Follow the East African economy: markets and currencies, trade and investment, banking and finance, agriculture, mining and the companies and policies that move them.
Mobile trading is no longer a niche activity for tech-savvy investors in Nigeria. It is fast becoming a cultural shift, one that blends convenience with ambition while giving a new generation of Nigerians a practical entry point into global finance. The result is a trading environment shaped by mobility and a desire for financial autonomy. […]
Africa’s migrant workers continue to face widespread exploitation, abuse and insecurity despite the existence of regional and global protection frameworks, the African Regional Organisation of the International Trade Union Confederation, ITUC-Africa, has warned.
Ondo State Governor, Lucky Aiyedatiwa, has said the proposed Ondo Deep Sea Port will serve as a major hub for international trade, benefiting not only Ondo State but Nigeria and neighbouring West African countries.
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Bureau of Standards (TBS) has urged stakeholders from various economic sectors, as well as the general public, to actively participate in the development of national standards by submitting their views throughout the entire process. The move aims to ensure public safety and safeguard national interests as a whole. The call … The post TBS invites public views as it develops the national standards first appeared on Daily News.
SERIKALI imesema mauzo ya bidhaa za Tanzania katika Soko la Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) yameongezeka kwa asilimia 40. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema hadi mwaka 2024 mauzo ya bidhaa za Tanzania katika soko hilo yalifikia Dola za Marekani bilioni 3.9. The post Tanzania yang’ara masoko nje first appeared on HabariLeo.
By Elizabeth Adegbesan Nigeria’s trade with other countries in the Economic Community of West African States, ECOWAS, by 43 percent, rose year-on-year (YoY) to N6.9 trillion in the first nine months of the year (9m’25) from N4.82 trillion in the corresponding period of 2024. Analysis of data in the Foreign Trade in Goods Statistics Report recently released […]
KIGOMA: Lake Tanganyika, the world’s longest freshwater lake and one of Africa’s most strategic waterways, is entering a new era of transformation. Long associated with the historic MV Liemba and a handful of aging cargo vessels, the lake is today witnessing an ambitious modernisation drive that is reshaping Tanzania’s position in the regional logistics landscape. … The post TPA revamps Lake Tanganyika to power regional trade first appeared on Daily News.
By Elizabeth Adegbesan Nigeria’s trade balance rose by 43.8 percent year-on-year (YoY) to N19.32 billion in the first nine months of the year (9M’25) from $13.43 billion in 9m’25. Financial Vanguard analysis of data from the National Bureau of Statistics, NBS, report titled, ‘Foreign Trade in Goods Statistics’ showed that the value of exports outweighed imports during […]
The Code of Conduct Bureau (CCB)has given the reasons behind the law forbidden public servants fromcombining government work with private business and operating foreign accounts. The CCB Chairman, Dr Abubakar Bello, who gave the explanation in an interview with t Newsmen on Sunday in Abuja said public service is a sacred trust that must not […]
The complex will host a full suite of modern trade-supporting facilities, including a trade information center, a world-class library and knowledge hub, an innovation and SME incubation hub
-Bello said the increase was to overhaul the nation’s outdated asset declaration system, strengthen verification and enforcement to make the bureau more virile.
Msimu wa likizo ya Desemba unajulikana kwa sherehe, mapumziko, familia na upendo. Ni kipindi ambacho ratiba zinapungua, wengi wanapata nafasi ya kupumzika, na moyo wa shukrani unatawala. Ndio maana wataalamu wa mahusiano wanasema huu ndio wakati bora zaidi wa kuchangamkia mapenzi katika ndoa. Katika warsha moja ya wanandoa iliyofanyika hivi majuzi, mada kuu zilikuwa tatu: kusherehekea mapenzi, kuyadumisha mapenzi na kuchangamkia mapenzi. Mambo yaliyowasilishwa ni mwongozo muhimu kwa wanandoa wanaotaka kutumia likizo ya Desemba kurejesha cheche na uthabiti wa ndoa zao. Kwa mujibu wa wataalamu, jambo la kwanza ni kuangalia safari yenu kama wanandoa. Desemba ni wakati mzuri wa kukumbuka mlipotoka, changamoto mlizopitia na ushindi mliovuna. Ni kipindi cha kumpongeza mwenzi wako kwa hatua zake, iwe ni kazi, biashara, imani, au mchango wake katika familia. “Kuwa pamoja msimu huu kunawapa wanandoa kutambua mafanikio ya kila mmoja na kuimarisha mshikamano wa kiroho na kihisia,” anasema Joseph Mwangi, mtaalamu wa mahusiano ya ndoa. Mara nyingi wanandoa husahau kuwa mume au mke si mshindani, bali ni mshirika. Kusherehekea mafanikio yake ni kusherehekea yenu wote. Ndio maana wanandoa katika warsha walihimizwa kushukuru wachumba wao na kuwataja kwa maneno mazuri; vitu ambavyo mara nyingi huzidi zawadi yoyote ya kifahari. “Kipindi hiki cha likizo kinawapa wanandoa fursa ya kujikumbusha furaha yao. Kwa wanandoa waliohudhuria warsha hiyo, wakati wa kucheza uligeuka kuwa njia ya kukumbuka kwamba mapenzi pia yanahitaji ucheshi na msisimko,” asema Mwangi. Mapumziko ya Desemba pia hutoa nafasi ya kujadili mambo ambayo hayapatiwi muda wakati wa mwaka. Wataalamu wanasisitiza kwamba kimya cha kuadhibu, ni mojawapo ya sumu zinazoua ndoa polepole. Ni muhimu kuzungumza na kukabiliana na migogoro bila kurushiana lawama msimu huu. “Wanandoa wanapojenga mawasiliano ya heshima na kuzingatia maoni ya kila mmoja, migogoro hupungua na uhusiano hukua kwa amani,” anashauri mtaalamu wa Mahusiano Alice Njeri. Wanandoa wanahimizwa kuweka mipaka dhidi ya watu wa nje msimu huu wa mapumziko ya Desemba, iwe ni marafiki, ndugu au mitandao ambayo inaweza kuingilia ndoa. Desemba inapaswa kuwa wakati wa kujilinda kama wachumba. Katika msimu huu pia, wanandoa wanaweza kutambua “mbweha wadogo” wanaovuruga ndoa: tabia ndogo ndogo kama kutojali, dharau, kupuuza hisia za mwenzako au kutoonyesha upendo na kuzirekebisha. Msimu huu unafaa kuwa wa kuziondoa na kuanza mwaka mpya kwa amani na ushirikiano. Desemba ni wakati bora wa kuongeza ladha ya kimahaba katika ndoa. Wataalamu wanashauri wanandoa kutaniana, kupeana muda bora na kujenga ukaribu wa kimwili na kihisia. “Ukubwa wa furaha ya ndoa unapimwa si kwa zawadi tu, bali kwa muda na mapenzi ya kila siku,” anasema Peter Ochieng, mtaalamu wa tabia za wanandoa. Anasema huu ni wakati wa kuzungumzia changamoto katika tendo la ndoa. Wanandoa wanaweza kutumia msimu huu kujadili jinsi ya kuboresha shughuli zao faraghani, namna ya kukataa kwa heshima pale mmoja hayuko tayari, na umuhimu wa kupanga muda maalum wa kimapenzi Mapumziko ya Desemba, asema Ochieng, yanaweza kufanya ndoa kuwa ya furaha. Kwa kusherehekea mapenzi, kudumisha mawasiliano na heshima, wanandoa wanaweza kugeuza likizo hii kuwa mwanzo mpya.
