
Corruption, Customs racketeering, govt infighting frustrating trade with Nigeria — US Report
The report however acknowledged positive steps by the Central Bank of Nigeria, CBN, under President Bola Tinubu's reforms
Category
Follow the East African economy: markets and currencies, trade and investment, banking and finance, agriculture, mining and the companies and policies that move them.

The report however acknowledged positive steps by the Central Bank of Nigeria, CBN, under President Bola Tinubu's reforms

By Olasunkanmi Akoni The Lagos State Government and the state Police Command have assured traders, foreign investors and members of the public that normalcy has returned to the International Trade Fair Complex in Ojo, Lagos, following a protest by local traders over the alleged involvement of Chinese nationals in retail trading. The assurance came as […]

MWANZA: MWANZA Regional Commissioner CP Salum Hamduni has directed local government leaders and Mwanza City Council officials to create a favourable environment for traders to conduct their businesses efficiently and contribute to regional development. CP Hamduni issued the directive yesterday during a working visit to Mwanza City Council, where he stressed the need for suitable…

IRINGA: Matumaini ya wafanyabiashara wadogo mjini Iringa kupata eneo rasmi la kufanyia biashara yameongezeka baada ya kuwekwa wazi mpango wa ujenzi wa soko la Machinga la kisasa lenye thamani ya Sh bilioni 4.6. Soko hilo linatarajiwa kujengwa katika eneo ilipokuwa Stendi Kuu ya Mabasi ya mjini Iringa, likiwa miongoni mwa miradi inayolenga kuboresha mazingira ya…

The Nigerian naira is trading at different levels against the United States dollar across the official Nigerian Foreign Exchange Market (NFEM) and the parallel market on Thursday, September 17, 2026.

NATION Media Group (NMG) imefanya mabadiliko katika uongozi wa uhariri yanayolenga kuimarisha ushirikiano katika vyumba vya habari na kukuza biashara zake za kikanda nchini Uganda na Tanzania. Mabadiliko hayo yaliyotangazwa Jumatano na Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mkuu Mtendaji Geoffrey Odundo pia yanalenga kuharakisha mabadiliko ya kidijitali katika shughuli za kampuni hiyo katika ukanda huo. Mhariri Mkuu Msimamizi wa NMG, Dkt Joe Ageyo, amehamishiwa Uganda kushikilia wadhifa huo huo katika NMG Uganda. Ataandamana na Washington Gikunju, ambaye ni Mhariri Msimamizi, Uchapishaji, Kenya, ambaye sasa atashikilia wadhifa huo NMG Uganda. Nchini Kenya, Harry Misiko, ambaye alikuwa Mhariri Msimamizi anayesimamia Mikakati ya Maudhui, sasa ataongoza shughuli za chumba cha habari kama Kaimu Mhariri Mkuu Msimamizi.

Vodacom acquired the government’s shares through a block trade on the NSE on June 30, the same day it also bought Vodafone’s shares through its investment vehicle Vodafone Kenya Limited (VKL).

The government introduced the 17.5 percent levy on the importation of clinker in the country in July 2023, rattling the cement sector with clinker imports falling from 148,000 tonnes in 2023 to 10,300 tonnes in 2024.

KIGOMA: VARIOUS stakeholders in the transport and logistics sector have met in Kigoma to discuss opportunities and challenges affecting cargo transportation and explore ways to strengthen trade in the Western and Great Lakes regions. The meeting was organised by the Tanzania Ports Authority (TPA) and brought together stakeholders from different areas of the transport and…

By Daniel Abia, Port Harcourt A former Managing Director of the Niger Delta Development Commission (NDDC), Chief Timi Alaibe, has called for a fundamental restructuring of the Niger Delta economy to move the region from dependence on crude oil extraction to production, value addition and regional trade. Alaibe made the call on the sidelines of […]

By Emma Ujah, Abuja Bureau Chief The Nigeria Customs Service (NCS) says it has introduced several measures to address bottlenecks at the nation’s ports and facilitate trade. The service was responding to concerns about obstacles to trade in Nigeria highlighted in the United States 2026 National Estimate Report on Foreign Trade Barriers. The National Public […]

KIGOMA; Wadau mbalimbali wa sekta ya uchukuzi na usafirishaji wamekutana mjini Kigoma katika kikao cha siku moja kilichoandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kwa lengo la kujadili fursa na changamoto zinazohusiana na usafirishaji wa mizigo na namna ya kuimarisha biashara katika ukanda wa Magharibi na Maziwa Makuu. Kikao hicho kimehudhuriwa na wadau…

According to the East African Community Quarterly Statistics Bulletin for April, May and June 2026, total trade increased by 37.0 percent from USD 38.2 billion in the same quarter of 2025.

