wa 2026-2027, imeendelea jana kwa mechi mbili kupigwa na nyingine tatu zikipigwa leo, kisha kuhitimishwa kesho Jumapili, huku ushindani ukianza kuonekana mapema kwa vigogo vinavyoshiriki.

LEO saa 2:00 Usiku kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, Timu ya Taifa ya Tanzanzia chini ya miaka 20 itakuwa na kibarua cha dakika 90 za kuamua hatma ya kwenda hatua ya nusu fainali itakapokabiliana na Ethiopia katika mechi ya pili ya kundi A ya michuano ya CECAFA.

KOCHA Mkuu wa Sudan U-20, Mohamed Mousa amesema hadi sasa timu za Tanzania, Rwanda na Uganda ni miongoni mwa timu alizoona zikicheza soka safi katika michuano ya CECAFA U-20 inayoendelea Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

BURUNDI imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kuwania tiketi ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 20 (AFCON U20) kwa ukanda wa CECAFA, baada ya kuichapa Kenya mabao 2-0.

TIMU ya Taifa ya vijana chini ya miaka 20 ya Djibouti imeaga mashindano ya CECAFA baada ya kupoteza michezo yake miwili ya Kundi B, lakini licha ya kuondoka mikono mitupu, kocha wake Abdirahman Ali Abubakar amesema wameondoka na vitu viwili muhimu uzoefu na somo.

ZANDEAF FC imeanza vizuri mashindano ya Ligi ya Viziwi Zanzibar baada ya juzi kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Hope City Deaf FC, mechi ikichezwa kwenye Uwanja wa Mao Zedong, Unguja.

KOCHA wa JKU, AbdulSaleh Mohammed, amesema sare ya bao 1-1 waliyoipata dhidi ya KVZ katika mechi ya Ligi Kuu Zanzibar iliyochezwa juzi Alhamisi kwenye Uwanja wa Mao A kisiwani Unguja, imetokana na safu yake ya ulinzi kufanya uzembe.

ALIYEKUWA KOCHA Mkuu wa Mwenge, Msellem Sultan Hemed, amethibitisha kuachana na timu hiyo baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili, huku taarifa zikieleza kwamba timu mbili zinamuwania.

KIUNGO mkabaji wa Uhamiaji, Ikram Said Ally amesema uwepo wake ndani ya kikosi hicho ni miongoni mwa mafanikio makubwa kwani ndiyo mara ya kwanza kucheza Ligi Kuu Zanzibar.

DAR ES SALAAM. Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itaanza kampeni ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kwa kucheza dhidi ya Guinea-Bissau, Septemba 25, kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 10 jioni, huku Taifa Stars ikijiandaa kuendelea na ratiba ya mechi za kufuzu…

DAR ES SALAAM: THE African Export-Import Bank (Afreximbank) has extended a 10m US dollars financing facility to Azania Bank to expand access to finance for small and medium-sized enterprises (SMEs) operating across Tanzania’s export value chains. The facility, provided under Afreximbank’s Export SME Development Programme (ESDP), is intended to enable Azania Bank to offer eligible…

WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema haitambui matangazo ya jezi mpya za timu za taifa za soka , ikieleza kuwa mchakato wa kuzibadilisha haukuishirikisha Wizara licha ya maelekezo yaliyotolewa Februari mwaka huu.

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeweka ratiba na mipango ya timu mbalimbali za taifa zinazokabiliwa na mashindano ya kimataifa huku Taifa Stars ikiwa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2027 na Serengeti Boys ikiendelea na maandalizi ya Kombe la Dunia nchini Qatar.

Azania Bank will on-lend the funds to eligible small and medium sized entreprises engaged in export-oriented activities across key sectors, including agriculture, manufacturing, trade, technology, logistics and value-added exports.

Shinyanga councils have been directed to use their own-source revenue to buy more tablets for primary schools following a surge in enrolment that has left some pupils sharing devices in shifts.