With so many crypto platforms competing for your attention, finding the right one for your unique style and goals is no simple task. This review simplifies the search by providing a focused analysis of the trending Redmont Luxentis trading system. Engineered from the outset to empower both newcomers and experienced traders, Redmont Luxentis offers a […]
DAR ES SALAAM: THE Bank of Tanzania (BoT) has injected 15m US dollars into the Interbank Foreign Exchange Market (IFEM) in a move aimed at easing liquidity pressures and supporting stability in the foreign exchange market. In a public notice, the central bank said the intervention was conducted in accordance with its Foreign Exchange Intervention … The post BoT auctions 15m US dollars to stabilise the forex market first appeared on Daily News.
VIOLA Maina alihudumu katika kampuni ya NMG kuanzia 2003 hadi 2017, kisha akajiuzulu ili kujitosa katika shughuli ya kuongeza thamani matunda ya zabibubata (gooseberries), ambapo aliasisi kampuni inayojulikana kama Gooseberry Delight Limited, linaloendesha shughuli zake katika eneo la Ilula, Kaunti ya Uasin Gishu. Alianza kwa kuyanunua matunda hayo kwa Sh30 na kuuza kwa Sh40 kutoka kwa mkulima mmoja. Baadaye, wakulima wakaanza kuyazalisha matunda hayo kwa wingi, jambo lililomshurutisha kuwaza na kuwazua kuhusu uongezaji thamani, ili kuzuia kuharibika kwa matunda. Alikuwa akitangaza biashara yake kupitia kwa mitandao ya jamii, na wakati mmoja akapata oda ya mikebe 500 ya matunda hayo kutoka kwa dukakuu moja jijini Nairobi na biashara ikaanza kuvuma. Hata hivyo, ugonjwa wa Covid-19 ulipoenea nchini, biashara yake ikaathirika, japo ilianza kuimarika Septemba 2020. “Nilipigiwa simu na mtu aliyekuwa akitaka kuuza ughaibuni. Sikuwa na kiasi alichokuwa akitaka, lakini wiki moja kabla ya wakati huo, nilikuwa nimepigiwa simu na mkulima mmoja wa kike kutoka Kitale, aliyekuwa na ekari 20. Nilienda Kitale na tukazungumza na hakuwa akijali kuhusu bei; tuliafikiana na nikapakia kwa gari na kuchukua hadi Nairobi,” asimulia, akiongeza kuwa, aliuza kilo moja kwa Sh160 na alipata fedha nyingi mno. [caption id="attachment_182007" align="alignnone" width="2560"] Baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa na Gooseberry Delight Limited. PICHA/PETER CHANGTOEK[/caption] Baadaye, alipata oda ya kilo 400 kutoka kwa mtaalamu mmoja wa lishe katika kampuni moja ya kutengeneza chakula jijini Nairobi. Hata hivyo, alipopigiwa simu tena, hakuwa na matunda hayo. Baadaye, wakulima wakaanza kuzalisha kwa wingi, naye akaamua kupata mafunzo ya wiki moja kwa ada ya Sh10,000 katika taasisi ya Kirdi, ambapo alifunzwa jinsi ya kutengeneza jamu na juisi. Kwa sasa, ana wafanyikazi 15; vibarua wanne na kumi na mmoja wa kudumu. Anaongeza kwamba, amekuwa akishirikiana mno na asasi mbalimbali, kama vile Kalro, Kirdi na Kaunti ya Uasin Gishu. Anafichua kwamba, kwa wakati huu, hununua zabibubata kwa Sh50 kwa kilo, na kuyatumia matunda hayo kutengeneza sharubati, jamu na bidhaa nyingine. Anasema kwamba ana wakulima wengi ambao wanaomwuzia zabibubata. Kwa mujibu wa Viola ni kwamba, wakulima wanaotegemea mvua kuikuza mizabibubata, wanaweza kuchuma kilo 100 kila wiki, ilhali wale wanaonyunyizia maji wanaweza kuchuma hadi kilo 250 kwa wiki. Baada ya kuyanunua matunda hayo, wao huchambua na kukausha kabla hayajachakatwa. Changamoto moja wanayopitia ni kupata vifaa vya kukaushia matunda. “Hiyo ndiyo changamoto; tunahitaji kikausho,” asema. Wao huuza bidhaa zao za aina mbalimbali kwa bei kuanzia Sh130-Sh270. Anaongeza kwamba, tayari wamepeleka sampuli ya sharubati kwa shirika la Kebs, na wanasubiri idhini. [caption id="attachment_182006" align="alignnone" width="2560"] Baadhi ya wafanyakazi wa Gooseberry Delight Limited, wakionyesha baadhi ya bidhaa zao. PICHA/PETER CHANGTOEK[/caption] Hata hivyo, bidhaa zao nyingine zimeidhinishwa na Kebs. Kampuni ya Gooseberry Delight Limited hununua aina mbili za matunda ya zabibubata; Colombian na Brazilian. “Tunashirikiana na Kalro. Walinipa mbegu na nikawaomba wanipe idhini ili nipande mbegu na niuze miche,” adokeza. Viola anafichua kwamba, huuza miche ya mmea huo kwa Sh8 kila mmoja. Anaongeza kwamba, katika shamba ekari moja, miche inayofaa kupandwa ni 2,500. Siku chache zilizopita, walipata fursa ya kutangaza bidhaa zao katika maonesho ya kililimo na biashara (ATF) katika Chuo Kikuu cha Eldoret. Aidha, wamepata fursa ya kuonesha bidhaa zao mjini Mwanza, Tanzania na nchini Uganda. Anasema kuwa, ametumia takribani Sh3 milioni, na kuna wakurugenzi wengine wawili waliojiunga na kampuni hiyo mapema mwaka huu, ambao pia wamewekeza takribani Sh2 milioni kila mmoja. Wao huziuza bidhaa zao katika madukakuu kadhaa nchini. Anaongeza kuwa, pesa nyingi kati ya hizo, zimetumika kufanya utafiti na kununua vifaa.