DAR ES SALAAM: UWEZESHAJI kifedha sekta ya uvuvi unahitaji suluhisho bunifu zaidi ya mikopo ya kawaida ya benki ili kukidhi mahitaji na changamoto za kipekee zinazowakabili wavuvi, wafugaji wa samaki, wafanyabiashara, wachakataji na wadau wengine katika mnyororo wa thamani, wataalamu wamesema. Wamesema taasisi za fedha zinapaswa kuzingatia aina mbalimbali za huduma za kifedha, ikiwemo mikopo…

Residents of Msomera Village in Handeni District, Tanga Region, who formerly lived within the Ngorongoro Conservation Area (NCA), have shared their new lives as they mark four years since relocating to the area to pave the way for conservation activities.

DAR ES SALAAM: FINANCING the fisheries sector requires innovative solutions beyond conventional bank loans to address the unique needs and risks facing fishers, fish farmers, traders, processors and other players across the value chain, experts have said. They said financial institutions should consider asset-based financing, working capital, digital financial services, insurance, guarantees, group lending and…

TEMEKE: THE Chairperson of the Temeke District Traders Association, Godfrey Mtei, has announced that the association is committed to working with the government to launch a new trader identification system aimed at addressing various challenges facing business operators in the district and across the country. Speaking in Dar es Salaam, the chairperson said the new…

DAR ES SALAAM; Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB), imezindua dirisha maalumu la uwezeshaji wa fedha lenye thamani ya Shilingi bilioni 50, linalolenga kufungua fursa za upatikanaji wa mitaji nafuu kwa wakulima wadogo na wafanyabiashara wadogo katika minyororo ya thamani ya kilimo, mifugo na…

TABORA: From a clerical accountant at the Association of Tanzania Tobacco Traders Limited (ATTT) in Tabora to a senior banking executive, Yahya Jumanne Kiyabo has built a career spanning more than 12 years across cooperative, retail and commercial banking. Today, he serves as Head of Business & Co-operative Banking at Co-operative Bank Tanzania Plc, where…

NAMANGA: IMPROVED services at the Namanga border have reduced the time traders spend processing goods, boosting efficiency and strengthening Tanzania’s access to East African and other international markets. Deputy Minister for Industry and Trade Mr Dennis Londo said recently that the improvements reflected government efforts to make cross-border trade faster and more efficient while creating…