DAR ES SALAAM: OFISA wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Charles Maguzu, ameitaka timu ya Taifa ya netiboli ya Tanzania, Taifa Queens, kwenda nchini Kenya ikiwa na dhamira ya kupambana na kutafuta nafasi ya kufuzu Kombe la Dunia la netiboli litakalofanyika mwakani nchini Australia. Maguzu ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya kuikabidhi Taifa…

Anambra State Police Command has commenced enhanced security deployment to schools and strategic locations across the state, as schools resume for the new academic session.Spokesperson, Tochukwu Ikenga, who disclosed this yesterday, said the operation, in line with the Inspector-General of Police’s Safe School Initiative, was coordinated under the supervision of Assistant Commissioner of Police in […]

DAR ES SALAAM: SIMBA SC coach Steve Barker hailed his players after their 2-0 victory over Azam FC on Wednesday, saying the result was a significant step in their push for the Premier League title. Simba secured the three points at the Azam Complex Stadium while keeping a clean sheet, extending their strong start to…

DAR ES SALAAM: THE Tanzania National Kabaddi team has initiated a search for players for the 2026 Commonwealth Kabaddi Championship in India, with players from across the country invited to an initial meeting ahead of the selection process. The Tanzania Kabaddi Sports Association (TKSA) has scheduled the meeting for September 19 at Mwembeyanga Grounds in…

THE summer transfer window has been closed for a while now and while everyone talks about new additions like Enzo Fernandez to Manchester City on deadline day, or Youri Tielemans to Man United, or Rodri to Barcelona, it’s also surprising that some names haven’t been sung by Fabrizio across all that time despite their situations…

TANZANIA: IN a moment that will be remembered as a turning point for Tanzanian football, our nation has once again demonstrated visionary leadership on the world stage. As Tanzania, together with our East African brothers, Kenya and Uganda, prepares to host the most prestigious football tournament in Africa, the AFCON finals, the Ministry of Sports,…

DAR ES SALAAM: CONFÉDÉRATION Africaine de Football (CAF) President Patrice Motsepe has issued a resounding vote of confidence in East Africa’s readiness for the 2027 Africa Cup of Nations, firmly shutting down reports that the continental governing body is considering alternative hosts. Speaking after inspecting the ongoing renovations at the Benjamin Mkapa Stadium in Dar…

ZANZIBAR: ZANZIBAR President Dr Hussein Mwinyi has called for prayers, as authorities prepare for possible heavy rainfall associated with the expected El Niño conditions. Dr Mwinyi made the call at State House yesterday when Muslim leaders from Bungi in South Unguja Region paid him a visit ahead of the three-day Ijitimai, a major Islamic religious…

Floyd Samba enjoyed a dream Manchester City debut as the 17-year-old struck twice in a 5-0 thrashing of Norwich to set up a League Cup last 16 meeting against Brighton.

SHINYANGA: Reading, writing and numeracy skills are expected to improve in Shinyanga following the official launch of the MsingiTek tablet-based learning programme, which is targeting more than 13,000 pupils in 100 primary schools in the region. The programme was officially launched by Shinyanga Regional Education Officer Samson Hango on September 17, 2026, in Shinyanga and…

SHINYANGA: Kiwango cha kujua stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK) kinatarajiwa kuongezeka huko Shinyanga baada ya kuzinduliwa rasmi wa mpango shirikishi wa ujifunzaji kwa kutumia vishikwambi (MsingiTEK) uliolenga kuwafikia zaidi ya wanafunzi 13,000 wa shule za msingi 100 mkoani humo. Mpango huo umezinduliwa na ofisa elimu mkoa, Samson Hango Septemba 17, 2026 mjini Shinyanga na kushuhudiwa na…

Super Eagles coach, Eric Chelle has released the squad lists for the upcoming 2026 Africa Cup of Nations (AFCON) qualifying matches against Madagascar and Guinea-Bissau, as well as an international friendly against Russia.

A Nigerian man and registered sex offender, Babatunde has been jailed in the UK after exposing himself and masturbating in front of a woman on a train travelling towards Manchester.

By Udeme AkpanThe African Export-Import Bank (Afreximbank) has extended a US$10 million finance facility to Azania Bank Plc of Tanzania to improve ac-cess to funding for small and medium-sized enterprises (SMEs) across the country’s export value chains. The facility, provided under Afreximbank’s Export SME Development Programme (ESDP), will enable Azania Bank to offer eligible SMEs […]

Rais wa CAF azitaja Simba, Yanga AFCON 2027



RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dk Patrice Motsepe, amekoleza wino kwamba bado ana imani na Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2027) kufanyika Afrika Mashariki katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda.