The National Bureau of Statistics (NBS) says prices of beans, garri, tomatoes, beef, rice, and other food items witnessed a slight decrease in price in October 2025.
LILIAN Kemunto, almaarufu Kiki au Kiki The Lioness, amekuwa akifanya biashara ya kuagiza na kuuza malazi kutoka ughaibuni kwa muda wa miaka 12, na hana nia ya kuiacha biashara hiyo asilani. Mjasiriamali huyo amekuwa akiziagiza bidhaa hizo kutoka nchini Canada, na kuwauzia wateja wake walioko Afrika Mashariki. Kampuni yake inajulikana kama Kiki’s Mall, na iko jijini Mombasa. Kemunto anasema kwamba, alianza kwa kuutumia mtaji ambao haukuwa mwingi mno, na kuwekeza faida alizokuwa akipata kwenye biashara hiyo, nayo ikanoga na kunawiri. Wakati anapoziagiza bidhaa hizo, Kemunto hushurutika kusafiri hadi mahali ambako bidhaa hizo hutengenezwa, ili kuhakikisha kuwa anazinunua bidhaa zenye ubora wa kiwango cha juu. Alijitosa katika biashara hiyo baada ya kuliona pengo katika uagizaji wa biadhaa kama hizo, na akaamua kulijaza pengo hilo. Anasisitiza kuwa, brandi yake inazingatia starehe kwa wateja, umaridadi wa bidhaa hizo, na bei ambazo wateja wanamudu. “Naamini kuwa kila mtu huhitaji usingizi mwanana. Kwa kuwa malazi hutumika kila siku nyumbani, hotelini, hospitalini, na shuleni, niliona fursa ya kipekee kutoa bidhaa bora ili kuboresha starehe kwa watu. Kenya ilikuwa na bidhaa chache za malazi yenye ubora, ya kudumu, na yaliyotengenezwa kwa ubora – kwa hivyo, nikaamua kujaza pengo,” asema mfanyabiashara huyo. Hapo awali, alikuwa akiagiza bidhaa ambazo ni mitumba. Hata hivyo, aliamua kuziagiza bidhaa mpya zilizotengenezwa kwa ubora wa juu, ili kuwavutia wateja wengi zaidi. “Kwa wakati huu, tunaziagiza na kuziuza bidhaa zinazotengenezwa katika viwanda, zinazoleta mvuto kwenye makazi. Bidhaa zetu zote zimetengenezwa kuambatana na mapambo ya ndani ya makazi,” aongeza. Shughuli ya kuziagiza bidhaa hizo huchukua muda wa takribani miezi mitatu hadi mitano, hadi wakati zinapowasilishwa nchini. Wakati wa uagizaji, Kemunto husafiri hadi kwa viwanda kwa nchi inayotengeneza bidhaa hizo. [caption id="attachment_182002" align="alignnone" width="2560"] Lilian Kemunto aonyesha baadhi ya bidhaa anazoziagiza kutoka ughaibuni, na kuziuza jijini Mombasa. PICHA|PETER CHANGTOEK[/caption] “Hatuagizi kupitia kwa mitandao,” asema, akiongeza kuwa, mchakato mzima unahitaji mtu awe katika eneo ambako bidhaa hutengenezwa ili kupata bidhaa bora. Husafiri kwa mara ya pili wakati bidhaa hizo zinapotengenezwa, ili kuhakikisha ni bora, na kuhakikisha kuwa stakabadhi za kusafirisha bidhaa ziko sawa. Kufanya hivyo kunasaidia bidhaa kufika kwa wakati, na kuepeka hatari ya kuharibika au kupotea kwa bidhaa. Hakuna jambo lisilo na changamoto. Mfanyabiashara huyo anasema kuwa, kuna changamot kadhaa katika biashara hiyo. Mojawapo ya changamoto hizo ni kodi za juu za uagizaji wa bidhaa kutoka nje. Aidha, kupanda na kushuka kwa thamani ya Dola ya Marekani ikilinganishwa na Shilingi ya Kenya, ni changamoto nyingine. Pia, hulipia ada za juu kusafirisha bidhaa kutoka nje. Isitoshe, wakati mwingine bidhaa huchelewa kuwasili. Hata hivyo, changamoto hizo humtia nguvu zaidi. “Wateja wetu ni wauzaji wa rejareja, hoteli, na wamiliki wa nyumba. Tunawafikia kupitia kwa mitandao ya kijamii kama vile Facebook (Kiki’s Mall), Instagram, WhatsApp Business, TikTok. Hupakia picha na video kila siku, pamoja na ushuhuda wa wateja,” asema. Mjasiriamali huyo anasema kuwa, huuza robota la mashiti yaliyo na umaridadi kwa Sh30,000 (jozi 20) each, robota lenye bidhaa zilizochanganywa Sh30,000 (jozi 20) kila moja, robota la mfarishi (duvet) huuzwa kwa Sh26,000 (seti 10) kila moja. “Tunauza duvet cover robota moja kwa Sh49,000 (seti 20), kila jozi (pair) lina mashiti mawili na foronya nne (pillowcases 4),” aongeza. Mbali na malazi, mjasiriamali huyo pia huagiza bidhaa kutoka China. Aidha, huagiza bidhaa za urembo kutoka Marekani, samani za kiwango cha juu, pamoja na viatu. Ana wafanyakazi wanne kwenye idara ya mashiti, na wengine 20 wanaomsaidia wakati bidhaa zinapowasilishwa. Kemunto, anayepania kupanua biashara hiyo, kwa kuanzisha madukakuu kote nchini, anawashauri wale wanaonuia kujitosa katika biashara kuanza na mtaji wowote.