WAKAZI katika mipaka ya Kenya na Tanzania, maeneo ya Taveta na Lunga Lunga wamedumisha ushirikiano wao licha ya matukio ya hivi majuzi nchini yaliyotishia usalama wa wafanyabiashara wadogo ambao ni raia wa kigeni. Kwa miongo mingi, raia wa nchi hizo mbili wamekuwa wakifanya biashara pamoja, kuoana, kuvuka mipaka kutafuta elimu bora, matibabu, na hata kushiriki pamoja kwa tamaduni zao. Ushirikiano huo wa karibu ulijaribiwa kufuatia hatua za Kenya za kutekeleza kanuni za uhamiaji na biashara dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni wasio na hati halali. Wakati mjadala kuhusu wafanyabiashara wa kigeni ukiendelea kitaifa, shughuli za biashara katika maeneo mawili ya mpakani Pwani zinaendelea kwa kiasi kikubwa kama kawaida. Wakazi wa Lunga Lunga, Kaunti ya Kwale, wanasema mpaka huo haujawahi kuwa kikwazo kikubwa kwa uwiano wao. “Tunasoma na kuona kwenye vyombo vya habari kuhusu wageni wanaoondoka nchini, lakini katika eneo letu hatuwezi kuwabagua kwa sababu ni sehemu ya familia. Tunavua katika bahari moja, tumeoana na tunashiriki utamaduni mmoja,” alisema mkazi, Bw Juma Mwaguza. Kulingana nao, mtu aliyezaliwa upande mmoja wa mpakani anaweza kuwa na ndugu, mwenzi wa ndoa au washirika wa biashara upande mwingine. Familia huvuka mpaka mara kwa mara kwa ajili ya harusi, mazishi, shughuli za kidini, elimu na matibabu. Vilevile, wakazi wanasema baadhi ya wafanyabiashara wa Tanzania hutumia marafiki au jamaa zao wanaoaminika nchini Kenya kupata huduma za pesa kwa njia ya simu na kusajili laini za simu, huku Wakenya wanaoishi karibu na mpaka wakiwa na mipango kama hiyo upande wa Tanzania. Wanasema desturi hizo kwa kiasi kikubwa zinatokana na uaminifu uliojengwa kwa miongo mingi, wala si kwa nia ya kukwepa sheria za kitaifa. Mpakani Taveta, utegemezi wa kiuchumi kwa Tanzania ni mkubwa zaidi hasa kwa bidhaa za kilimo. “Jamii zimeungana na hatujaathiriwa na agizo hilo kwa sababu tunafanya biashara ya kuvuka mpaka. Lakini ikiwa agizo hilo litatulazimisha kubaki katika nchi zetu, Wakenya watateseka kwa sababu zaidi ya asilimia 60 ya bidhaa zinazouzwa katika soko la Taveta hutoka Tanzania,” alisema mfanyabiashara wa Tanzania, Bw Allen Kubo. Soko la Kisasa la Taveta liko umbali wa takriban kilomita tatu pekee kutoka mpaka wa Kenya na Tanzania, hali inayowezesha mazao kuwafikia watumiaji haraka kupitia Kituo cha Pamoja cha Mpaka cha Taveta-Holili. Wiki iliyopita, serikali iliwapa raia wa nchi za Afrika Mashariki wasio na hati halali nchini siku 90 kurekebisha stakabadhi zao za uhamiaji na kutimiza masharti ya leseni za biashara iwapo wangependa kuendelea kuendesha biashara nchini. Agizo hilo lilizua wasiwasi miongoni mwa baadhi ya wafanyabiashara wa kigeni, huku mamia ya raia wa Burundi wakitafuta msaada katika ubalozi wao jijini Nairobi kutokana na hofu ya mashambulizi. Nchini Uganda, gazeti la Daily Monitor liliripoti kuwa wafanyabiashara wa Uganda walikuwa miongoni mwa walioondoka Kenya wakihofia kushambuliwa. “Taita Taveta ni kaunti yenye amani. Tunaishi pamoja na biashara zetu zinaendelea bila kikwazo chochote,” alisema Gavana Andrew Mwadime. Jumuiya ya Afrika Mashariki inahimiza usafirishaji na uhamishaji wa watu, bidhaa na huduma miongoni mwa nchi wanachama, huku serikali za kila nchi zikipewa jukumu la kutekeleza kanuni za uhamiaji, ushuru na biashara. Rais Ruto baadaye aliwahakikishia wawekezaji na wafanyabiashara wa kigeni kwamba Kenya bado iko wazi kwa biashara na uwekezaji. Akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi kwa hospitali inayojengwa na kampuni ya Tanzania, Dkt Ruto aliwaonya Wakenya dhidi ya kuwalenga raia wa kigeni wanaoendesha biashara ndogo nchini, akisema wako huru kufanya kazi nchini bora tu watii sheria za Kenya.

By Cynthia AloNigeria’s agricultural export earnings fell by 36.09 per cent year-on-year to N802.99 billion in the second quarter of 2026 (Q2’26) from N1.26 trillion in the corresponding period of 2025 (Q2 ’25), latest data from the National Bureau of Statistics, NBS, has shown.The figure also represents a 31.51 per cent decline from the N1.17 […]

By Elizabeth Adegbesan Headline inflation rate fell by 0.04 percent to 15.39 percent in August from 15.43 percent in July 2026, representing the third consecutive month decline since June. The development was driven by a further ease in the core basket to 13.29 percent in August from 14.97 percent in July. The National Bureau of […]

The Nigerian naira is trading at different levels against the United States dollar across the official Nigerian Foreign Exchange Market (NFEM) and the parallel market on Wednesday, September 16, 2026.

The case pits an alleged unpaid hides-and-skins supplier against a lender seeking to recover a larger debt from Zingo, whose business and assets are under receivership.

— Says we won’t be tenants on our land By Dayo Johnson Akure The Aheri Development Council in Ilaje Local Government Area of Ondo State has explained its decision to accept the Olókòlá Free Trade Zone, OKFTZ, while rejecting the proposed Dangote Industrial City in Ilaje-Aheri kingdom. Secretary of the Council, Ayeoba Ige Asemudara, made […]