TIMU ya Uhamiaji inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), imeendelea kushikilia rekodi yake ya kuongoza msimamo wa ligi hiyo katika mechi nne za awali.

TIMU ya Mwenge iliyorejea Ligi Kuu Zanzibar msimu huu 2026-2027, imekuwa na hali ngumu kwenye ligi hiyo baada kupoteza mechi nne mfululizo ilizocheza.


DAR ES SALAAM: EMOTIONAL affairs can deeply impact your relationship, even without physical involvement. Recognising the signs early can help you address issues before they escalate. This article explores nine key indicators that your friendship may have crossed the line into an emotional affair. What is an emotional affair? An emotional affair involves a deep…

DAR ES SALAAM: THE President of the Confederation of African Football (CAF) Patrice Motsepe has expressed confidence in Tanzania’s preparations to host the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), saying directives issued for the tournament preparations are being implemented professionally. The CAF President made the statement immediately after landing at the Julius Nyerere International Airport…


A Real Madrid supporters' group has demanded a public apology from Kylian Mbappe and two team-mates after they declined to fully wear a t-shirt in support of the people of Ceuta.

TIMU ya Taifa ya Woodball imeagwa rasmi kwenda Nairobi, Kenya, kushiriki Mashindano ya tisa ya Kimataifa ya Woodball Championship, yanayotarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 18 hadi 22, 2026 katika Chuo cha Mount University.

PAMOJA na kukiri ugumu wa ligi, nyota wa Pamba Jiji, Hassan Kibailo amesema upepo mbaya walioanza nao ni sehemu ya matokeo ya mechi, akiahidi mapumziko waliyonayo watarejea wakiwa imara.