Freshwater fish, sharks, rays, endemic plants and iconic mammals are among the country’s fastest-declining species, as invasive species, reduced freshwater flows and pollution intensify
MKURANGA: THE Tanzanian government has pledged to continue attracting investors to the country by improving the investment climate, including strengthening infrastructure and addressing emerging challenges. This effort aims to create more jobs, increase the national income, and advance the growth of a competitive industrial economy. The commitment was made by the Minister for Industry and … The post Trade Minister sees success in ‘Made in Tanzania’ ceramic products first appeared on Daily News.
UONGEZAJI thamani maziwa ni shughuli ambayo inaweza kumletea mkulima mapato zaidi. Hii ni kwa sababu bidhaa zilizoongezewa thamani huuzwa kwa bei za juu, ikilinganishwa na kuyauza maziwa ya kawaida. Mmojawapo wa wale wanaochuma kutokana na uongezaji thamani kwa maziwa ni Margaret Njoki, ambaye alijitosa katika shughuli ya hiyo miaka saba iliyopita, wakati huo, akihudumu katika kampuni moja mjini Naivasha. Hata hivyo, alikuwa akiyauza maziwa tu mnamo mwaka 2015. Baada ya kugundua kuwa wateja wengi walikuwa wakihitaji maziwa gururu (yoghurt), akaamua kuzitengeneza pamoja na bidhaa nyinginezo za maziwa; mathalani jibini, siagi na kadhalika. Kwa sasa, Njoki huongeza thamani maziwa na kupakia katika plastiki na kusambaza kwa wateja wake. Aidha, huuza kwa dukakuu moja. “Kandarasi yangu kazini ilipoisha 2016, nilikuwa na uhakika kuwa sitaki kuajiriwa tena. Nikahama ili kuendeleza uzalishaji katika eneo la Kabati. Mnamo 2017, nikapoteza gururu kutokana na uharibifu,” asema Njoki. [caption id="attachment_181981" align="alignnone" width="1920"] Margaret Njoki aonyesha bidhaa zake katika eneo la Ngara, Nairobi. PICHA|PETER CHANGTOEK[/caption] Kuharibika kwa bidhaa zake kulimshurutisha kufunga shughuli ya utengenezaji, baada ya kupoteza bidhaa zilizokuwa na thamani ya Sh400,000. Kilichoonekana kama kutia chumvi kwenye kidonda, wafanyakazi wake wakamwibia bidhaa zilizokuwa zimebaki. Kabla ya hasara hiyo, alikuwa akizitengeneza bidhaa kutoka kwa maziwa lita 700 kila siku na alikuwa akiziuza kwa muda wa siku mbili. Hata hivyo, alifungua upya tena 2018. Mambo yakaenda segemnege tena mwaka 2021, baada ya bidhaa zake kuharibika na kupata hasara ya takribani Sh600,000 na kulazimika kufunga biashara tena. Licha ya changamoto, mwaka uliopita akaanza kuzitengeneza bidhaa kutoka kwa maziwa tena. Njoki anafichua kuwa, amekuwa akiyanunua maziwa kutoka kwa mkulima mmoja tangu 2016. Huchakata maziwa lita 200 kila siku, anayoyanunua kwa Sh55 kwa lita. “Nina wafanyakazi saba; watatu hapa na wanne kule Kabati,” asema Njoki, ambaye hutengeneza bidhaa nyingine katika eneo la Kabati, Kaunti ya Murang’a, na kadhaa katika eneo la Ngara, aliko na duka analouzia bidhaa zake. Hutumia brandi ya Tahraji kwa bidhaa zake, na kampuni yake hujulikana kama Crystal Creamery Limited. Hutengeneza bidhaa kuanzia 150ml hadi lita 5. “Bidhaa yetu kuu ni gururu; tuna Tarahji Cultured Yoghurt. Tuna gururu ilyotiwa ladha ya matunda, aiskrimu, jibini/chizi, siagi na salmi,” afichua, akiongeza kwamba, hutumia stroberi, vanila, karakara, mananasi pamoja na matunda mengine kutengeneza bidhaa zake. Njoki hununua stroberi kilo moja kwa Sh300 kutoka kwa mkulima mmoja kutoka Nyahururu. Pia, hununua kilo tano za matunda aina ya ‘blueberry’ kwa Sh1,500, karakara kwa Sh80 kwa kilo na mananasi kwa Sh50-Sh180 kila moja. [caption id="attachment_181980" align="alignnone" width="1920"] Margaret Njoki aonyesha bidhaa zake katika eneo la Ngara, Nairobi. PICHA|PETER CHANGTOEK[/caption] “Hupakia gururu kwa 150ml, 250ml, 500ml, lita 1, lita 2, lita 3 na lita 5. Pia, huwa tunauza kwa wingi, kuanzia lita 10 hadi lita 20, kwa wale wanaotaka za kuuza. Huuza gururu 12 za 150ml kwa Sh400, 12 za 250ml kwa Sh600, 6 za 500ml kwa Sh600,” afichua Njoki, anayejulikana kwa jina Mama Milky katika eneo la Ngara. Yeye pia huwapa mafunzo watu wanaonuia kuanzisha biashara ya kutengeneza bidhaa kutoka kwa maziwa. “Mimi hutoza Sh5,000 kwa kila bidhaa. Pia, huwa na mafunzo mtandaoni ambapo hutoza Sh3,500. Huchukua muda wa saa 2 hadi 3,” aongeza. Anasema kwamba, mipango yake ya siku za usoni ni kulijenga jina lake katika shughuli ya kuongezea thamani maziwa. Huuza bidhaa zake katika sehemu mbalimbali na huuza kwa dukakuu la Topmart na ameanza kuziuza kwa Jumia.