HALI ngumu ya maisha imesukuma mamilioni ya Wakenya kutafuta mikopo ya kidijitali ili kukidhi mahitaji ya kila siku, huku zaidi ya akaunti milioni nane zikikopa zaidi ya Sh150 bilioni. Takwimu za Benki Kuu ya Kenya (CBK) zinaonyesha kuwa mikopo hiyo mingi haitumiki kuanzisha biashara au kuwekeza, bali kugharamia matumizi na mahitaji ya kimsingi ya maisha. Mkurugenzi Mkuu wa Metropol Credit Reference Bureau, Gideon Kipyakwai, alisema Wakenya wanakopa kwa viwango vya juu kutokana na ukosefu wa imani unaowazuia wengi kupata mikopo kutoka taasisi rasmi za kifedha. Alisema hali hiyo imewasukuma wengi kugeukia wakopeshaji wa kidijitali baada ya kufungiwa nje ya mifumo ya kawaida ya benki na taasisi nyingine za mikopo. “Taasisi za mikopo ya kidijitali zimeziba pengo la upatikanaji wa mikopo lililoachwa na mifumo ya jadi, huku Wakenya wakikopa mabilioni kwa kubofya kitufe kwenye simu zao,” alisema Kipyakwai. Akizungumza pembezoni mwa Kongamano la Tatu la Kitaifa la Soko la Mikopo lililofanyika Naivasha, Kipyakwai alisema CBK imeidhinisha taasisi 300 za ukopeshaji, huku mamia ya zingine zikisubiri idhini. Alizitaka taasisi hizo kutumia data na teknolojia za kisasa kutathmini uwezo wa wakopaji, badala ya kutegemea mbinu zinazoweza kuongeza viwango vya kushindwa kulipa mikopo. Kipyakwai alisema zaidi ya asilimia 80 ya Wakenya watu wazima wamesajiliwa katika Credit Reference Bureau, inayotumiwa kutathmini uwezo wa mtu kukopa na kulipa. Alisema ushirikishaji wa kifedha nchini umefikia asilimia 84, huku mikopo kwa biashara ndogo na za kati ikiwa asilimia 30. Hata hivyo, aliyekuwa Katibu wa Wizara ya ICT, Dkt Bitange Ndemo, alisema ukweli kwamba Wakenya wengi wanakopa kwa matumizi badala ya uwekezaji ni ishara ya hali ngumu ya uchumi. Ndemo alitaka udhibiti uimarishwe ili kukabiliana na wakopeshaji haramu wanaotumia mbinu zisizo za kimaadili na kuwanyanyasa wateja. Alisisitiza pia umuhimu wa matumizi ya Akili Unde (AI) na data kubwa katika kutathmini uwezo wa wakopaji, huku akionya kuwa ulinzi wa data ni muhimu katika ukuaji wa sekta hiyo. Mkurugenzi Mkuu wa Financial Sector Deepening Kenya (FSD Kenya), Rashmi Pillai, alisema sekta hiyo inahitaji huduma zinazoaminika zaidi na zinazokidhi mahitaji ya wateja. Kwa mujibu wa kanuni zilizopitishwa, wakopeshaji wote wenye leseni wanapaswa kuzingatia sheria za ulinzi wa data, kutoa maelezo kamili kuhusu gharama za mikopo na kutumia mbinu za haki katika kukusanya madeni.

IRINGA: BIASHARA za barabarani zimeibua kilio kwa wafanyabiashara wa Soko Kuu la Iringa, waliotaka Serikali kurejesha utaratibu kwa kuwaondoa wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao pembezoni mwa barabara. Wakizungumza katika mkutano wa Kata ya Kitanzini uliofanyika katika Soko Kuu la Iringa, wafanyabiashara hao walisema soko hilo ni kitovu cha biashara na linahitaji kuwekewa mazingira yatakayowawezesha kufanya shughuli…

DODOMA: Tanzania and Japan have reaffirmed their commitment to strengthening and expanding their long-standing cooperation by advancing areas of mutual interest aimed at promoting development and delivering greater benefits to the people of both countries. The commitment was expressed in Dodoma during bilateral talks between Felista Rugambwa, Director of the Asia and Australia Department at…

MISRI: Mtangazaji wa televisheni nchini Misri, Sarah Khalifa, ni miongoni mwa watu 12 waliohukumiwa adhabu ya kunyongwa kutokana na kuhusika katika mtandao wa biashara ya dawa za kulevya. Kwa mujibu wa gazeti la serikali la Al-Ahram, Mahakama ya Jinai ya Cairo Jumamosi iliwahukumu washtakiwa hao 12 kunyongwa na kuwatoza faini ya pauni za Misri 500,000,…

Abia State Government has debunked reports that akara sellers and other petty traders in the state are being compelled to pay N50,000 as tax, describing the claim as misinformation.