UTANGULIZI “Huu uchunguzi ni mgumu kidogo kwa sababu haya mauaji yametokea katika mtindo tofauti. Isitoshe wauaji ni watu wanaoshitukizia na kutoweka ghafla. Ninahitaji muda wa kutosha kuweza kuwagundua na kuwanasa watu hawa.” “Unadhani nikupe muda gani ambao utakutosha kukamilisha uchunguzi wako?” Amour alifikiri kidogo kisha akasema. “Nipe angalau wiki mbili.” SASA ENDELEA... “Sawa ninakupa wiki mbili. Kumbuka kwamba huo uchnguzi unasubiriwa na wakubwa. Kitendo cha wewe kufanikiwa kuwapata au kutowapata wauaji hao kitakujenga wewe au kukubomoa.” “Sawa afande. Nimekuelewa.” Wakati Amour anatoka ofisini kwa mkurugenzi wa upelelezi, simu yake ya mkononi ikaita. Aliipokea simu huku akishuka ngazi. “Hello…!” “Afande unaongea na Sajenti Isaya wa kituo cha kati. Nipo katika hospitali ya Mwananyamala. Kuna jambazi amepigwa risasi na amekamatwa.Anatibiwa hapa. Tunataka uje umuone.” “Ana nini?” “Wakati tunamhoji ametoa maelezo ya kuhusika na wale majambazi wanaotafutwa ambao walifanya mauaji Mikocheni na Sinza.” “Ninakuja…ninakuja…” Amour aliirudisha simu mfukoni akashuka ngazi haraka haraka na kutoka nje ya jengo hilo la makao ya polisi. Alijipakia kwenye gari lake akaliwasha na kuondoka. Dakika kadhaa baadaye alilisimamisha gari hilo katika eneo la kuegesha la hospitali ya Mwananyamala ambako alikuta gari la polisi likiwa nje. Alishuka kwenye gari na kuingia katika jengo hilo huku akipishana na watu mbalimbali wakiwemo wauguzi waliokuwa wakitoka na kuingia. Kwa msaada wa muuguzi mmoja Amour alipelekwa katika chumba ambacho kulikuwa na jambazi aliyekuwa akitibiwa. Katika chumba hicho Amour alikuta polisi wanne na makachero wawili. Alimkuta pia jambazi aliyekuwa amelazwa kwenye kitanda baada ya kutolewa risasi aliyopigwa mguuni. Sajenti Isaya aliyekuwa mmoja wa wale makachero alimwambia Amour kuwa jambazi aliyekuwa na maelezo kuhusu watu watatu waliokuwa wanatafutwa kwa mauaji ya Martin na James, alikuwa ndiye yule aliyelazwa. Amour aliambiwa kwamba jambazi huyo alipigwa risasi wakati yeye na wenzake wawili waliouawa walipokuwa wakijaribu kupora gari la mtu mmoja mwenye asili ya kiasia katika maeneo ya Mbezi. “Katika kumhoji maswali amesema anawafahamu majambazi watatu waliohusika na na mauaji yaliyotokea Mikocheni na Sinza. Kama sikosei yaliwahusu wanandugu Martin na James.” Sajenti Isaya alimwambia Amour. “Ni habari ambayo ninaihitaji sana.” Amour alisema kisha akakisogelea kitanda alicholazwa jambazi huyo. “Unaitwa nani?” Akamuuliza. “Naitwa Simon Puto.” jambazi huyo alimjibu huku akikunja uso kuonnesha kuwa alikuwa akisikia maumivu ya risasi. “Hebu nieleze jinsi unavyowafahamu wale wauaji wa Mikocheni na Sinza.” “Si wale jamaa ambao wanavaa nguo nyeupe na nyeusi?” “Ndio hao hao.” “Wale nawafahamu sana. Wale wanafanya ujambazi kwa kutumia nguvu za kiza.” “Ndiyo.” “Wanafuata masharti ya mganga.” “Tunaweza kuwapataje?” “Wamekodisha nyumba nzima Buguruni, wanaishi na mabibi zao.” “Tutawapataje?” “Wanapatikana, hawana ujanja. Mimi nitawaelekeza nyumba wanayoishi.” “Una uhakika kwamba tutawapata?” “Hii leo nilikuwa nao.” “Ulikuwa nao mkipanga kitu gani?” “Ni kawaida tunakutana kubadilishana mawazo.” “Tutakuomba kwa daktari utupeleke hapo wanapoishi.” “Mimi naona mwende wenyewe. Nikiwaelekeza nyumba hamtapotea.” “Hapana. Tutakwenda na wewe.” “Sasa niwambie kitu, kwa muda huu hamuwezi kupata mtu. Lakini saa kumi alfajiri nina uhakika kuwa mtaweza kuwakamata.” “Sawa. Hebu tuambie wako wangapi katika hiyo nyumba?” “Wanaishi watu watatu na mabibi zao.” “Na ndio hao hao tunaowatafuta?” “Ndio hao hao.” “Wana silaha za aina gani?” “Sijui.” Amour akakunja uso. “Usilete utani kwenye kazi!” “Nasema kweli kuwa sijui wana silaha gani.” Amour akawageukia wale polisi. “Huyu awekwe chini ya ulinzi mkali sana hadi hiyo saa kumi alfajiri tutakapokuja kumchukua atupeleke huko Buguruni.” “Atawekwa chini ya ulinzi mkali, hakuna tatizo afande. Naamini umepata maelezo ya kutosha.” “Kama maelezo yake yatakuwa na ukweli atakuwa ametusaidia sana.” Lile jambazi likajifanya linacheka. “Afande usiwe na wasiwasi, hao jamaa utawakamata tu. Mbali na hao, mbona kuna wengi tu ninawafahamu.” “Tuanze na hao kwanza.” “Sawa afande, usijali.” Amour aliwaaga wale polisi na kutoka. Akiwa nje ya hospitali alijipakia kwenye gari lake na kuondoka Huku akiendesha gari hilo kwa mwendo wa taratibu, Amour alianza kupata