DAR ES SALAAM: INDUSTRIAL production weakened in the second quarter of this year as a slump in mining offset gains in manufacturing and utilities, according to the National Bureau of Statistics (NBS). The Index of Industrial Production (IIP) fell 1 per cent to 106.4 in the three months through June, down from 107.5 in the … The post Mining slump drags down industrial output first appeared on Daily News.
DAR ES SALAAM: CEMENT production has increased nearly fivefold over the past 17 years, rising from 1.63 million tonnes in 2007 to 7.70 million tonnes in 2024, according to government data, reflecting sustained construction boom and large-scale infrastructure push. The figures, published in the National Bureau of Statistics’ Statistical Abstract 2024, show output expanded at … The post Construction boom pushes cement output to record levels first appeared on Daily News.
The Nigerian Naira displayed a mixed performance against the US Dollar on Friday, December 12, 2025. While the official window of the Nigerian Foreign Exchange Market (NFEM) maintained a familiar trading band, the parallel market witnessed a marginal appreciation for the Naira, reducing the market's premium slightly.
The ongoing drop oil-prices is being cushioned by the Central Bank of Nigeria CBN’s) flexible foreign exchange (FX) regime, rising non-oil exports, and growing services trade.
The Federal Government on Thursday inaugurated Africa’s first gas trading market, taking a major step toward harnessing Nigeria’s 209 trillion cubic feet of gas reserves.
DAR ES SALAAM: Deputy Minister for Industry and Trade, Patrobas Katambi, has called on the Fair Competition Commission (FCC) and the Fair Competition Tribunal (FCT) to strengthen the use of Artificial Intelligence (AI) in monitoring markets and detecting practices that undermine fair competition. Speaking during the National Competition Day celebrations, Mr Katambi said the adoption … The post Tanzania calls for the use of AI in the monitoring market, fair competition first appeared on Daily News.
Okonjo-Iweala, positioned at No. 92, currently heads the World Trade Organization, becoming both the first woman and the first African to lead the institution since taking office in March 2021.
By Babajide Komolafe The Central Bank of Nigeria (CBN) has introduced a limit of 25 per cent on the amount of cash beneficiaries can receive when accessing their Personal Travel Allowance (PTA) and Business Travel Allowance (BTA) from Bureau De Change (BDCs). The CBN disclosed this in a document titled, Frequently Asked Questions on Current Reforms of […]
THE Federal Executive Council, FEC, on Wednesday approved five major memoranda from the Ministry of Industry, Trade and Investment, including Nigeria’s Industrial Policy 2025, the procurement of electric buses, and key infrastructure projects in Lagos.
MIMEA ya viungo huhitajika mno katika maeneo mengi kote ulimwenguni, kwa ajili ya matumizi tofauti tofauti. Viungo hutumika kuongeza ladha katika chakula, na pia hutumika katika utengenezaji wa bidhaa mbalimbali. Baadhi ya wakulima nchini huikuza mimea ya viungo ili kuuza katika nchi za nje. Judy Musisia, 30, ni mmojawapo wa wakulima wanaoikuza mimea ya viungo na kuuza ughaibuni. Alijitosa katika ukuzaji wa mmea wa thyme na viungo vingine miaka minne iliyopita katika eneo la Kantafu, Kaunti ya Machakos. Mkulima huyo alifanya utafiti kwa kuzuru mashamba kadhaa yanayoendeleza ukuzaji wa mmea huo, katika eneo la Athi River, Nyahururu na Murang’a, ambapo alifahamu mengi kuhusu zaatari. “Kukaa bila kazi ni jambo ambalo liliniathiri akili sana. Ni wakati ambapo nililazimika kufikiria kuhusu jinsi ya kupata pesa. Nilihitaji shughuli ambayo ingenipa fedha, kwa sababu kazi zetu zilisimama ghafla,” asema Musisia, ambaye alisomea shahada ya Ujenzi katika Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta (JKUAT), na kuhitimu mwaka 2017. “Wazazi wangu wana shamba ekari kumi. Nilizungumza nao na wakiniruhusu nitumie sehemu ya shamba kuikuza mimea ya viungo,” asema Musisia, anayetumia shamba zaidi ya ekari moja. Anasema kuwa, ili kufanikisha ukuzaji wa mimea ya viungo kama vile zaatari, jambo ambalo mkulima anafaa kuwa nalo akilini ni kuhusu maji. Kwake, maji hayakuwa tatizo, maadamu walikuwa nayo shambani. [caption id="attachment_181907" align="alignnone" width="2560"] Judy Musisia, mkulima wa mimea ya viungo akionyesha mimea yake katika Kaunti ya Machakos. PICHA|PETER CHANGTOEK[/caption] “Niliamua kutumia mbinu ya unyunyiziaji maji ya drip irrigation kwa sababu ni rahisi na maji mengi hayatumiki vibaya,” adokeza, akiongeza kuwa shughuli hiyo, pamoja na kununua tangi, kulimgharimu Sh250,000. Musisia, anayetumia mbolea za kuku na ng’ombe kuikuza mimea, anasema kuwa nguvukazi ilimgharimu Sh100,000. “Nilitaka kukuza aina mbili za viungo; rosemary na zaatari. Mbegu za rosemary zikanigharimu Sh50,000 na zaatari gramu 500 