DAR ES SALAAM: FOR decades, the economic relationship between Tanzania and Malawi has been driven largely by the movement of agricultural produce, manufactured goods and consumer products across their borders, with bilateral commerce providing an important foundation for businesses and consumers in both markets. But the growing scale of trade is creating an opportunity to…

DAR ES SALAAM: TANZANIA Bureau of Standards (TBS) is bringing registration, inspection, testing and standards education closer to businesses, easing compliance challenges while strengthening product safety and consumer confidence in the markets. The initiative, delivered through the Standards Clinic, is designed to make TBS services more accessible to traders while helping them understand and meet…

By Efe Onodjae Lagos ports handled an estimated N35.07 trillion, or about 84.6 per cent, of Nigeria’s N41.44 trillion total merchandise trade in the second quarter of 2026, Q2’26, underscoring the overwhelming dominance of the nation’s commercial capital as the country’s principal trade gateway. The latest Foreign Trade in Goods Statistics released by the National […]

The Nigerian naira opened Tuesday, September 15, 2026, with the local currency trading at about ₦1,326.30 per dollar at the official Nigerian Foreign Exchange Market (NFEM), while the greenback was quoted at around ₦1,385 to ₦1,410 in the parallel market.

The Trade Union Congress (TUC) has suspended the industrial action earlier directed its affiliates to shut Federal Unity Colleges over the proposed concession of King’s College, Lagos.

KILIMO cha kisasa hakiwezi kutenganishwa na teknolojia, biashara, uwekezaji na ubunifu, mambo ambayo yanaweza kuwapa vijana, hasa kizazi cha Gen Z, nafasi muhimu katika kuamua mustakabali wa sekta hiyo. Elizabeth Nsimadala, Rais wa Kikanda wa Shirikisho la Wakulima wa Afrika Mashariki (EAFF), anasema vijana wanapaswa kuwa sehemu ya maamuzi kuhusu mifumo ya chakula badala ya kuonekana kama wanaopaswa kunufaika kupitia miradi na misaada. “Tunapaswa kushirikisha wakulima, hasa kizazi cha Gen Z kama wahusika na washirika muhimu katika mabadiliko ya mifumo ya chakula,” Elizabeth anasema. Kulingana naye, mara nyingi wakulima na mashirika yanayowaleta pamoja huonekana kama wanaopaswa kunufaika na misaada, ilhali ni wahusika wakubwa ambao mifumo ya uzalishaji ikiboreshwa watakuwa na mchango mkubwa. Elizabeth anasema vijana wa Gen Z wana nafasi kubwa katika sekta ya kilimo kwa sababu mtandao wa uzalishaji chakula ni biashara, uwekezaji, unajumuisha teknolojia, una masoko na zaidi ya yote kuangazia usalama wa chakula si tu Kenya bali kote ulimwenguni. “Tunahitaji vijana washiriki katika mijadala na wajieleze wenyewe kwa sababu kilimo kinapiku uzalishaji. Kina mengi yanayowahitaji kuchangia ikizangatiwa kuwa Gen Z wanaelewa kwa kina masuala ya teknolojia,” anasema. EAFF inashirikisha vijana na wanawake kwenye shughuli zake, ikiwa ni pamoja na kujumuisha asilimia 30 ya vijana na asilimia 40 ya wanawake kwenye miradi yake. Shirikisho hilo pia limekuwa likisaidia vijana kupata fedha na kuboresha biashara zinazoweza kuvutia wawekezaji. [caption id="attachment_192120" align="aligncenter" width="300"] Kulingana na Elizabeth Nsimadala, Rais wa Kanda wa Shirikisho la Wakulima la Afrika Mashariki (EAFF), kizazi cha Gen Z kikishirikishwa kwenye kilimo kitasaidia kuboresha sekta. PICHA|SAMMY WAWERU[/caption] Elizabeth anasisitiza kuwa vijana hawapaswi kuachwa nje ya maamuzi yanayohusu kilimo. “Usipoalikwa mezani, unaweza kuwa kwenye menu. Hatuongei kwa niaba ya vijana; tunawaalika washiriki katika mijadala,” anasema. Kupitia mradi wa Africa Youth in Agri-business Platform ulioanzishwa na EAFF kwa ushirikiano na FAO, zaidi ya vijana 100,000 wamenufaika kwa mafunzo ya kilimo na biashara. EAFF, pia, imewekeza kima cha Dola 2 milioni, sawa na Sh258.8 milioni, kusaidia vijana. Hata hivyo, upatikanaji wa fedha bado ni kikwazo kikubwa. Elizabeth anasema tafiti zilizofanywa Kenya, Uganda na Rwanda zimeonyesha kuwa ukosefu wa dhamana ni mojawapo ya sababu zinazozuia vijana kupata mikopo. “Vijana wengi hawana ardhi. Hawamiliki ardhi, hivyo hawana hati za umiliki, na linapokuja suala la kupata fedha, hiyo huwa ni hitaji la kwanza na inakuwa kikwazo kwao kupata mikopo kwenye mashirika ya kifedha haswa benki na vyama vya ushirika,” anasema. Aidha, EAFF inapendekeza mifumo mipya ya ufadhili inayotumia historia ya uzalishaji wa mkulima badala ya kutegemea dhamana au hati ya shamba pekee. Kwa mfano, kijana ambaye amekuwa katika kilimo kwa miaka miwili au mitatu na ana takwimu za uzalishaji anaweza kutumia data hiyo kuomba fedha au kupata mkataba wa mauzo ya baadaye kama dhamana. Hali kadhalika, teknolojia inaweza kusaidia kubadilisha kilimo kuwa biashara yenye faida kwa vijana. EAFF imeanzisha e-Granary, jukwaa la kidijitali linalounganisha wakulima na masoko ya pembejeo, huduma, uuzaji mazao, mikopo na huduma nyingine muhimu. Zaidi ya wakulima 250,000 tayari wako kwenye jukwaa hilo, huku taarifa kuhusu ukubwa wa mashamba yao na mazao wanayozalisha ikitumika kuwaunganisha na masoko na mashirika ya kifedha. [caption id="attachment_192117" align="aligncenter" width="300"] Elizabeth Nsimadala, ambaye ni Rais wa Kanda wa Shirikisho la Wakulima la Afrika Mashariki (EAFF), anasema Gen wana mchango mkubwa kwenye mtandao wa uzalishaji chakula. PICHA|SAMMY WAWERU[/caption] Majuzi, EAFF kwa ushirikiano na GIZ ilizindua mradi wa EAFF GIZ Farmers’ Organizations for Transformation of Agri-Food Systems (FO Hub) 2026-2028, wenye thamani ya karibu Dola 1 milioni, sawa na Sh129.3 milioni. Kulingana na Elizabeth, ambaye ni Rais wa Shirikisho la EAFF mradi huo utasaidia kuimarisha mashirika ya wakulima. Anasema kuna haja pia ya vijana kuelewa kuwa kilimo ni fursa kubwa ya biashara katika bara ambalo linaagiza chakula chenye thamani ya zaidi ya Dola 100 bilioni, sawa na Sh12.93 trilioni, kila mwaka. “Fedha hizi zinatiwa kibindoni na mkulima aliye nje ya bara la Afrika. Tuna uwezo wa kuzalisha chakula hiki hapa Afrika,” anasema. Kwa Gen Z, anasema kilimo hakipaswi kuonekana kama kazi ya kulima kwa jembe pekee, bali sekta inayotoa nafasi katika biashara, masoko, teknolojia, uwekezaji na ubunifu.