faraja ya moyo. Tatizo lililokuwa likisumbua akili yake sasa lilikuwa likielekea kupata ufumbuzi. Alijiambia kama atafanikiwa kuwakamata majambazi hao atakuwa amejiondolea lawama kwa Mkurugenzi wa Upelelezi. Alikumbuka maneno aliyoambiwa kwamba kufanikiwa au kutofanikiwa kuwapata majambazi hao ndiko kutakako mjenga au kumbomoa. “Kama nitafanikiwa kuwakamata, tukio hilo litakuwa limenijenga.” Alijiambia kimoyo moyo. Sasa aliamini ile dhana yake kwamba wauaji hao hutumia nguvu za kiza kama alivyoambiwa na jambazi aliyekamatwa. Kitendo cha kuvaa nguo za ajabu ajabu huku mmoja wao akionekana kama amechinjwa na kitendo cha kutoweka ghafla mbele ya macho ya watu, vinaashiria kuwa majambazi hao hutumia nguvu za kiza, akajiambia. Kesho asubuhi nitakwenda kwa mkurugenzi wa upelelezi nikiwa na taarifa ya kupendeza, aliendelea kujiambia. Majira ya saa tisa na nusu usiku magari mawili ya polisi yalisimama mbele ya lango la kuingiilia katika hospitali ya Mwananyamala. Katika gari la kwanza ambalo lilikuwa likitumiwa na polisi kulikuwa na polisi sita waliokuwa na bunduki kila mmoja. Ndani ya gari la pili ambalo lilikuwa la idara ya upelelezi kulikuwa na makachero sita akiwemo Inspekta Amour. Kila mmoja alikuwa na bastola yake ndani ya koti. Hakukuwa na askari yeyote aliyeshuka zaidi ya Inspekta Amour. Aliingia ndani ya hospitali hiyo na baada ya muda mfupi alitoka akiwa na jambazi aliyekuwa akitibiwa mguu uliokuwa umepigwa risasi na polisi. Polisi aliyekuwa akimlinda jambazi huyo alikuwa akiwafuata kwa nyuma na bunduki yake. Jambazi huyo alipakiwa kwenye gari hilo la idara ya upelelezi ambalo lilitangulia kuondoka likafuatia gari la polisi. Msafara huo ulienda hadi Buguruni. Ilikuwa ni katika mtaa mmoja wa Buguruni Malapa ndipo magari hayo yaliposimama mbele ya nyumba moja ambayo jambazi aliyepakiwa kutoka hospitali ya Mwananyamala aliwaeleza makachero hao kuwa nyumba hiyo ndiyo iliyokuwa ikiishi majambazi watatu waliokuwa wanatafutwa. “Una uhakika kwamba hivi sasa wamo ndani?” Amour akamuuliza jambazi aliyekuwa amepakiwa. “Watakuwa wamo. Wanaishi katika nyumba hii.” Jamabzi hilo likajibu. “Umesema wako watu wangapi?” “Wako watatu pamoja na mabibi zao.” “Jumla kutakuwa na watu sita au siyo?” “Watakuwa sita.” “Wana silaha gani?” “Watakuwa na bunduki.” “Bunduki ngapi?” “Hapo siwezi kujua.” “Majambazi wa siku hizi hutumia pia mabomu.” “Sidhani kama wao watakuwa na mabomu.” “Sasa tuambie ramani ya nyumba hii kwa ndani ikoje?’ “Hii nyumba ni kubwa lakini ina vyumba vinne tu na sebule moja. Ukiingia unatokea kwenye sebule. Upande wa kushoto wa sebule kuna chumba kimoja. Anaishi mtu mmoja. Ukiivuka sebule kuna vyumba viwili, pia viko mkono wa kushoto.” Makachero hao pamoja na polisi walishuka kwenye magari wakawa wanajipanga na kujadiliana. Jambazi aliachwa kwenye gari akilindwa na polisi mmoja. Baada ya majadiliano yaliyochukua kama robo saa hivi, nyumba hiyo ilizingirwa na makachero pamoja polisi. Polisi wanne waliruka ukuta na kutumbukia ndani ambako waliizunguka nyumba kwa upande wa ndani. Mlango wa mbele wa nyumba hiyo ulivunjwa kwa risasi mbili. Polisi watatu na makachero wawili akiwemo Inspekta Amour wakaingia ndani haraka haraka wakiwa na silaha zao mkononi. Wote walikimbilia kwenye milango ya vyumba vitatu vilivyokuwa upande wa kushoto kama walivyoelekezwa na jambazi waliyekwenda naye kuwaonesha nyumba hiyo. Walipoijaribu ile milango waliona inafunguka. Wakaifungua kwa kushitukizia huku bastola na bunduki zikitangulia. Pamoja na kutegemea kuwakuta majambazi hao vyumbani humo, vyumba hivyo havikuwa na watu ingawa taa zilikuwa zinawaka. Wamekwenda wapi? Polisi na makachero hao wakajiuliza. Kumbe wale polisi walipokuwa wameruka ukuta na kuingia uani walionekana na majambazi hao waliokuwa wakiwachungulia kwenye madirisha. Majambazi hao wakagundua kuwa walikuwa wamevamiwa na polisi ingawa hawakujua idadi ya polisi hao. Hivyo walitoka vyumbani mwao wakiwa na wanawake zao na kwenda kujificha jikoni. Walipowaona askari hao wakiingia vyumbani ndipo walipojitokeza na kuwashambulia kwa bunduki walizokuwa wamejichumbia nazo jikoni. Polisi walioruka ukuta na kuingia uani walikuta nyumba nyingine ndogo iliyojengwa nyuma ya nyumba ile. Polisi hao walishangaa kuona taa zikiwaka kupitia kwenye madirisha hali iliyoonesha kuwa kulikuwa na watu wengine katika nyumba hiyo. Itaendelea kesho...

Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe, leo Septemba 17, 2026 amekagua Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya ufuatiliaji wa maandalizi ya Tanzania kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 zitakazoandaliwa kwa pamoja na Tanzania, Kenya na Uganda.

MASHABIKI wenye huzuni wa Manchester United walishuhudia jambo ambalo halijawahi kutokea katika uwanja wa Old Trafford kwa nusu karne Jumatano. Hii ni baada ya timu yao kupoteza 3-2 nyumbani dhidi ya Brighton & Hove Albion katika raundi ya tatu ya Carabao, licha ya kuongoza kwa mabao mawili. Mara ya mwisho United kupoteza nyumbani baada ya kuongoza kwa mabao mawili ilikuwa Septemba 1976, Tottenham Hotspur iliposhinda kwa matokeo kama hayo ya 3-2. Brighton ilifuzu kwa raundi ya 16 bora, huku kichapo hicho kikiwa pigo jingine kwa United, ambao walipoteza kwa 1-0 dhidi ya wapinzani wao Manchester City katika mechi yenye utata ya Ligi Kuu Uingereza (EPL) wikendi iliyopita. United kwa sasa iko katika nafasi ya 13 ikiwa na ushindi mmoja katika mechi nne. United ilifunga mabao mawili katika dakika nne za kipindi cha pili baada ya kijana Shea Lacey kuwapa uongozi dakika ya nane, kabla ya Mason Mount kuongeza bao la pili dakika mbili baadaye. Charalampos Kostoulas aliifungia Brighton bao la kwanza katika muda wa nyongeza wa kipindi cha kwanza, kabla ya Pascal Gross kusawazisha dakika ya 65 na Maxim De Cuyper kufunga bao la ushindi dakika ya 69. Mashabiki wa United waliwazomea wachezaji wao baada ya kipenga cha mwisho. “Hatuwezi kukubali matokeo kama haya na mimi ndio najukumika na nafaa kuwajibishwa kwa hili. Mchezo wetu kuelekea mwisho wa kipindi cha pili ulikuwa duni mno,” Kocha Michael Carrick akasema baada ya mchuano huo. Hiki kilikuwa kichapo cha tatu mfululizo cha United katika mashindano yote msimu huu. Msimu uliopita, waliondolewa katika raundi ya pili ya Carabao kupitia mikwaju ya penalti na Grimsby Town, ambayo inashiriki ligi ya daraja la nne, Pia walipoteza 2-1 nyumbani dhidi ya Brighton katika raundi ya tatu ya FA Cup Januari. Msimu uliopita ulikuwa wa kwanza tangu 1981-82 ambapo United ilishindwa kufika raundi yoyote katika FA na Carabao.

Women, youth, older people and persons with disabilities have been urged to take advantage of the government’s 30 percent public procurement allocation, with authorities warning that inadequate preparedness and limited awareness of procurement rights could prevent eligible groups from benefiting.

TIMU ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, kesho Jumamosi itarejea Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, kukabiliana na Ethiopia katika mchezo wa pili wa Kundi A kuwania kufuzu Fainali za AFCON U-20.

NAHODHA wa timu ya Kenya U-20, Charles Junior, amesema ni hatua kubwa kwake na wenzake kupata nafasi ya kuiwakilisha nchi yao katika mashindano ya CECAFA U-20, akieleza kuwa michuano hiyo ni sehemu ya kujitangaza kwao.

DAR ES SALAAM: YOUNG Africans Head Coach Manqoba Mngqithi has hailed his side’s winning mentality after they held on for a 1-0 victory over Geita Gold despite playing the entire second half with 10 men at KMC Complex Stadium, with Geita Gold Head Coach Zubeir Katwila admitting his side failed to make most of their…