zikanigharimu Sh17,600,” afichua. “Mimi hufungulia maji kwa mimea mara mbili kwa wiki kwa muda wa dakika 30. Mimea inapoendelea kukua, hunyunyizia mbolea ya foliar au mkojo wa sungura. Huchanganya lita moja ya mkojo wa sungura na lita 20 za maji,” aeleza, akiongeza kuwa, mkojo wa sungura una kiwango kikubwa cha naitrojeni. “Mmea huo huchukua muda wa miezi mitatu ili ianze kuchumwa, na huchukua muda wa miaka mitano,” aongeza mkulima huyo. Hata hivyo, anasema kuwa kuna changamoto kadhaa katika kilimo hicho. Miongoni mwa changamoto ambazo amepitia ni soko. Mmea huo aghalabu huuzwa ughaibuni, na ubora wa hali ya juu unahitajika. “Mimi humtegemea mwuzaji anayeuza ughaibuni ili kuuza mazao yangu, na kufanya hivyo si jambo la kutegemewa,” asema, akiongeza kuwa, usafirishaji pia, hususan wakati wa mvua kubwa, huwa changamoto. Anasema bei huathirika kuambatana na masoko ya ulimwengu. Kwa wakati huu, huuza gramu 100 kwa Sh35. “Kwa sasa, ninatafuta soko nchini kwa wauzaji viungo, hoteli na wakulima wengine ambao wanataka kununua,” aongeza. Anawashauri wale ambao wananuia kujitosa katika ukuzaji wa mimea ya viungo kutafuta soko la mazao kwanza, kabla hawajaanza kuchuma. “Hilo litasaidia kunyoosha mchakato wako kwa kuzuia kuharibika kwa viungo na kufa moyo kwa kutokuwa na wateja,” asema. Anafichua kuwa, ana mipango ya kuongeza kiasi cha shamba analotumia kwa ukuzaji. “Nilianza kwa shamba ekari moja na nimejifunza kutoka kwa makosa yangu. Ningependa kuongeza, hasa kwa kuzingatia mafunzo niliyojifunza,” asema Musisia, akiongeza kwamba, anapania kuvijenga vivungulio atakavyovitumia kwa ukuzaji. Aidha, anasema kuwa ananuia kulitafuta soko la mazao yake ughaibuni, na kupata kibali cha kuuza bidhaa zake kule. Isitoshe, anadokeza kwamba ananuia kuwahamasisha wakulima wengine wakuze viungo vinavyokua vizuriP katika mazingira yao. Isitoshe, anasema kuwa, ananuia kuvitumia viungo anavyovikuza kutengeneza bidhaa kama vile sabuni, mafuta, n.k.
BAADA ya kupoteza kazi wakati wa vurugu vya baada ya uchaguzi 2007/2008, Cosmas Mole aliwaza na kuwazua kuhusu jinsi ya kujiruzuku, na akaamua kujitosa katika shughuli ya kuongeza thamani kwa nazi. Mole alianzisha shughuli hiyo baada ya kupata mafunzo kutoka kwa asasi mbalimbali za mafunzo. Aliutumia mtaji wa Sh4,500 alizokopa kutoka kwa chama ambacho mkewe alikuwa mwanachama. Yeye huendesha kampuni yake inayojulikana kama Cocoa Poa Ventures, inayotengeneza bidhaa za nazi katika eneo la Makomboani, Kaloleni, Kaunti ya Kilifi. “Wazo la kuanzisha shughuli hii lilinijia akilini baada ya kufutwa kazi baada ya vita vya 2007/2008, ambapo nilikuwa nikihudumu katika hoteli,” aeleza. Kampuni hiyo huajiri watu zaidi ya 35 wa kike na vijana 17 kuanzia shambani hadi wakati ambapo bidhaa zinauzwa sokoni. “Safari yangu katika kampuni ya Coco Poa Ventures ilianza mwaka 2013, chini ya mti. Nimekuwa na ushirikiano mwema na asasi ya Nuts and Oil Crops Directorate (NOCD),” asema Mole, akiongeza kwamba asasi ya NOCD ilimsaidia kupata mafunzo ya ziada katika asasi nyinginezo za mafunzo. [caption id="attachment_181900" align="alignnone" width="2560"] Mfanyakazi akuna nazi katika eneo la Kaloleni, Kilifi. PICHA|PETER CHANGTOEK[/caption] Anafichua kuwa, alianza kwa kutengeneza bidhaa zilizoidhinishwa na Shirika la Kukagua Ubora wa Bidhaa, Kenya (KEBS), Aprili 2013, kupitia usaidizi wa Kenya Coconut Development Authority (KCDA). Bidhaa hizo zilikuwa zikijulikana kwa jina Uzima, kwa wakati huo. “Mnamo Agosti na Septemba 2013, KCDA walinialika kwa mara ya kwanza kuonesha bidhaa zangu katika maonyesho ya kilimo ya Mombasa na Nairobi. Katika maonyesho hayo, bidhaa zangu zilipata fursa ya kujulikana kwa wateja wa hapa nchini na nje ya nchi,” asimulia, akiongeza kuwa, bidhaa zake zilianza kuhitajika mno, kiasi kwamba alishindwa kuwatosheleza wateja wake sokoni. “Biashara hiyo ilianza kujisimamia hadi 2015, ambapo KCDA iliniunganisha na wawekezaji nchini ili wanisaidie kuikuza biashara hiyo. Tulianzisha ushirikiano wa biashara, lakini ushirikiano huo haukudumu kwa muda mrefu,” asema. [caption id="attachment_181902" align="alignnone" width="2560"] Nazi iliyokunwa katika eneo la Kaloleni, Kilifi. PICHA|PETER CHANGTOEK[/caption] Mjasiriamali huyo anadokeza kwamba, wanalenga kuibuka bora katika shughuli ya utengenezaji wa mafuta ya nazi, kwa kuelewa matakwa ya wateja na kutengeneza bidhaa zenye thamani. Anaongeza kuwa, azma yao ni kuhakikisha kwamba wanajitolea kuboresha maisha ya jamii zinazojishughulisha na ukuzaji wa minazi, kwa kupunguza gharama ya uzalishaji, kupunguza hasara inayotokea baada ya kuvunwa kwa mavuno kwa kutoa soko la nazi, na hivyo kutoa ajira kwa vijana. Mjasiriamali huyo anasema kuwa, uongezaji thamani kwa nazi una faida ikilinganishwa na uuzaji wa mazao ya nazi ambayo hayajachakatwa. Anaongeza kwamba, amewahamasisha wakulima zaidi ya 500 ili wawe wakimwuzia mazao yao ya nazi, ambayo huchakata ili kupata mafuta.