MAMLAKA ya Kudhibiti Kawi na Petroli (EPRA) jana ilitangaza kuwa bei ya mafuta itasalia jinsi ilivyo mwezi huu hadi Oktoba 14, 2026. Licha ya mabadiliko ya bei za mafuta katika soko la kimataifa na gharama ya kuyafikisha nchini, EPRA ilisema bei za sasa zitaendelea kutumika katika maeneo mbalimbali nchini. Nairobi, lita moja ya Petroli itaendelea kuuzwa kwa Sh214.03, dizeli Sh217.86 na mafuta ya taa Sh191.38. Mombasa, Super Petrol itauzwa kwa Sh210.87 kwa lita, dizeli Sh214.58 na mafuta ya taa Sh188.09. Nakuru, lita moja ya petroli itagharimu Sh212.92 na dizeli Sh217.27, huku Eldoret na Kisumu petroli ikiuzwa kwa Sh213.69 kwa lita. Bei hizo zinajumuisha VAT, kwa mujibu wa Sheria ya VAT ya 2013, pamoja na marekebisho ya kodi yaliyoainishwa katika sheria mbalimbali za kodi na viwango vipya vya ushuru wa bidhaa vilivyorekebishwa kulingana na mfumuko wa bei.

Access to the world market has been revolutionized within the last ten years. Traders who used to rely heavily on desktop software installed on their computers can now carry out their operations in a web browser. This development is making the trading of Contracts for Difference (CFD) much more convenient and flexible. Trading without installation […]

In Kenya, the scheme targeted mid-level professionals such as teachers and people in the service industry, as well as small-scale traders and boda boda operators.

