SportsSimba Queens 0-0 Ceasiaa Queens | Highlights | Tanzania Women PL 18/11/2026
Tanzania highlights, jinsi Simba Queens walivyobanwa mbavu na Ceasiaa Queens, na kulazimishwa suluhu kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam. Simba Queens imefanya kila aina ya mashambulizi…