Zyverium is a recently launched crypto trading system developed to level up the entire trading process. The creators state that this platform monitors the market 24/7 to provide precise trade signals and insights, and thereby help make the right decisions. This Zyverium review has been penned to offer reliable information about this crypto trading system […]
Morogoro: Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kushoto), pamoja na Meneja Mauzo na mkakati wa biashara Kanda ya Kati, Latifa Salum (kulia), wakimkabidhi kapu la sikukuu mteja Beatrice Msawanya (katikati) ikiwa ni mwendelezo wa zoezi la kugawa makapu kwa wateja kama sehemu ya shamrashamra na mwendelezo wa kampeni ya Vodacom ya … The post Beatrice alivyoianza sikukuu mapema Morogoro first appeared on HabariLeo.
DODOMA: PRIME Minister Dr. Mwigulu Nchemba has directed leaders of all cities and councils across the country to ensure that traders are not deprived of their goods, but instead are guided on how to follow the procedures set by relevant authorities. Speaking at the Machinga market in Dodoma, Dr. Mwigulu emphasized that confiscating traders’ goods … The post Don’t block traders’ capital, PM warns market authorities first appeared on Daily News.
Forex trading has surged into the spotlight in Nigeria, becoming one of the most talked-about ways to earn and experiment with global financial markets. What was once a niche activity reserved for bankers or finance enthusiasts has become a mainstream interest. Young Nigerians are driving this change as they explore new income streams while navigating […]
ALIPOPATA wazo la kuianzisha kampuni yake, Robert Lang’at hakuwa na fedha za kutosha, na ilibidi achangiwe na marafiki. Isitoshe, hakuwa hata na afisi ya kufanyia shughuli zake, na ikabidi apewe sehemu ndogo na rafiki yake mmoja, karibu na barabara ya Ngong. Alianzisha kampuni inayojulikana kama Mobitech Technologies Limited, inayotoa huduma za arafa kwa wingi (bulk SMS), kwa wateja kwa bei nafuu. Lang’at aliistawisha kampuni hiyo, hadi wakati huu ambapo ana wafanyakazi watano katika eneo la Westlands, anakoendesha shughuli zake, na huwahudumia zaidi ya wateja 1,000. “Niliianzisha kwa akiba niliyokuwa nayo, pamoja na mchango kutoka kwa marafiki. Nilianza kwa kufanya kazi nikiwa nyumbani, huku nikiwapata wateja kadhaa. Baadaye, nikapata leseni zinazohitajika na kuhamia afisi zetu,” aeleza Lang’at, akiongeza kuwa, walihamia afisi zao za Westlands 2013. [caption id="attachment_181821" align="alignnone" width="2560"] Baadhi ya tuzo ambazo kampuni ya Robert Lang’at imejishindia. PICHA|PETER CHANGTOEK[/caption] Baadaye akaanza kuwapata wateja waliokuwa wakitumwa kwake na wale waliowahi kuzitumia huduma zake na kuridhishwa nazo. “Tulianzisha Mobitech Technologies 2012, hapo ndipo kampuni iliposajiliwa na kuanza kufanya kazi. Tumesajiliwa na CAK. Tunatoa huduma za arafa kupitia kampuni tofauti za mawasiliano kama vile Safaricom na Airtel,” aongeza mjasiriamali huyo. Lang’at, ambaye ni mhandisi wa mawasiliano, alikuwa ameajiriwa hapo awali kubuni apu za simu. Alipokuwa akihudumu, akaona mwanya katika utoaji wa huduma za arafa, na mwanya huo ukamletea biashara, na akaamuua kuuziba kwa kuanzisha kampuni yake. Anafichua kuwa, kampuni yake hushirikiana na kampuni za Safaricom, Airtel na Telkom Kenya, kutoa huduma za arafa kwa wingi kwa bei nafuu. “Tulianza kwa kuwapa wateja huduma bora na kuwaonyesha uhusiano mwema. Tunawatengenezea wateja akaunti na wao ndio huzidhibiti kikamilifu; kwa mfano, hufungua akaunti na kuweka anwani zao na kuwatumia arafa (SMS),” asema. Anadokeza kuwa, wengi wa wateja wao ni taasisi mbalimbali kama vile shule na vyuo. Mbali na shule na vyuo, wao pia hutoa huduma zao kwa vyama vya ushirika, makanisa, watoaji huduma za mitandao, makasino, madukakuu na asasi za serikali kama vile ISK. [caption id="attachment_181819" align="alignnone" width="2560"] Robert Lang’at akiwa na baadhi ya wafanyakazi wake katika afisi yao iliyoko eneo la Westlands, Nairobi. PICHA|PETER CHANGTOEK[/caption] Aidha, hutoa huduma zao kwa kampuni za kujenga na kuuza nyumba na mashamba, makundi mbalimbali, hospitali pamoja na kampuni za kamari. Ili kutumia huduma zao, mja anafaa kuwa na simu ya kisasa. Hata hivyo, Lang’at anashauri kuwa, ni bora kutumia kompyuta au kipakatalishi. Anawashauri wale ambao wana nia ya kujitosa katika biashara kama hiyo kujiamini na kuwapa wateja wao huduma bora. “Hutoza ada ya senti 35 kwa arafa moja kwa mitandao yote. Hatutozi ada za kila mwezi au za usajili. Arafa zetu zilizonunuliwa hazina muda wa kuchina. Hutoza Sh6,800 mara moja kwa jina la kutumia na kwa kila kampuni ya mawasiliano,” asema Lang’at. Mjasiriamali huyo anasema kuwa, wanapania kutoa huduma zao nchini Uganda na Tanzania na hata barani Afrika. Pia, wanapania kueneza huduma zao nje ya Nairobi na kuhudumu katika kaunti nyinginezo nchini.