—Expand cooperation in defence, pharmaceuticals, digital technology, fintech, renewable energy, creative industries By Johnbosco Agbakwuru ABUJA — NIGERIA and India have agreed to strengthen their strategic economic ties, with India seeking to resume crude oil purchases from Nigeria as both countries work to restore bilateral trade to its previous peak of nearly $15 billion. The […]

UFAFANUZI wa Rais William Ruto kwamba raia wa mataifa ya Afrika wako huru kuwekeza na kufanya kazi nchini Kenya kwa kuzingatia sheria inastahili. Hii ilifuatia mjadala kuhusu wafanyabiashara wa kigeni nchini uliozua taharuki kubwa miongoni mwa wananchi na wageni wanaoishi hapa. Wengine walifAsiri matamshi ya awali ya rais kuwa mwito wa kuwatenga au hata kuwafukuza wageni wanaojihusisha na biashara ndogo ndogo. Fasiri hiyo ilisababisha hofu na hata visa vya vurugu katika baadhi ya maeneo. Kwa kufafanua msimamo wake, Rais Ruto ameonyesha kwamba Kenya bado ni taifa linaloheshimu sheria, ushirikiano wa kikanda na misingi ya biashara huru. Ukweli ni kwamba Kenya imefaidika kwa miaka mingi kutokana na uwekezaji kutoka mataifa jirani na sehemu nyingine za Afrika. Wawekezaji hao wamechangia katika ukuaji wa uchumi, kuunda nafasi za ajira na kuimarisha mahusiano ya kibiashara katika ukanda huu. Hata hivyo, ufafanuzi wa rais hauondoi haja ya serikali kushughulikia malalamishi halali ya wafanyabiashara wa humu nchini. Wakenya wengi wamekuwa wakihisi kushinikizwa na ushindani kutoka kwa baadhi ya wageni wanaofanya biashara katika sekta ambazo kwa kawaida zimekuwa zikitegemewa na wananchi wa kipato cha chini. Suluhisho la changamoto hiyo halipaswi kuwa chuki au mashambulizi dhidi ya wageni, bali kuwepo kwa sera wazi na utekelezaji wa sheria kwa haki kwa wote. Ni muhimu kukumbuka kwamba Muungano wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Comesa na Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) vinategemea ushirikiano na uhuru wa wananchi kufanya biashara na kuwekeza katika mataifa mbalimbali. Kenya haiwezi kunufaika na masoko ya mataifa mengine huku ikifunga milango kwa raia wa nchi hizo. Kwa hivyo, hatua ya Rais Ruto ya kusisitiza kuwa wageni wanaofuata sheria wanakaribishwa nchini ni ya busara. Wakati huo huo, serikali inapaswa kuhakikisha sheria za biashara, uhamiaji na ajira zinatekelezwa sawasawa bila ubaguzi. Kenya imejijengea jina kama taifa la ukarimu, biashara na uwekezaji. Sifa hizo zinapaswa kulindwa. Ufafanuzi wa rais umesaidia kupunguza mvutano uliokuwa umeanza kujitokeza na kutoa mwelekeo unaohitajika katika mjadala huu muhimu wa kitaifa.

•Analysts finger Dangote Refinery IPO By Peter Egwuatu The Nigerian equities market reversed bullish trend last week, as N1.9 trillion was lost to widespread profit-taking across major stocks. The market was bullish penultimate week, as investors gained N3.73 trillion on the Nigerian Exchange Limited, NGX. However, last week’s trading was characterised by heavy selling pressure […]

Guarantees will support the operation, maintenance and upgrade of the Lobito railway corridor, a cornerstone of trade and critical minerals supply chains in Africa.

By Daniel Abia, PORT HARCOURT Governors of the South-South states, foreign and local investors, financial institutions and other stakeholders are expected in Port Harcourt, Rivers State, for the Niger Delta Chambers of Commerce, Industry, Trade, Mines and Agriculture, NDCCITMA, Economic and Investment Summit. The Chamber said the Niger Delta was ready for local and international […]

By Dickson Omobola Federal Government has concluded plans to close the unemployment and underemployment gap, especially among young people, first-time jobseekers and those not currently in education. Figures from the National Bureau of Statistics, NBS, showed that Nigeria’s unemployment rate in the second quarter of 2024 declined to 4.3 per cent, with about 9,870,000 Nigerians […]

SERIKALI imeanza kutekeleza mfumo mpya wa kitaifa wa kutambua na kufuatilia mifugo unaolenga kudhibiti wizi na kuboresha biashara ya bidhaa za mifugo nchini. Waziri wa Kilimo na Maendeleo ya Mifugo, Mutahi Kagwe, alisema kila ng’ombe nchini atakuwa na alama maalum ya manjano ya mfumo wa Animal Identification and Traceability (ANITRAC) itakayowezesha kufuatilia alikotoka, afya yake na mahali alikopitia. Akizungumza katika Maonesho ya Kilimo ya Kanda ya Kati ya Kenya mjini Nyeri, Bw Kagwe alisema mifugo itakayopatikana bila vitambulisho hivyo itazua maswali kuhusu usalama. “Katika siku zijazo kila ng’ombe atakuwa na alama maalum. Mtu akipatikana na ng’ombe asiye na alama hiyo atalazimika kueleza alikotoka,” alisema. Mfumo huo pia unatarajiwa kusaidia serikali kufuatilia magonjwa ya mifugo na kuimarisha usalama wa chakula huku ukisaidia Kenya kutimiza masharti ya kimataifa ya masoko ya nje. Waziri huyo pia alitangaza hatua za kupunguza gharama ya uzalishaji kwa wafugaji wa maziwa kupitia ruzuku ya mbegu za kisasa upatikanaji wa malisho bora na vifaa vya kupooza maziwa. Aidha, alisema mageuzi katika sekta ya kahawa yanaendelea kutekelezwa kufuatia kuanza kazi kwa Bodi ya Kahawa ya Kenya. Kwa upande wa chai, ushuru mpya wa asilimia 0.8 kwa mauzo ya nje utasaidia kuboresha miundombinu na kuongeza thamani ya bidhaa hiyo. Hata hivyo, aliwaonya wakulima dhidi ya kuvuna mazao kabla ya kukomaa, akisema hali hiyo huharibu sifa ya Kenya katika masoko ya kimataifa na kupunguza mapato ya wakulima.

ZANZIBAR: TANZANIA and Zambia are expected to join the Southern African Power Pool (SAPP) regional electricity grid by February 2027, strengthening power trading and energy cooperation between East and Southern Africa. Speaking at the closing of the three-day 67th SAPP Management Committee meeting in Zanzibar, Deputy Minister for Water, Energy and Minerals Seif Kombo Pandu…

HOFU, sintofahamu na wasiwasi zimetanda miongoni mwa raia wa kigeni wanaofanya biashara ndogo ndogo nchini kufuatia agizo la serikali linalowataka warekebishe hati zao za uhamiaji na vibali vya kufanya kazi ndani ya siku 90. Kwa Archade Nshimirimana, raia wa Burundi mwenye umri wa miaka 34 anayeishi Kitengela, maisha aliyojenga kwa zaidi ya miaka 11 yanaonekana kutikiswa na mwelekeo mpya wa serikali. Nshimirimana aliwasili Kenya kama mkimbizi mwaka 2015 akitoroka ghasia za kisiasa nchini Burundi. Alianza maisha kama kinyozi kabla ya kusomea huduma za urembo na hatimaye kufungua saluni yake. “Nimejenga maisha yangu hapa. Nimeoa Mkenya na nimekuwa nikisaidia wazazi wangu walioko Burundi. Wiki iliyopita imejaa hofu na mkanganyiko,” alisema. Kitengela, ambayo imekuwa makazi ya maelfu ya wageni kutoka Burundi, Congo, Rwanda na Uganda, ilishuhudia biashara nyingi zinazomilikiwa na wageni zikifungwa kwa muda baada ya tangazo hilo. Wageni wengi hushughulika na biashara za vyakula, saluni, ushonaji na huduma za bodaboda. Hali kama hiyo imeshuhudiwa Nakuru ambako wafanyabiashara wengi wa kigeni wanakiri kuwa wameathiriwa kiuchumi. Iradukunda Samson, mwenye umri wa miaka 21 kutoka Burundi, amekuwa akiuza vibanzi mitaani kwa miaka mitatu. Mapato yake humwezesha kulipa kodi ya nyumba, kujikimu na kusaidia familia yake nyumbani. Alisema hofu ya kushambuliwa imewafanya baadhi ya wageni kuacha kazi huku wengine wakirejea nchini mwao. “Tuko tayari kupata vibali vinavyohitajika, lakini tunaogopa kutoka nje kwenda kufanya biashara,” alisema. Katika mtaa wa Bondeni, Nakuru, Uragiwenimama Jeondodieu anayefahamika kama John, huendesha kibanda pamoja na mke wake Mkenya. Alisema wageni wengi wameishi kwa amani na wenyeji kwa miaka mingi na wanapaswa kupewa nafasi ya kurekebisha stakabadhi zao badala ya kuonekana kama wahalifu. Wakati huo huo, serikali ya Burundi imeitaka Kenya kuhakikisha usalama wa raia wak na maafisa wa serikali ya Kenya wamewahakikishia wageni usalama wao huku wakiwataka kutumia muda wa siku 90 kutafuta vibali na hati zinazohitajika. Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi alifafanua kuwa muda huo haukusudiwi kuwafukuza wageni bali kuwapa nafasi ya kutii sheria. Licha ya hakikisho hilo, wengi bado wanaishi kwa taharuki, wakisubiri kuona kitakachotokea baada ya muda wa siku 90 kukamilika. Baadhi yao wana matumaini kuwa wataendelea kuishi na kufanya kazi Kenya, nchi ambayo wameiita nyumbani kwa miaka mingi.