South Africa is committed to ensuring that it is included in any extension of US trade initiative, a trade ministry spokesperson said on Wednesday.
By Emma Ujah, Abuja Bureau Chief The Central Bank of Nigeria (CBN) has launched a major overhaul of the Agricultural Credit Guarantee Scheme Fund (ACGSF), unveiling a new strategic direction aimed at expanding credit access to smallholder farmers and accelerating national food security efforts. Speaking in Abuja at the inauguration of the reconstituted ACGSF Board, CBN Governor, […]
KAMPUNI ya kutoa huduma za intaneti kupitia setilaiti ya Starlink, inayomilikiwa na bilionea Elon Musk, hatimaye imerejesha usajili iliyopoteza nchini Kenya, ingawa bado haijarejesha sehemu ya soko iliyopoteza kutokana na ushindani mkali kutoka kwa kampuni za humu nchini. Katika robo ya mwaka iliyoishia Septemba, Starlink iliongeza wateja wapya 2,045 na kufikisha jumla ya watumiaji 19,470, ikiwa ni zaidi ya wale wa awali 19,146 iliyokuwa nao Desemba 2024, ambapo ilikuwa ikimiliki asilimia 1.1 ya soko la intaneti nchini. Hata hivyo, ingawa huu ni ukuaji wa haraka zaidi kurekodiwa na Starlink Kenya tangu Januari, kurejea huko hakukuongeza sehemu yake ya soko ambayo ilishuka hadi asilimia 0.8 Juni baada ya miezi sita mfululizo ya kupungua kwa wateja. Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA) zinaonyesha kuwa sehemu ya soko ya Starlink imesalia asilimia 0.8 katika robo hadi Septemba, sawa na Vijiji Connect, huku baadhi ya washindani wa ndani wakiongeza uwepo wao sokoni. Safaricom inayoongoza, ilipata wateja wa intaneti ya nyumbani 79,288 katika kipindi hicho, na kuongeza sehemu yake ya soko hadi asilimia 35.6 kutoka 34.3 Juni. Kampuni nyingine kama Jamii Telecoms (Faiba), Ahadi Wireless, Vilcom Network na Mawingu pia ziliongeza wateja kwa kiwango kikubwa, zikizidisha ushindani dhidi ya Starlink, ambayo ilivuruga soko ilipoingia. Kwa jumla, usajili wa intaneti ya nyumbani nchini Kenya uliongezeka kwa 147,150 katika miezi mitatu hadi Septemba, kutoka milioni 2.14 hadi milioni 2.29. Zaidi ya nusu ya wateja hao wapya walienda Safaricom, huku Starlink ikichangia asilimia 1.4 pekee. Starlink awali ilishuhudia ukuaji wa kasi ilipoingia nchini, ikitwaa asilimia 0.5 ya soko kufikia Septemba 2024, kisha ikaongeza sehemu hiyo mara mbili ndani ya miezi mitatu. Hata hivyo, ukuaji huo wa haraka uliathiri uwezo wake, na kuilazimu kusitisha usajili mpya Novemba 2024 si Kenya tu bali pia katika masoko mengine ya Afrika yaliyokuwa yakikua kwa haraka kama Nigeria na Sudan Kusini.
WAKAZI wa Nairobi wanakabiliwa na ongezeko la gharama ya maisha kuanzia Julai mwaka ujao baada ya madiwani wa Kaunti kupitisha sera mpya ya ada kwa kipindi cha miaka mitano, ambayo itaongeza kwa kiasi kikubwa gharama za huduma za kila siku kuanzia maegesho hadi leseni za biashara. Mfumo huo mpya wa sera unafungua njia ya kupandisha ada za maegesho mara tu utakapotekelezwa kikamilifu na serikali ya kaunti. Kulingana na taarifa za kaunti, kugharamia huduma moja ya maegesho hugharimu kaunti takriban Sh520, kiwango ambacho kitaongoza uundaji wa viwango vipya katika Miswada ya Fedha ijayo. Ingawa sera hiyo haitoi ongezeko la moja kwa moja kwa sasa, inawezesha kaunti kisheria kurekebisha ada kwenda juu. Makadirio ya mapato tayari yanaonyesha kupanda kwa kiasi kikubwa kwa malipo yanayotarajiwa kukusanywa kutoka kwa huduma za maegesho katika mwaka ujao wa fedha. Msimamizi wa Mapato wa Kaunti, Bw Tairus Njoroge, alisema Serikali ya Kaunti itazingatia maoni ya wananchi na tathmini ya uchumi kabla ya kuweka ada mpya. “Tutaangalia hali ya uchumi na uwezo wa wananchi kulipia kabla ya kupendekeza ada yoyote. Haya yote yatazingatiwa,” Bw Njoroge alisema. Kupitia sera hiyo ya 2025–2030, ada ya kila siku ya maegesho inapangwa kupanda hadi Sh520, huku baadhi ya leseni za biashara zikitarajiwa kufikia Sh74,743 — mojawapo ya ongezeko kubwa zaidi katika miaka ya hivi karibuni — na hivyo kuongeza shinikizo kwa familia na wafanyabiashara ambao tayari wanakabiliwa na mfumuko wa bei.
DAR ES SALAAM: THE government has pledged to collaborate with the Confederation of Tanzania Industries (CTI) to address persistent challenges facing manufacturers, including unreliable electricity, infrastructure gaps and logistical bottlenecks. This was said by the Minister for Industry and Trade Ms Judith Kapinga, during the opening of CTI Annual Symposium and 32nd Annual General Meeting … The post Govt, CTI tackle manufacturing challenges first appeared on Daily News.
ARUSHA: THE Bank of Tanzania (BoT) has reported that foreign exchange liquidity remained adequate in October, supported by inflows from gold exports, cash crops and tourism activities, according to its Monthly Economic Review published last month on its website. BoT noted that the Inter bank Foreign Exchange Market (IFEM) remained active, with total transactions reaching … The post BoT: Shilling strengthens amid forex liquidity first appeared on Daily News.